Narudishaje magroup ya WhatsApp baada ya kubadili simu?

CEYLON

JF-Expert Member
Dec 3, 2012
282
101
Nimebadili simu,

Ila magrup yote ya whatsap hayapo. Kwa anayejua, naomba msaada wa kuelekezwa namna yakuyarudisha.
 
Magroup yanarudi yenyewe automatically. Labda kama ubadilishe namba ya simu bila kubadili WhatsApp account au uwe umekaa nje ya WhatsApp muda mrefu mpaka account yako ya WhatsApp ikafutika
 
Muda mrefu ndio kama upi mkuu, miezi au miaka ?
 
Nimebadili simu,

Ila magrup yote ya whatsap hayapo. Kwa anayejua, naomba msaada wa kuelekezwa namna yakuyarudisha.
Wakituma msg zinarudi zenyewe kama hazijarudi basi utakua ume left hayo magroup 🦦 waambie ma admin wakuonganishe tena
 
Back
Top Bottom