Nasubiri Mrija meeen!

Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,971
10,464
Kwa babu Loliondo kuna vituko sana.
Chek bob mmoja (mijini ni maarufu kama Sharobaro), akiwa kavalia mlegezo na miwani mikubwa yenye giza, alifika kwa Babu akiwa anasumbuliwa na presha. Ilipofika zamu yake kunywa dawa akapewa kikombe na babu ili anywe dawa. Ile kupewa dawa akabaki kashikilia mkononi bila kuinywa, kwa muda kidogo, huku wagonjwa wengine wakisubiri kikombe kile. Kuona hanywi na anawachelewesha, ikabidi wagojnwa wengine wamuulize. "Mbona hunywi dawa"? Sharobaro akajibu kwa maringo "Nasubiri Mrija meeeen!
Wagonjwa wakabaki midomo wazi kwa kutoamini kinachoendelea.

Just to make your day!
 
Sorry to break it to you but i've seen the joke about 7 or more times right here!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom