Dataz.uongo, Dataz ni mdogo wake squeezer kwao ni MorogoroMWANZA
FID Q
,Mtoto wa Dandu(R.I.P),
Dudubaya
,H.baba,
Rado,
PNC,
Young killer
,Baraka da prince
,Kadgo
, malle
,Dataz,
Sajna
,Mo music
,nchama the best,
Mayunga
,Edu boy,
Khadija
Watatu toa ni wa vijijin kwenuMARA-MUSOMA 1. Lady jaydee 2. best nasoro 3.runguya (huyu hivi sasa ni marehemu alikuwa mpiga zeze maarufu mara na viunga vyake)
Nawe uimbe, hili uwekwe kwenye orodha wa kanisani.Ila mbona wengi ni wale wanaoabudu Ijumaa? Kaswida nini? Kwani ata wale wa Jumapili an Jumamosi nilisikia mmoja wao alikuwa anaimba kwaya kanisani.