Napitia magumu na makubwa moyo unaniuma natamani kuchukua maamuzi ila sina nguzo imara ya kusimamia naombeni ushauri

Habari wana JF,

Kama mada isemavyo hapo juu mimi nina mpenzi niko nae kwenye mahusiano almost 3yrs nampenda siwezi sema tunapendana maana sijui upande wake ananichukuliaje

Now amebadilika sana amekuwa mtu asiyejali yani vitabia vyake anajirahisisha sana kwa wanaume hata nikiwa nae yeye hajali nikimwambia anasema hamna wa kumpangia aishi maisha gani

Lakini pia yeye suala la kugawa namba kwa wanaume kwake sio tatizo na hata akitongozwa anaona kawaida tu nikiliongelea hilo anasema I'm not married nakerwa na tabia zake inatokea kutokuelewana ndani kila siku nikiongea jambo dogo tu kuhusu mambo anayoyafanya anakuja juu basi nakuwa mpole sababu nampenda

Nimetega call recorder kwenye simu yake nimekuja kugundua kuna wanaume huwa anaenda kukutana nao kulingana na maongezi yao yanavyoenda na matukio yanayotokea nikimuuliza anasema ananipenda ila nimekuja kujua sina nafasi moyoni mwake

Naombeni ushauri ndugu zangu nichukue uamuzi gani maana nipo mwenyewe tafta yangu sio nzuri sana wakuu
Nawasilisha
Unaishi na Bomu la Nyuklia liepuke sasa.
 
1. Usipende kuingilia Uhuru WA mtu mwingine na mambo yasiyokuhusu.
Huyo hujamuoa, anamaamuzi yake na Uhuru wake.

2. Jiamini, yeye akigawa namba na akitongozwa inakuuma nini? Unahisi atakuacha au utazidiwa kete na wanaume wengine. Kama unaamini kuna Wanaume wenye thamani zaidi yako basi huna vigezo vya kuwa na huyo Binti.

3. Mapenzi ukitaka uyaweze jitahidi thamani yako uijue. Usilazimishe mapenzi. Hakikisha Mpenzi wako akuone wa thamani na hakuna kama wewe. Hapo atakuthamini na kukupenda. Hutokuwa na muda wa kumfuatilia Kwa sababu unajiamini kuwa unathamani kubwa ambayo ni wanaume wachache wanafanana na wewe. Hivyo huyo Binti kukukosa kwake itakuwa hasara kubwa ya Maisha yake.
 
Kuna watu ni wapole hadi kwenye mwandiko...

Kijana subiri hapo hapo siku hizi inaruhusiwa mwanamke mmoja kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja 🤭
 
1. Usipende kuingilia Uhuru WA mtu mwingine na mambo yasiyokuhusu.
Huyo hujamuoa, anamaamuzi yake na Uhuru wake.

2. Jiamini, yeye akigawa namba na akitongozwa inakuuma nini? Unahisi atakuacha au utazidiwa kete na wanaume wengine. Kama unaamini kuna Wanaume wenye thamani zaidi yako basi huna vigezo vya kuwa na huyo Binti.

3. Mapenzi ukitaka uyaweze jitahidi thamani yako uijue. Usilazimishe mapenzi. Hakikisha Mpenzi wako akuone wa thamani na hakuna kama wewe. Hapo atakuthamini na kukupenda. Hutokuwa na muda wa kumfuatilia Kwa sababu unajiamini kuwa unathamani kubwa ambayo ni wanaume wachache wanafanana na wewe. Hivyo huyo Binti kukukosa kwake itakuwa hasara kubwa ya Maisha yake.

Nanukuuu

""Lakini pia yeye suala la kugawa namba kwa wanaume kwake sio tatizo na hata akitongozwa anaona kawaida tu nikiliongelea hilo anasema I'm not married""

MKUU UNATAKA MUNGU AKUTUMIE MALAIKA ZAKE NDIYO UJUE HAPO HAUHITAJIKI NDUGU YANGU..

PIGA CHINI HARAKA SANA, UTAPATA MWINGINE TUU. WANAWAKE WEMA WAPO NDUGU YANGU KWANINI UTESEKE MOYO WAKO, KWANINI KIJANA.

MOVE ON MKUU.

Mwanamke ambaye hakutaki au kakuchoka naanataka ujiongeze hizo ndiyo dalili zake kuu.
 
Habari wana JF,

Kama mada isemavyo hapo juu mimi nina mpenzi niko nae kwenye mahusiano almost 3yrs nampenda siwezi sema tunapendana maana sijui upande wake ananichukuliaje

Now amebadilika sana amekuwa mtu asiyejali yani vitabia vyake anajirahisisha sana kwa wanaume hata nikiwa nae yeye hajali nikimwambia anasema hamna wa kumpangia aishi maisha gani

Lakini pia yeye suala la kugawa namba kwa wanaume kwake sio tatizo na hata akitongozwa anaona kawaida tu nikiliongelea hilo anasema I'm not married nakerwa na tabia zake inatokea kutokuelewana ndani kila siku nikiongea jambo dogo tu kuhusu mambo anayoyafanya anakuja juu basi nakuwa mpole sababu nampenda

Nimetega call recorder kwenye simu yake nimekuja kugundua kuna wanaume huwa anaenda kukutana nao kulingana na maongezi yao yanavyoenda na matukio yanayotokea nikimuuliza anasema ananipenda ila nimekuja kujua sina nafasi moyoni mwake

Naombeni ushauri ndugu zangu nichukue uamuzi gani maana nipo mwenyewe tafta yangu sio nzuri sana wakuu
Nawasilisha
Nipe namba yake,Mimi na Mpwayungu Village tutamfundisha adabu
 
Duuh pole maan najua maumivu yake ila jaribu kadri ya uwezo wako kumuona/kumchukulia wa kawaida mwisho wa siku utajikuta umeshamove on bila kujua umetokaje kwenye hayo mahusiano ..
MAHUSIANO YASIOELEWEKA NA YENYE MAUMIVU KILA KUKICHWA YANAWEZA KUKURUDISHA NYUMA KIMAISHA NA KIMAENDELEO KWA UJUMLA.
SO KEEP IN UR MIND HAYA NILIYOKUAMBIA BROH
SISI WANAWAKE NI WATU WA AJABU SANA YAAN MWANAUME AKITUPENDA TUNAUTUMIA KAMA UDHAIFU KWA KUMTENDEA/KUMFANYIA CHOCHOTE KILE TUNACHOJISIKIA..
Usipo msikia na huyu bi dada basi subiria malaika kutoka juu waje kukutoa kwa nguvu huko..

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nilipokuwa nasoma huu uzi nilipofika hapo anaposema’ hakuna wa kumpangia chochote ‘nimeweka sim mezani kwanza huku nikivuta picha kama naambiwa mimi... sijui yaani
 
Kabla ya kuanza kufuatilia mawasiliano ya mpenzi wako, hakikisha kwanza una uwezo wa kumuacha. Kama kumuacha huwezi, acha kumfuatilia.
 
EEWE KIJANA MWENZANGU KATIKA MAISHA TUJARIBU KUTUMIA MFUMO HUU ..... TUTAFTE KWANZA PESA HAWA VIUMBE WATAKUJA WENYEWE ..... ukianza kutafta mademu kwanza utakuwa na kazi mbili so usijitese tumia njia hii itakusaidia
Sidhani kama watakuelewa.
 
Mi nikadhani huna nguzo imara ya kusimama ili ufunge kamba ujinyonge kumbe nguzo unayosemea ni msimamo
 
Habari wana JF,

Kama mada isemavyo hapo juu mimi nina mpenzi niko nae kwenye mahusiano almost 3yrs nampenda siwezi sema tunapendana maana sijui upande wake ananichukuliaje

Now amebadilika sana amekuwa mtu asiyejali yani vitabia vyake anajirahisisha sana kwa wanaume hata nikiwa nae yeye hajali nikimwambia anasema hamna wa kumpangia aishi maisha gani

Lakini pia yeye suala la kugawa namba kwa wanaume kwake sio tatizo na hata akitongozwa anaona kawaida tu nikiliongelea hilo anasema I'm not married nakerwa na tabia zake inatokea kutokuelewana ndani kila siku nikiongea jambo dogo tu kuhusu mambo anayoyafanya anakuja juu basi nakuwa mpole sababu nampenda

Nimetega call recorder kwenye simu yake nimekuja kugundua kuna wanaume huwa anaenda kukutana nao kulingana na maongezi yao yanavyoenda na matukio yanayotokea nikimuuliza anasema ananipenda ila nimekuja kujua sina nafasi moyoni mwake

Naombeni ushauri ndugu zangu nichukue uamuzi gani maana nipo mwenyewe tafta yangu sio nzuri sana wakuu
Nawasilisha
Pole, shukuru umetambua mapema madhaifu yake ni mengi kuliko wewe, embu geuza shingo upande mwingine upate wa kufanana nawe, ambaye atavumilia madhaifu yake,
Hujachelewa, utamsahau tu,
Huyo waachie wazee wa hit and run🤣,
Mda mwingine hivo vituko vyake chukulia iwe fursa kwako ya kusepa.
 
Habari wana JF,

Kama mada isemavyo hapo juu mimi nina mpenzi niko nae kwenye mahusiano almost 3yrs nampenda siwezi sema tunapendana maana sijui upande wake ananichukuliaje

Now amebadilika sana amekuwa mtu asiyejali yani vitabia vyake anajirahisisha sana kwa wanaume hata nikiwa nae yeye hajali nikimwambia anasema hamna wa kumpangia aishi maisha gani

Lakini pia yeye suala la kugawa namba kwa wanaume kwake sio tatizo na hata akitongozwa anaona kawaida tu nikiliongelea hilo anasema I'm not married nakerwa na tabia zake inatokea kutokuelewana ndani kila siku nikiongea jambo dogo tu kuhusu mambo anayoyafanya anakuja juu basi nakuwa mpole sababu nampenda

Nimetega call recorder kwenye simu yake nimekuja kugundua kuna wanaume huwa anaenda kukutana nao kulingana na maongezi yao yanavyoenda na matukio yanayotokea nikimuuliza anasema ananipenda ila nimekuja kujua sina nafasi moyoni mwake

Naombeni ushauri ndugu zangu nichukue uamuzi gani maana nipo mwenyewe tafta yangu sio nzuri sana wakuu
Nawasilisha
Hata hili lililowazi unashindwa kufanya maamuzi je siku ukikutana na gumu zaidi itakuwaje?

Hebu acha utoto! Unachezewa hisia. Huyo mwanamke hajitambui bado. Huyo atakuja kutulia akipigwa tukio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom