Napenda sana kula mayai lakini sinenepi!

Squidward

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,925
7,937
Hodi!

Jamani kama kichwa cha habari kinavyosema kula mayai ya kienyeji kwa siku karibia tray ila bado sinenepi!

Je nafeli wapi jamani maana kila nikila yananikataa, je kuna hatari gani kiafya ntaipata? vipi nitumie njia ipi mbadala ya kuremove kimbaumbau?

Haya nakaribisha madokta na wasio madokta jukwaani.
 
Kitimoto kilo kwa siku ukishushia na bia nne kwa siku....mwezi tuu unatosha....baada ya hapo utakuja kuomba ushauri.....
 
Hiyo ni protini inachukuliwa kwa kiwango kinachohitajika na ziada inapotea kama reject kwenye misuli ama vinginevyo. Kula wanga kama unataka unene
 
kula kopo 2 za blueband kwa siku asubuhi nusu kilo jioni la kilo 1 utaniambia baada ya hapo
 
Je wajua unywaji wa chai ya rangi husababisha kuwa na roho mbaya kwa ile rangi kubaki kwenye moyo na kuwa mweusi..tofauti na unywaji wa chai ya maziwa ambayo hufanya moyo kuwa mweupe na kukufanya uwe na roho nzuri..fanya utafiti kunakonyweka chai ya rangi na maziwa..just kidding! Mkuu kunenepa kuna sababu nyingi kitaalamu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom