Nashindwa kumuelewa huyu mdada

cha msingi kama unapata mpasuko poa!
kumuita majina mengi ya kimapenzi haimaanishi kuwa unampenda sana. Onyesha kwa vitendo kuwa unampenda na sio kwa kuwa na idadi kubwa ya maneno ya kumuita demu wako.
 
cha msingi kama unapata mpasuko poa!
kumuita majina mengi ya kimapenzi haimaanishi kuwa unampenda sana. Onyesha kwa vitendo kuwa unampenda na sio kwa kuwa na idadi kubwa ya majina ya kumuita demu wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom