nashindwa kustream video online

Hkeen

Member
Aug 17, 2011
95
4
Natumia nokia 2700, naomba msaada kwani ninapotaka kustream video za utube, inapoanza kustream inaonesha hadi hukubwa dakika za video ila haioneshi zaidi ya kunipa ujumbe kwenye screan ( NOTHING TO DISPLAY). Ninkosa mambo mambo mengi tafadhali mwenye ujuzi na ili naomba anisaidie. Pazia!
 
Hata mimi ninahitaji msaada; ugonjwa unafanana. Natumia Nikia E61i, naambiwa UNABLE TO CONNECT TO SERVER. SERVER TIMED OUT.
 
hakikisheni simu zenu zina support stream online video..zaidi ya hapo nothing you can do..
 
Natumia nokia 2700, naomba msaada kwani ninapotaka kustream video za utube, inapoanza kustream inaonesha hadi hukubwa dakika za video ila haioneshi zaidi ya kunipa ujumbe kwenye screan ( NOTHING TO DISPLAY). Ninkosa mambo mambo mengi tafadhali mwenye ujuzi na ili naomba anisaidie. Pazia!

simu yako haisupport hizo stream video sawa mkuu..
 
Simu yangu ilikuwa ina-support bila tatizo. Imegoma ghafla, sijui tatizo nini?
 
Hata mimi ninahitaji msaada; ugonjwa unafanana. Natumia Nikia E61i, naambiwa UNABLE TO CONNECT TO SERVER. SERVER TIMED OUT.

yako inasupport lakini inawezekana hizo youtube au video zinakuwa sio formatted kwa simu..
jaribu kuinstall aljazeera for mobile uone kama itafanya kazi..
 
Natumia nokia 2700, naomba msaada kwani ninapotaka kustream video za utube, inapoanza kustream inaonesha hadi hukubwa dakika za video ila haioneshi zaidi ya kunipa ujumbe kwenye screan ( NOTHING TO DISPLAY). Ninkosa mambo mambo mengi tafadhali mwenye ujuzi na ili naomba anisaidie. Pazia!

mimi pia nilikuwa na tatizo kama hilo na nilikuwa natumia laini ya airtel lakini nilipo badirisha laini tatizo likaisha simu yangu ni nokia 2710.
 
Back
Top Bottom