Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,562
- 3,559
Daah pole Mkuu...Naomba kuuliza je? Kuna utafiti ulishawahi kufanyika kwa ajali zilizotokea na kuua watu wengi kwenye mabasi, kuwa hao waliofariki hasa waliumia sehemu gani mwilini?
Mm maranyingi nilishuhudia majeruhi wakiwa wameumia vichwani,
Kama kwenye meli watu huvaa life jacket, basi na nchi kavu tuwekewe kofia ngumu ndani ya usafiri wa mabasi,
utengenezwe tu mpango wa abiria atakayehitaji avae asiyehitaji asilazimiishwe,
Najua kuna changamoto ya magonjwa ya kuambukiza ila hizo kofia ziwe zinapuliziwa sawa,
Tusisubiri wazungu waanzishe ndo tuige Kama mikanda umeshindwa kutusaidia, basi tujaribu na hiyo njia labda yaweza kutufaa na kupunguza idadi ya vifo vya ajali za barabarani, majaribio yaanzie kwa mabasi makubwa,
Ni mawazo yangu tu