Napenda umaarufu

Kama unataka umaarf kwa mda mfupi bla mafanikio n simpo, fanya hv, angalia watu wako attentive Na ktu gan kwa sasa then hapohapo Na ww unaibuka Na hoja zako. Mfano ita vyombo vya habar uanze kudis movnt ya UKUTA kwa ktumia hoja zako binafsi bla kumhusisha mtu yeyote, wana kuegemea upande wowote sambaza video mbalimbali khs hzo fikra zako.. Nnaamin haito fkisha masaa 72 Tanzania itakujadili tyu...!!! Tena itakfngulia milango maana nimeona umelipenda wazo la kuanzsha chama cha siasa..
 
Ingia YouTube anza kutengeneza video na kushare kwenye social media, kama mdada unaweza vuta watu kwa speed sana, sio lazima ufanye ujinga wa kukaa na vichupi, unaweza fanya hata review ya vitu kwa kiswahili, yaweza kua fashion products, au vitu ambavyo unavijua vizuri, kama ni mtu wa electronics hata vitu kama simu, TVs e.t.c, kwanza kwa kua unatumia kiswahili, pili kwa kua ni mdada, unaweza pendwa kwa speed sana. Ukifika video yako ya 15 utakua unafollowers kibao alafu kizuri unatengeneza pesa juu yake. Ni njia mojawapo, nyingine zinakuja.
Una vision aseee
 
HABARINI WADAU

Imetokea hivi karibu kupenda kuwa mtu maarufu sana, sijui ni njia zipi wanafanya hawa wasanii au watu maarufu na mashuhuri kuwa FAMOUS yani mwenzenu napenda sana kuwa maarufu sana
achilia mbali umaarufu wa hapa jf ambao ninao na hakuna mpinzani nae hpa

Wadau nisaidieni namna ya kuwa mtu maarufu unafanyaje ili uwe maarufu au njia zipi nifanye niwe maarufu

Wasalaam

Ladyf
Aaaha Mtumishi njoo uwe secretary wangu binafsi!!
 
HABARINI WADAU

Imetokea hivi karibu kupenda kuwa mtu maarufu sana, sijui ni njia zipi wanafanya hawa wasanii au watu maarufu na mashuhuri kuwa FAMOUS yani mwenzenu napenda sana kuwa maarufu sana
achilia mbali umaarufu wa hapa jf ambao ninao na hakuna mpinzani nae hpa

Wadau nisaidieni namna ya kuwa mtu maarufu unafanyaje ili uwe maarufu au njia zipi nifanye niwe maarufu

Wasalaam

Ladyf
Ukipenda umaarufu uzipende Na mbwembwe zake
 
yaani hapa pa UKUTA ndo pake pakupatia umaarufu atii
Kama unataka umaarf kwa mda mfupi bla mafanikio n simpo, fanya hv, angalia watu wako attentive Na ktu gan kwa sasa then hapohapo Na ww unaibuka Na hoja zako. Mfano ita vyombo vya habar uanze kudis movnt ya UKUTA kwa ktumia hoja zako binafsi bla kumhusisha mtu yeyote, wana kuegemea upande wowote sambaza video mbalimbali khs hzo fikra zako.. Nnaamin haito fkisha masaa 72 Tanzania itakujadili tyu...!!! Tena itakfngulia milango maana nimeona umelipenda wazo la kuanzsha chama cha siasa..
 
HABARINI WADAU

Imetokea hivi karibu kupenda kuwa mtu maarufu sana, sijui ni njia zipi wanafanya hawa wasanii au watu maarufu na mashuhuri kuwa FAMOUS yani mwenzenu napenda sana kuwa maarufu sana
achilia mbali umaarufu wa hapa jf ambao ninao na hakuna mpinzani nae hpa

Wadau nisaidieni namna ya kuwa mtu maarufu unafanyaje ili uwe maarufu au njia zipi nifanye niwe maarufu

Wasalaam

Ladyf

!
!
Mtukane Magufuli fasta tu au andika kwenye mitandao kuonesha furaha yako baada ya polisi kuuwawa. Njia nyingine andika bango la dikteta uchwara tembea nalo barabarani.
 
Back
Top Bottom