Nassari sawa, Lema hapana!!

adil_abdallah

Member
Mar 23, 2012
62
10
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!
 
kwa mtazamo wako yule kichaa lusinde ndie ana hadhi eh!!!!
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

Ulimchagulia babako mke! kama la iweje utuchakulie kiongozi wetu we Fisadi??? Any way kukujibu kiaina ni hivi " wekeni mgombea sisi tutaweka jiwe! halafu twende kwenye majumuisho lazima jiwe lishinde kwa jinsi tulivyowachoka" Gamba wewe.
 
Mbona ya Lusinde husemi!?? Mbona humsemi Wassira anaye lala bungeni?? elimu zao za ku unga unga na degree za kikuda mbona huwasemi viongozi wanaofoji vyeti??
 
Kama unasema lema hafai je lusinde anafaa? Pia umuhimu wa mbunge wanaujua wapiga kura wake
 
sina hakika kama hekima inatawara maneno yako unataka wastarabu wezi,lema anafaa kuriko unavyo fikili atafaa siku zote kama ataruhusiwa kugombea kazi kwenu ccm
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

Lusinde

John Komba

Lwakatare Getruda
 
lema takuwa mbunge arusha mjini mpaka siku ikulu itakapokombolewa.
unataka powa hutaki kajinyonge.
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

Mahakama haiwezi kutuchagulia mbunge kamwe,
Kwa taarifa yako hatukati rufaa ili tuwaonyeshe kuwa arusha hatupelekwi kama mazezeta.
Nyie mna pesa, sisi tuna mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom