Napenda kufaham wasanii mikoa wanayotoka

Kaka Man, Tongolanga, Kundambanda,Leila Rashid,Zimwi, Nk toka KUCHELE
kwani Zimwi si mzenji mkuu! niliwahi kusikiaga ni mzenji ila anaiga tu lafudhi ya kimakonde...huyo kundambanda duh ndo kwanza naliona leo hilo jina.
 
MWANZA

FID Q
,Mtoto wa Dandu(R.I.P),
Dudubaya
,H.baba,
Rado,
PNC,
Young killer
,Baraka da prince
,Kadgo
, malle
,Dataz,
Sajna
,Mo music
,nchama the best,
Mayunga
,Edu boy,
Khadija
Dogo D umemsahau anachupa zake za ukweli sana.
 
Soggy Doggy, Saida Karoli, Mosses Bushangama (MezB-RIP), Bushoke wote Kagera
 
Back
Top Bottom