Cr wa familia
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 1,063
- 1,405
Habari wana JF,
Kama mada isemavyo hapo juu mimi nina mpenzi niko nae kwenye mahusiano almost 3yrs nampenda siwezi sema tunapendana maana sijui upande wake ananichukuliaje
Now amebadilika sana amekuwa mtu asiyejali yani vitabia vyake anajirahisisha sana kwa wanaume hata nikiwa nae yeye hajali nikimwambia anasema hamna wa kumpangia aishi maisha gani
Lakini pia yeye suala la kugawa namba kwa wanaume kwake sio tatizo na hata akitongozwa anaona kawaida tu nikiliongelea hilo anasema I'm not married nakerwa na tabia zake inatokea kutokuelewana ndani kila siku nikiongea jambo dogo tu kuhusu mambo anayoyafanya anakuja juu basi nakuwa mpole sababu nampenda
Nimetega call recorder kwenye simu yake nimekuja kugundua kuna wanaume huwa anaenda kukutana nao kulingana na maongezi yao yanavyoenda na matukio yanayotokea nikimuuliza anasema ananipenda ila nimekuja kujua sina nafasi moyoni mwake
Naombeni ushauri ndugu zangu nichukue uamuzi gani maana nipo mwenyewe tafta yangu sio nzuri sana wakuu
Nawasilisha