Napenda kufaham wasanii mikoa wanayotoka

Y2k

Member
Apr 21, 2012
77
26
Niaje wana JF, Natumai ni wazima wa afya, nipo hapa kutaka kujua wasanii wetu wa Bongo flavour mikoa wanayotoka.
Nikiaanza na mkoa wa Tanga ambao baadhi ya wasanii asiliyao ni uko ni kama ifuatavyo:

TANGA kuna;
1 Sumalee
2 Cpwaa{halifa ilunga}
3 Matonya{Sefu Shabani}
4 Kassim Mganga
5 Wagosi wa Kaya
6 Ring 2be aka Pete{Rashidi Ngayama}
7 Mwana FA{Hamisi Mwinjuma}
8 Bwana Misosi
9 Q Chilla{Abubakari Katwila}
10 MB Doggy{Mbwana}
11 R.O.M.A{Ibrahim Mussa}
12 Top C
13 Dr Karim
14 John Walker
15 Gelly wa rhym
16 Hemed Phd{Hemed Suleiman}
17 Sharomillionear{Mohamed Mtikey}
18 Danny Msimamo
19 ...........................
Wengine ambao nimewasahau mnaweza kuwaorodhesha, na mpia mtuletee majina toka mikoa mingine:israel:
 
MARA-MUSOMA 1. Lady jaydee 2. best nasoro 3.runguya (huyu hivi sasa ni marehemu alikuwa mpiga zeze maarufu mara na viunga vyake)
 
Niaje wana JF, Natumai ni wazima wa afya, nipo hapa kutaka kujua wasanii wetu wa Bongo flavour mikoa wanayotoka.
Nikiaanza na mkoa wa Tanga ambao baadhi ya wasanii asiliyao ni uko ni kama ifuatavyo:

TANGA kuna;
1 Sumalee
2 Cpwaa{halifa ilunga}
3 Matonya{Sefu Shabani}
4 Kassim Mganga
5 Wagosi wa Kaya
6 Ring 2be aka Pete{Rashidi Ngayama}
7 Mwana FA{Hamisi Mwinjuma}
8 Bwana Misosi
9 Q Chilla{Abubakari Katwila}
10 MB Doggy{Mbwana}
11 R.O.M.A{Ibrahim Mussa}
12 Top C
13 Dr Karim
14 John Walker
15 Gelly wa rhym
16 Hemed Phd{Hemed Suleiman}
17 Sharomillionear{Mohamed Mtikey}
18 Danny Msimamo
19 ...........................
Wengine ambao nimewasahau mnaweza kuwaorodhesha, na mpia mtuletee majina toka mikoa mingine:israel:

jamani bwana misosi siwa kigoma? alipiga kerere sana alivyo kosa kwenye LEKA DUTIGITE....
 
MBEYA KUNA..
1.Sugu(msanii wa kwnza wa bongo fleva kumilik gar,msani wa kwanza wa bongo fleva kufanya album as solo artst,msanii wa kwanza kuwa na album na album 10 sokon,msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwaleta wasani wa nje bongo,msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwapnga clouds hadharan kwa unyonyaj wao,msanii wa kwanza wa bongo fleva kuuza album mkonon,MSANII WA KWANZA WA BONGO FLEVA KUWA MBUNGE)..

Wengne cwataj ntajaza hapa..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom