jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,323
Mkuu hapa hautafutwi ubunge unatafutwa mtaji. Hivi wewe ukichangiwa shilingi milioni 100 bado unahitaji kwenda mjengoni kufanya nini?
lowasa ana ngapi?
Mkuu hapa hautafutwi ubunge unatafutwa mtaji. Hivi wewe ukichangiwa shilingi milioni 100 bado unahitaji kwenda mjengoni kufanya nini?
hilo ni dua la kuku,Na ole wake akose ubunge halafu tukamuona anatakata kwa pesa zetu za bakuli tutamfuata huko huko FOUNDATION FOR TOMMORROW manake tunajua huko ili ale mpaka awapigie magoti wazungu.
Achani mtazamo hasi hii inaonyesha wazi watu wanavyo ikubali CHADEMA kuwa wapo tayari kukisapoti kwa hali na mali ili kisonge mbele kueneza huduma hii ya ukombozi wa fikira kwa watu wengine
Chadema wasilale bali wafanye kazi hizi pesa zitadaiwa kama hawazunguki nchi nzima
Pesa za ruzuku wale MBOWE na SLAA halafu wakati wa uchaguzi utembeze bakuli! hii imekaaje siyo kuwaibia wananchi?
Usimwamshe aliyelala utalala wewe. Mimi nimejiamsha mwenyewe pesa yangu hamuipati tena ng'o na bakuli lenu , kumbe Ndiyo sera ya CHADEMA ya kumtoa mmoja mmoja kwa bakuli hata kama mnajua wazi kuwa ubunge hampati?. Tusidanganyane hapa kwa hili la bakuli tunawaibia wananchi jamani. Au zingine ni kwa ajili ya kulipa deni la MBOWE manake nasikia anakidai chama fedha nyingi sana. Sasa huyu naye anatugharimu ni Mwenyekiti wa Chama au ni Mfanyabiashara ndani ya Chama?
Mkuu naona bado huelewi maana ya people's power kwa sababu hiyo pesa yako kuipata itakuwa ngumu sana ni si wewe tu mpo wengi wa aina yako. sisi tunakijenga chama tukijua kuwa ni mali yetu na haya wanayo sema viongozi wetu tunawaunga mkono si maneno tu pali kwa mali pia ili huduma isonge mbele na wsiwe na sababu ya kulalaUsimwamshe aliyelala utalala wewe. Mimi nimejiamsha mwenyewe pesa yangu hamuipati tena ng'o na bakuli lenu , kumbe Ndiyo sera ya CHADEMA ya kumtoa mmoja mmoja kwa bakuli hata kama mnajua wazi kuwa ubunge hampati?. Tusidanganyane hapa kwa hili la bakuli tunawaibia wananchi jamani. Au zingine ni kwa ajili ya kulipa deni la MBOWE manake nasikia anakidai chama fedha nyingi sana. Sasa huyu naye anatugharimu ni Mwenyekiti wa Chama au ni Mfanyabiashara ndani ya Chama?
Mkuu naona bado huelewi maana ya people's power kwa sababu hiyo pesa yako kuipata itakuwa ngumu sana ni si wewe tu mpo wengi wa aina yako. sisi tunakijenga chama tukijua kuwa ni mali yetu na haya wanayo sema viongozi wetu tunawaunga mkono si maneno tu pali kwa mali pia ili huduma isonge mbele na wsiwe na sababu ya kulala
Chadema ya leo si mali ya MBOWE zinduka wewe !!!!!
lowasa ana ngapi?
Huyu anayekwenda kuwapaka wananchi mafuta kwa mgongo wa chupa ni hatari zaidi. Wao wanajua ardhi inaporwa wakati wa kkampeni tu? si wana viongozi huku majimboni kwa nini wasiripoti? au CHADEMA si chama bali ni Wanaharakati mbona hamueleweki? Hivi unajua ruzuku wanazozikataa zinatoka wapi? si kwa wananchi hao unaowatembezea bakuli na kuwanyang'anya kile walichobakiza baada ya kukupa zako huku kwenye ruzuku?NGOJA nikuache manake kama hujelewa kuwa wewe ni white paper basi.
Mgombea wa kiti Cha ubunge katika Jimbo La Arumeru Mashariki(CHADEMA)Joshua Nassari,jana katika Viwanja vya Patandi(Tengeru)ameendeleea kuchangiwa shillingi hamsini na mia mia katika Mkutano wa Hadhara ambapo alikusanya zaidi ya Shillingi Laki5ni kama kurudishiwa Gharama Za mafuta na chakula ili aendelee na kampeni zake,Mkutano uliohudhuriwa zaidi na akina mama wa Soko La Tengeru.
Wakati huohuo Polisi walipata wakati Mgumu sana kuelekeza Misafara ya CCM na Chadema pale ambapo Msafara wa CHADEMA ulipokuwa ukiondoka Tengeru kuelekea USA River ilipo kambi ya CHADEMA na ule wa CCM uliokuwa na Mabasi yakirudisha watu ARUSHA mjini walipokutana uso kwa Uso..
Leo CHADEMA wana mikutano32 ambayo itahutubiwa na wabunge wake mbali mbali huku Mgombea akihutubia Mikutano mitatu hadi Mitano kwa Siku
Dalili za kukubalika kwa chama cha kisiasa ni uungwaji mkono kwa vitendo na watu walio wengi. Kuchangisha michango katika uchaguzi ni njia ya kufaa inayotumiwa na vyama vyote vya kidemokrasia duniani ili kupima uungwaji mkono. Mfano, Democrats ya Obama, iliipita Republican kwa michango toka kwa wamarekani 2008. Vyama hivyo vyote ni tajiri na viko katika nchi tajiri zaidi duniani. Mbona kila uchaguzi vinapitisha bakuli? Ila kwa Tanzania, CCM hali ni tofauti, ni kwamba hakiungwi mkono na watu wengi ndio sababu hata wakiomba michango wanaotoa ni matajiri tu (Rejea uchaguzi 2010). Ili iungwe mkono CCM imekuwa ikitoa michango (Rushwa?) kwa watu, badala ya kupokea michango toka kwa watu.Pesa za ruzuku wale MBOWE na SLAA halafu wakati wa uchaguzi utembeze bakuli! hii imekaaje siyo kuwaibia wananchi?
Pesa za ruzuku wale MBOWE na SLAA halafu wakati wa uchaguzi utembeze bakuli! hii imekaaje siyo kuwaibia wananchi?
heri yake huyu
wanaochangia wengi wao ni wana Arumeru kwa mtu wanayejua atawaletea maendeleo.
huenda huna cha kuchangia au umezoea kupewa khanga na kofia kukopu na hii staili huwezi!