Nassari sawa, Lema hapana!!

Maji marefu Lingstone Lusinde wana hadhi ya kuwa wabunge????

Hivi Siasa za CCM wadhani ni za kuleta maendeleo au kuwavuruga wananchi? Au ni wachahche wanataka kuifaidi tanzania wenyewe?

Kwa mfano unaweza sema leo Lema hajaleta maendeleo Arusha au ni serikali ya CCM kuweka sera uchwala na kuwajaza wananchi wa arusha ati Lema kafanya nini? twapaswa kutambua ya kwamba Serikali ya CCM inatuchezea mchezo mchafu na watanzania tumeanza kuwa mambumbumbu.

My Take;

Huko tuendako viongozi waliopo kwenye uongozi huu waombe wafe mapema kwani wakiwa hai watoto wetu watakuja kutufikisha kwenye viti vya pilato kwa upuuzi na ujinga kwa utawala sasa.

sema "tunataka kujaribu uongozi wa chama kingine" usisema"ccm haijafanya kitu" hivi hii miaka yote tokea uhuru undaka kusema ccm ime feli kwa kila kitu..usitumie hawa watu wachache ambao hawana wema na nchii kua ndo sababu ya kusahau miaka yote ambayo ccm imetuongoza,usilewe na sera za chama ambacho bado hakijaonja madaraka...kwani kuna watu wakati hali yao ni maskini hua wanasema "mie nikipata nita saidia mayatima" ila wakipata ukiwauliza wanasema "hela ina mambo mengi bwana"...ya mbele anajua mungu ila yalio pita tushkuru kwa mazuri pia!!!huo ndo uwana siasa...
 
Mzee wa kukoroma bungeni a.k.a wasira
chichiemu bye bye wasalimieni kuzimu.
 
kajiandikishe ukapige kura,waliomchagua waliona anafaa.
Au kama vipi nawe gombea tukupime badala ya kutoa uharo hapa ,kudadeki.
 
Kwanini hukuyasema maneno haya kabla ya USHINDI wa JOSHUA Nassari Arumeru Mashariki na Pia Kabla mahakama haijatengua UBUNGE wa Lema, Hizi za kwako ni akili za MBUNI kuzika kichwa mchangani ili hali ..............

Wakati wewe unaahagilia uamuzi wa mahakama kutengua UBUNGE wa Lema, CCM wanakuna vichwa maana Arusha litakuwa anguko la AIBU kwa mara ya pili. Tuombe UZIMA.
yess mwache mgombea mwengine wa chadema ashinde,ila kilicho kua hakina hadhi kitakua kimesha tolewa..ukiweka nchii mbele vyama vinakua havina nafasi kwako,tatizo sio chama ila ni kiongozi bora..huwezi fananisha kampeni ya joshua nassari na ya lema..lema alikua anafanya kampeni taarabu ila nassari kashinda ki siasa zaidi!!ushabiki wa vyama utatuangusha!!
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

Jamani nyie wezi wa kodi za watanzania mnamwogopa huyu Lema mpaka mnatia kinyaaaa,,,,, jaribuni kukontrol woga wenu bana,, kama vipi acheni wizi mtaishi bila hofu maana mtajenga imani kwa wananchi,,,, kwa mtindo huu mlioanzisha mnazidi kuwaudhi wazalendo na mtachukiwa kwelikweli..... Nawashauri mtafute mbinu nyingine hii itawazika kama sio kuwakuwa!!!!!!!!!!!!!!!
 
yani wewe ata hujui sifa za mtu kuwa mbunge! inabidi tuhoji we una elimu gani? kama unayo tuhoji uhalali wa elimu yako! maana kama ungekuwa naelimu usinge shindwa kujua sheria za uchaguzi! jaribu kuuliza wenzio sifa za mtu kupata ubunge! me naona kama jf hapakufai na shauri uhamie fb. Amani kwako! jaribu kupitia sheria za uchaguz
 
Orodha ya mafisadi ya Elimu hivi ni akina nani vile naomba mnikumbushe na wanafanya kazi gani ssa hivi
 
Kweli nyani haoni kundule, we Steven Ngonyani una elimu na hadhi gani?
Peleka maji marefu yako Ushoto na koogwe.
 
yani wewe ata hujui sifa za mtu kuwa mbunge! inabidi tuhoji we una elimu gani? kama unayo tuhoji uhalali wa elimu yako! maana kama ungekuwa naelimu usinge shindwa kujua sheria za uchaguzi! jaribu kuuliza wenzio sifa za mtu kupata ubunge! me naona kama jf hapakufai na shauri uhamie fb. Amani kwako! jaribu kupitia sheria za uchaguz
sifa ya kusoma na kuandika inajulikana hata watoto wa nursery wanayo,ila hekima na busara ndo tofauti ya lema na nassari...mie nitaenda fb baada ya wewe na lema kujiunga na mzee yusuf,ili mkatoe singo ya batilda na mimba ya lowassa!!
 
sema "tunataka kujaribu uongozi wa chama kingine" usisema"ccm haijafanya kitu" hivi hii miaka yote tokea uhuru undaka kusema ccm ime feli kwa kila kitu..usitumie hawa watu wachache ambao hawana wema na nchii kua ndo sababu ya kusahau miaka yote ambayo ccm imetuongoza,usilewe na sera za chama ambacho bado hakijaonja madaraka...kwani kuna watu wakati hali yao ni maskini hua wanasema "mie nikipata nita saidia mayatima" ila wakipata ukiwauliza wanasema "hela ina mambo mengi bwana"...ya mbele anajua mungu ila yalio pita tushkuru kwa mazuri pia!!!huo ndo uwana siasa...

Mkuu nacho maanisha ni kuwa wana CCM wengi hapa arusha wana matabaka yao mengi sana na tokea walipo bwagwa kwenye uchaguzi 2010 wengi wao walikuwa wakisema ooohh nyie mlio mchagua Lema amefanya nini je hao huoni wana tupa sera za ajabu, Hivi uongozi wa Nyerere na ule wa Mkapa na wa JK upi wewe kwako ulikuwa bora? na ulikuwa unawaangalia wananchi nasio maslahi ya viongozi wachache? sasa ndio hawa wana CCM wako walioko jimboni arusha wao ni pesa tuu mbele ziwe mikononi mwao na chuki binafsi.

wajua CCM imefika mahali na uongozi uliopo na waliokishika hicho chama pabaya kupoteza mwelekeo na imani kwa wananchi wamekuwa ni viongozi wa kujilimbikizia. Tokea Jk kaingia madarakani sija ona tofauti ya maendeleo ya mtanzania bali ni kudidimiaaa tu kila kukicha na hii ni kutokana na utawala mbovu wa nchi hii.

hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!
Wenye hadhi ni Lusinde, Komba,Maji marefu, Wasira.....
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

Watu bwana..!! Kweli bendera hufuata upepo.. Mbona mulikua hamumuongelei huyo Nassari miezi ya nyuma huko?? Haya tumekusikia Shekh. Abdalah
 
sifa ya kusoma na kuandika inajulikana hata watoto wa nursery wanayo,ila hekima na busara ndo tofauti ya lema na nassari...mie nitaenda fb baada ya wewe na lema kujiunga na mzee yusuf,ili mkatoe singo ya batilda na mimba ya lowassa!!

Basi wewe nimeisha kujua kuwa una chuki binafsi na LEMA this is the FACT mbona hujawa na chuki na Livingstone Lusinde Mbng wa Mtera-Dodoma?????

Ukitaka kulinganisha IQ za viongozi katika hili la kuwa nani ni mbunge duuuh mkuu ntakushaaangaaa sana au anzisha kipindi cha video clip kama kile cha Kenya NTV every Friday uone politician wa kenya wanavyoteleana uvivu na huakika hicho kikija hapa nchini utajua wanasiasa wa bongo na hizo IQ nadhani utapata tathimini sahihi kesho ijumaa check hii web site Daily Nation:Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports, Blogs, Photos, Videos - Home alafu check NTV KENYA download kwa hiyo youtube ni kila ijumaaa utapata Bull's-Eye za kenya na hazina matusi sio kama za kina Lusinde

Mkuu nacho maanisha ni kuwa wana CCM wengi hapa arusha wana matabaka yao mengi sana na tokea walipo bwagwa kwenye uchaguzi 2010 wengi wao walikuwa wakisema ooohh nyie mlio mchagua Lema amefanya nini je hao huoni wana tupa sera za ajabu, Hivi uongozi wa Nyerere na ule wa Mkapa na wa JK upi wewe kwako ulikuwa bora? na ulikuwa unawaangalia wananchi nasio maslahi ya viongozi wachache? sasa ndio hawa wana CCM wako walioko jimboni arusha wao ni pesa tuu mbele ziwe mikononi mwao na chuki binafsi.

wajua CCM imefika mahali na uongozi uliopo na waliokishika hicho chama pabaya kupoteza mwelekeo na imani kwa wananchi wamekuwa ni viongozi wa kujilimbikizia. Tokea Jk kaingia madarakani sija ona tofauti ya maendeleo ya mtanzania bali ni kudidimiaaa tu kila kukicha na hii ni kutokana na utawala mbovu wa nchi hii.

ndugu mie sio mshabiki hewa,nakubali kuna watu ndani ya ccm hawaitakii mema ccm ila sio chama chote...kama ccm wanatumia hela na nguvu kushinda,basi chadema watoe sera zinazokubalika na wafanye kampeni zisizo na matusi na kashfa kama za arumeru!!..nassari alikua dereva wa lema kwenye kampeni zake,na kupitia matatizo anayopata lema leo,nassari kajifunza na akafanya kampeni zake kisiasa zaidi sio kwa matusi kama lema...point yangu ni kiongozi bora mwenye uwezo wa kuwatimizia wanachii,sio chama bora!!
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

mbona unajirudia rudia unatumiwaa au vipi mwanawaneee?
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!
Wewe ni mzigo kweli ndo huna kitu....nahisi umefundishwa kuandika ila hujapewa upeo wa kutafakari ya kuandika...
:shut-mouth:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom