Nassari aamua kugawa mashamba Arumeru, Polisi washindwa kuzuia zoezi

Mkuu Ngurati, asante kwa taarifa hii, nchi hii huendeshwa kwa kitu kinachoitwa sheria, taratibu na kanuni!,
Jee Mhe. Mbunge wenu Nasari, anayo mamlaka ya kugawa land?!.

Kwa kukusaidia wewe na wengine wengi wasio jua sheria, kati ya mikataba yote mingine, unaweza kuingia mkataba kwa kauli tuu, lakini umiliki wa ardhi, ni lazima ufanywe kwa maandishi!, hili la Mhe. Mbunge kugawa mashamba kwa kauli na vitendo, bila maandishi rasmi ni kujifurahisha tuu!.

Kama eneo linatolewa kwa kauli tuu!, basi mimi Pasco wa jf, nimemgawia Ngurati, lile eneo lote la Magogoni hadi lilipo lile jumba jeupe!, ni eneo lako, lichukue!. Utakubali?!.

Pasco.

Nchi ipi inaendeshwa kwa sheria Pasco? Tanzania? Laiti ingekuwa hivyo mbona watanzania tungekuwa na starehe ya ajabu! Wakati Mugabe anataifisha ardhi na kuwapa wazawa, jirani zao Tanzania wako na bidii ya kubinafsisha ardhi na resources kadha wa kadha kwa wageni, tena bureeee.
Hiyo sheria unayosema nijuavyo mimi na watanzania wengi ni kauli ya kuwanyamazisha raia watulie waliwe vizuri, sheria na haki ni term ambayo kama ikifuatwa hapa nchini inakuwa ni kitendo cha muujiza.
 
Mkuu Ngurati, asante kwa taarifa hii, nchi hii huendeshwa kwa kitu kinachoitwa sheria, taratibu na kanuni!,
Jee Mhe. Mbunge wenu Nasari, anayo mamlaka ya kugawa land?!.

Kwa kukusaidia wewe na wengine wengi wasio jua sheria, kati ya mikataba yote mingine, unaweza kuingia mkataba kwa kauli tuu, lakini umiliki wa ardhi, ni lazima ufanywe kwa maandishi!, hili la Mhe. Mbunge kugawa mashamba kwa kauli na vitendo, bila maandishi rasmi ni kujifurahisha tuu!.

Kama eneo linatolewa kwa kauli tuu!, basi mimi Pasco wa jf, nimemgawia Ngurati, lile eneo lote la Magogoni hadi lilipo lile jumba jeupe!, ni eneo lako, lichukue!. Utakubali?!.

Huu mtindo wa Mhe. Mmbunge kujitwalia mamlaka nje ya uwezo wake ili tuu kuwafurahisha wananchi, kwa manufaa ya kujijenga kisiasa ili kupendwa, inaitwa "populist leadership!", wanachi watampenda sana mbunge wao, na wale wote watakaopokea maeneo hayo kwa kauli tuu ya Mhe. Mbunge wao, watakuwa wanajifurahisha tuu!.Anachofanya Mheshimiwa Mbunge ni uwamizi!.

Kiukweli inawabidi Chadema waishukuru sana serikali ya bwana "dhaifu" kuendeea kuwachekea "nyani" shambani, kwani watakachovuna ni mabua tuu!. Kama tumefikia hatua ya vyombo vya dola kuangalia na kuviachia vitendo vya uvunjanji wa sheria wazi wazi bila kuchukua hatua zozote!, basi ndio tunaanza hivi kidogo kidogo hadi tutaweza kuhamashisha maandamano makubwa ya nchi nzima kuelekea pale magogoni, na kumtoa yule mpangaji mahali pale!.

Hongera zake sana Mhe. Nasari kusimama na wanachi wake, kuwapatia kila wanachokitaka!, to hell with sheria taratibu na kanuni!, its peoples power!.

Pasco.

we jamaa huwa nakukubali kwa kuuma na kupuliza
 
you don't belong here brother Pasco. that level of thinking and argument you are trying to bring here wont help you or anyone among us. here in JF we think according to what we believe and support and our core brains are on everlasting leave. some of us have decided to change so that we don't have to swim against the tide of jf.
we think like them
we argue like them
we abuse like them
we are sometimes banned like them
though we don't share the same level of thinking with THEM, but they think we are part of them.
kama huamini subiri watakavyokushukia
 
Mkuu Ngurati, asante kwa taarifa hii, nchi hii huendeshwa kwa kitu kinachoitwa sheria, taratibu na kanuni!,
Jee Mhe. Mbunge wenu Nasari, anayo mamlaka ya kugawa land?!.

Kwa kukusaidia wewe na wengine wengi wasio jua sheria, kati ya mikataba yote mingine, unaweza kuingia mkataba kwa kauli tuu, lakini umiliki wa ardhi, ni lazima ufanywe kwa maandishi!, hili la Mhe. Mbunge kugawa mashamba kwa kauli na vitendo, bila maandishi rasmi ni kujifurahisha tuu!.

Kama eneo linatolewa kwa kauli tuu!, basi mimi Pasco wa jf, nimemgawia Ngurati, lile eneo lote la Magogoni hadi lilipo lile jumba jeupe!, ni eneo lako, lichukue!. Utakubali?!.

Huu mtindo wa Mhe. Mmbunge kujitwalia mamlaka nje ya uwezo wake ili tuu kuwafurahisha wananchi, kwa manufaa ya kujijenga kisiasa ili kupendwa, inaitwa "populist leadership!", wanachi watampenda sana mbunge wao, na wale wote watakaopokea maeneo hayo kwa kauli tuu ya Mhe. Mbunge wao, watakuwa wanajifurahisha tuu!.Anachofanya Mheshimiwa Mbunge ni uwamizi!.

Kiukweli inawabidi Chadema waishukuru sana serikali ya bwana "dhaifu" kuendeea kuwachekea "nyani" shambani, kwani watakachovuna ni mabua tuu!. Kama tumefikia hatua ya vyombo vya dola kuangalia na kuviachia vitendo vya uvunjanji wa sheria wazi wazi bila kuchukua hatua zozote!, basi ndio tunaanza hivi kidogo kidogo hadi tutaweza kuhamashisha maandamano makubwa ya nchi nzima kuelekea pale magogoni, na kumtoa yule mpangaji mahali pale!.

Hongera zake sana Mhe. Nasari kusimama na wanachi wake, kuwapatia kila wanachokitaka!, to hell with sheria taratibu na kanuni!, its peoples power!.

Pasco.

Nakuunga mkono sana bwana Pasco kwa tahadhari zako na jinsi unavyozijua sheria. Ni ukweli ulio dhahiri sheria za nchi hii nyingi zinafanya kazi sana hasa kama zinawabana wapinzani. Hebu tusaidie hivi unaujua kwa undani utata wa haya mashamba ama umeamua tu kung'oa kifungu cha kugawa ardhi kisheria? Hebu nitolee uzi wako uliokemea sheria kuvunjwa kuhusu sheria isemavyo daftari la mpiga kura linahitaji kuboreshwa mara ngapi kabla ya uchaguzi unaofuata? Sheria inasemaje mtu anapoiba mali ya umma, arudishe na rais amsamehe ama ashitakiwe? Kama sheria hizi hazikufuatwa inakuwaje unamfundisha mbunge Nassari kufuata sheria ambazo hazina manufaa kwa wananchi wa meru?

Nakubaliana na wewe sana kwamba bwana Nassari kafanya makosa ya kugawa ardhi bila kufuata sheria, sasa ili isiwe umerukia jambo usilolijua na kukuhusu ni vyema ungeomba kujua hilo eneo linatatizo gani kisheria. Ujiridhishe lilimilikiwa kivipi nk. Vinginevyo ndugu utakuwa unajaribu tu kuendeleza kufundisha watu uoga kwa kufuata sheria zinazovyunjwa na hao wasimamia sheria.
 
Mkuu Ngurati, asante kwa taarifa hii, nchi hii huendeshwa kwa kitu kinachoitwa sheria, taratibu na kanuni!,
Jee Mhe. Mbunge wenu Nasari, anayo mamlaka ya kugawa land?!.

Kwa kukusaidia wewe na wengine wengi wasio jua sheria, kati ya mikataba yote mingine, unaweza kuingia mkataba kwa kauli tuu, lakini umiliki wa ardhi, ni lazima ufanywe kwa maandishi!, hili la Mhe. Mbunge kugawa mashamba kwa kauli na vitendo, bila maandishi rasmi ni kujifurahisha tuu!.

Kama eneo linatolewa kwa kauli tuu!, basi mimi Pasco wa jf, nimemgawia Ngurati, lile eneo lote la Magogoni hadi lilipo lile jumba jeupe!, ni eneo lako, lichukue!. Utakubali?!.

Huu mtindo wa Mhe. Mmbunge kujitwalia mamlaka nje ya uwezo wake ili tuu kuwafurahisha wananchi, kwa manufaa ya kujijenga kisiasa ili kupendwa, inaitwa "populist leadership!", wanachi watampenda sana mbunge wao, na wale wote watakaopokea maeneo hayo kwa kauli tuu ya Mhe. Mbunge wao, watakuwa wanajifurahisha tuu!.Anachofanya Mheshimiwa Mbunge ni uwamizi!.

Kiukweli inawabidi Chadema waishukuru sana serikali ya bwana "dhaifu" kuendeea kuwachekea "nyani" shambani, kwani watakachovuna ni mabua tuu!. Kama tumefikia hatua ya vyombo vya dola kuangalia na kuviachia vitendo vya uvunjanji wa sheria wazi wazi bila kuchukua hatua zozote!, basi ndio tunaanza hivi kidogo kidogo hadi tutaweza kuhamashisha maandamano makubwa ya nchi nzima kuelekea pale magogoni, na kumtoa yule mpangaji mahali pale!.

Hongera zake sana Mhe. Nasari kusimama na wanachi wake, kuwapatia kila wanachokitaka!, to hell with sheria taratibu na kanuni!, its peoples power!.

Pasco.
Hata sheria ya kubagua waafrika huko south afrika ilitakiwa itekelezwe ili watu waitii, je waliitii? bado inafuatwa? unaona ni vizuri ardhi kukaa idle wakati watu wa kuitumia wapo? chukulia shamba la kapunga mbalali, wakubwa wanazugazuga kuwauzia wahindi kumbe Mwandosya ana share,
 
Sheria ya ardhi ipo wazi acheni ushabiki wa kisiasa mbunge hana uwezo wa kugawa mashamba!

Mbunge aweza kugawa mashamba kwa kushirikiana na village council leaders. Tuna ardhi za aina tatu, village land, general land and reserved land. Kwa hiyo, wanakijiji wanaweza kugawana mashamba kupitia village council ambapo mbunge pia ni mdau.
Lakini pia, sheria zetu za ardhi, haziko clear, zinapingana (Tenure conflict) kati ya village land and general land katika utendaji kazi wake.
 
Lowasa ana aapishwa lini ?.
Mkuu Lunyungu, uchaguzi ni Jumamosi October 31, Matokeo ni Jumatano November 5, rais mpya anapishwa Jumamosi November 7!.
Vipi kuna la zaidi?!, kwa msiomjua rais wetu ajaye ni "the one and only" aliyepangiwa na Mungu!.

Huyu ni Mwamba wa Kaskazini!, Bwana Wetu alisema "Wewe ni Mwamba, na Juu ya Mwamba huu, nitalijenga taifa langu!".

Jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!".

Na kwa wenye imani haba, wakidhani kuna jambo haliwezekani duniani!, wajue hakuna lisilowezekana!, na likitokea kuna jambo haliwezekani kwa binadamu kwa YEYE linawezekana!.

Nakuombea afya njema, ili kuishuhudia hiyo November 7!.

Pasco
 
Mkuu Pasco mwanajeshi akifanikiwa kupindua serekali anakuwa Rais na anapata heshima zote za mkuu wa nchi.Mwanajeshi huyu huyu akishindwa jaribio la kupindua serekali ni haini adhabu yake ni kifo au kifungo cha maisha au kifungo cha muda mrefu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ngurati, asante kwa taarifa hii, nchi hii huendeshwa kwa kitu kinachoitwa sheria, taratibu na kanuni!,
Jee Mhe. Mbunge wenu Nasari, anayo mamlaka ya kugawa land?!.

Kwa kukusaidia wewe na wengine wengi wasio jua sheria, kati ya mikataba yote mingine, unaweza kuingia mkataba kwa kauli tuu, lakini umiliki wa ardhi, ni lazima ufanywe kwa maandishi!, hili la Mhe. Mbunge kugawa mashamba kwa kauli na vitendo, bila maandishi rasmi ni kujifurahisha tuu!.

Kama eneo linatolewa kwa kauli tuu!, basi mimi Pasco wa jf, nimemgawia Ngurati, lile eneo lote la Magogoni hadi lilipo lile jumba jeupe!, ni eneo lako, lichukue!. Utakubali?!.

Huu mtindo wa Mhe. Mmbunge kujitwalia mamlaka nje ya uwezo wake ili tuu kuwafurahisha wananchi, kwa manufaa ya kujijenga kisiasa ili kupendwa, inaitwa "populist leadership!", wanachi watampenda sana mbunge wao, na wale wote watakaopokea maeneo hayo kwa kauli tuu ya Mhe. Mbunge wao, watakuwa wanajifurahisha tuu!.Anachofanya Mheshimiwa Mbunge ni uwamizi!.

Kiukweli inawabidi Chadema waishukuru sana serikali ya bwana "dhaifu" kuendeea kuwachekea "nyani" shambani, kwani watakachovuna ni mabua tuu!. Kama tumefikia hatua ya vyombo vya dola kuangalia na kuviachia vitendo vya uvunjanji wa sheria wazi wazi bila kuchukua hatua zozote!, basi ndio tunaanza hivi kidogo kidogo hadi tutaweza kuhamashisha maandamano makubwa ya nchi nzima kuelekea pale magogoni, na kumtoa yule mpangaji mahali pale!.

Hongera zake sana Mhe. Nasari kusimama na wanachi wake, kuwapatia kila wanachokitaka!, to hell with sheria taratibu na kanuni!, its peoples power!.

Pasco.
Pasco ingia mtandaoni ardhii ya Kijiji inamilikiwa na nani? Na ndicho mchungaji Munishi alisema kuhusu ninyi waandishi na upotoshaji wa habari. Serikali ya Kijiji kama kimesajiliwa ni wao wenyewe wanapaswa kukubaliana matumizi na kazi ya halmashauri ni kusajiri. Kwa hiyo kama anasimimia makubaliano ya Kijiji, sasa tatizo lako Pasco ni nini? Sheria ipi ya Kijiji imekuwa, kwa taarifa kama umesoma Sera ya Taifa ya Ardhi na Sheria za Ardhi (Sheria ya Ardhi Na. 4 ya mwaka 1999; Sheria ya Ardhi ya Vijiji Na. 5 ya mwaka 1999; Sheria ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi Na. 6 ya mwaka 2007) kila kijiji hakina budi kuandaa mpango wa matumizi bora ya ardhi kwa madhumuni ya kuwezesha usimamizi na matumizi endelevu ya ardhi. Hayo yote ya Morogoro , kiteto nk, yangetoka wapi wakati vijiji ndivyo vina mamlaka? Tatizo lako pia ni peoples power ya CDM ama people power ya kisheria?
Tueleza katika sheria hizi kakiuka nini?
 
Mkuu Lunyungu, uchaguzi ni Jumamosi October 31, Matokeo ni Jumatano November 5, rais mpya anapishwa Jumamosi November 7!.
Vipi kuna la zaidi?!, kwa msiomjua rais wetu ajaye ni "the one and only" aliyepangiwa na Mungu!.

Huyu ni Mwamba wa Kaskazini!, Bwana Wetu alisema "Wewe ni Mwamba, na Juu ya Mwamba huu, nitalijenga taifa langu!".

Jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!".

Na kwa wenye imani haba, wakidhani kuna jambo haliwezekani duniani!, wajue hakuna lisilowezekana!, na likitokea kuna jambo haliwezekani kwa binadamu kwa YEYE linawezekana!.

Nakuombea afya njema, ili kuishuhudia hiyo November 7!.

Pasco

Na Bwana alisema Pasco atakuwa Waziri wa Habari au Msemaji wa Ikulu hapo mnamo Nov.2015. Kweli Bwana anajua kugawa vyeo.
Umeenda Sinagogi ukajua mtafikisha siku hiyo ,sijui yule Mtoto wa Sheik Yahya siku hizi anamhudumia nani!
 
you don't belong here brother pasco. That level of thinking and argument you are trying to bring here wont help you or anyone among us. Here in jf we think according to what we believe and support and our core brains are on everlasting leave. Some of us have decided to change so that we don't have to swim against the tide of jf.
We think like them
we argue like them
we abuse like them
we are sometimes banned like them
though we don't share the same level of thinking with them, but they think we are part of them.
Kama huamini subiri watakavyokushukia

kwamba wewe na pasco mko level nyingine ( tena si ya chini ) bali ya juu siyo ? Vijana mnajipa moyo sana !
 
Pasco ingia mtandaoni ardhii ya Kijiji inamilikiwa na nani? Na ndicho mchungaji Munishi alisema kuhusu ninyi waandishi na upotoshaji wa habari. Serikali ya Kijiji kama kimesajiliwa ni wao wenyewe wanapaswa kukubaliana matumizi na kazi ya halmashauri ni kusajiri. Kwa hiyo kama anasimimia makubaliano ya Kijiji, sasa tatizo lako Pasco ni nini? Sheria ipi ya Kijiji imekuwa, kwa taarifa kama umesoma Sera ya Taifa ya Ardhi na Sheria za Ardhi (Sheria ya Ardhi Na. 4 ya mwaka 1999; Sheria ya Ardhi ya Vijiji Na. 5 ya mwaka 1999; Sheria ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi Na. 6 ya mwaka 2007) kila kijiji hakina budi kuandaa mpango wa matumizi bora ya ardhi kwa madhumuni ya kuwezesha usimamizi na matumizi endelevu ya ardhi. Hayo yote ya Morogoro , kiteto nk, yangetoka wapi wakati vijiji ndivyo vina mamlaka? Tatizo lako pia ni peoples power ya CDM ama people power ya kisheria?
Tueleza katika sheria hizi kakiuka nini?
Mkuu Rea, kwanza asante kwa ufafanuzi wa kisheria, pili unaonekana unazijua vyema sheria!. Nilichosema mimi, katika mikataba yote kabisa, inaweza kufanywa kwa kauli na matendo na bado ikawa ni mikataba halali!, hata umiliki wa gari,japo gari lina kadi ya gari, unaweza kumilikisha mkeo, mtoto au rafiki kwa kauli tuu, na umiliki huo ukawa halali, hata bila ya kumkabidhi kadi!, lakini miliki yoyote ya ardhi ni kwa "maandishi!", kinyume cha hapo ni kujifurahisha tuu na hizo ardhi za kupeana ki "populist!"

Nimesema na hapa narudia, nchi inaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni!, serikali inaweza kuyatwaa maeneo yoyote na kubadili matumizi yake kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni!, hata kama hiyo sardhi iliyotwaaliwa na kubadilishwa matumizi, haitumiki tena kwa madhumuni ya mabadiliko ya matumizi yale ya ardhi, na kabla haijabadilishwa ulimilikiwa na vijiji, ili kuirudisha hivyo ardhi katika miliki ya vijiji husika, lazima sheria taratibu na kanuni za restoration zifanyike!, na sivyo hivyo kama anavyofanya Mhe. Mbunge!.

Anachofanya ni kuwapa wananchi wale false hopes za kumilikishwa ardhi kwa mtindo wa uvamizi, wakati kiukweli kabisa kisheria, kiutaratibu na kikanuni, hakuna umiliki wowote wa ardhi kwa wananchi hao kutokana na hatua za Mhe. Mbunge wao!, bali ni kujifurahisha tuu!.

Na kujifurahisha huku hakuishii kwenye mashamba tuu, kuna watu wana hadi ndoto ya kuwa wapangaji wa ile nyumba nyeupe, mwaka 2015, kwa hopes na matumaini hewa!, hivyo wanakuwa na too great expectations kuwa itakuwa, isipokuwa they end up in great despair!.

Tuambizane ukweli jameni, tusipeane matumaini ya uongo!.

Pasco.
 
Mbunge aweza kugawa mashamba kwa kushirikiana na village council leaders. Tuna ardhi za aina tatu, village land, general land and reserved land. Kwa hiyo, wanakijiji wanaweza kugawana mashamba kupitia village council ambapo mbunge pia ni mdau.
Lakini pia, sheria zetu za ardhi, haziko clear, zinapingana (Tenure conflict) kati ya village land and general land katika utendaji kazi wake.

asante MKUU .
 
Hapa kuna tatizo la kimfumo na kiutendaji. Hili lililotokea si kwa bahati mbaya au la kusitukiza. Ni tatizo lililokuwepo muda mrefu na lilijulikana. Je kwa nini serikali Kuu au ya mitaa haikulitatua kwa muda mwafaka? Unatarajia wananchi wenye shida waendelee kusubiri kwa a muda usioeleweka! Hata Nyerere aliwahi kusema ni vigumu kutawala watu wenye njaa, watahasi tu na wala hawatajali tena hizo sheria na taratibu za kimfumo wa ukiritimba.
 
Back
Top Bottom