Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,140
- 14,678
Miye nawacwac na uwezo wa akir wa watu weng..maana hata kwenye ukwel wao wanabisha tu..kusoma hawajui hata picha..standrd za filamu kwel hatuzijui?au jst tulumbane tu bila hata kutoka na tunachotakiwa kufanya..shame on...
Mkuu, funguka.
Naona umeongea mambo meengi tena kwa mafumbo
na sijajua umekusudia nini? Weka baya hoja yako
huenda ikawasaidia wanaobisha au kulumbana...