"Napenda anavyonitania"

Nikisimama sidondoki nikiingia hua sitoki napenda anavyontania eti nilichanjia dodoki...

mbona ufananii na swaga izi jaman..
umefika salama?na ukifika salama uondok..na ukiondoka haurud na ukirud autok tena na ukitoka na mimi :car::car: km ivi..bas poaaaaaaa!!!!!!
 
Nime quote kuna mtu kanitumia msg huoni kwenye heading ya thread nimeweka ""? Nimecheka sana eti sifanani na swaga hizi haya me yangu macho. nimerudi salama namshukuru mungu. Usijali tutatoka tu.

Nimependa hayo maneno yamenikumbusha mbali sana na mie nimeshawahi kuambiwa lol
 
Mshikaji wangu alikuwa nanitania kwa kuniita punda. Demu wake pia nae akawa akiita punda. Siku moja jamaa yangu akamweleza demu wake kuwa wananiita punda kwa sababu nina mshobobo kama wa punda.
Tangu siku hiyo, demu wake alikuwa haishi kuniomba out, mi nkawa nachomoa kwa vigezo mbalimbali, siku moja nikaamua kuitikia wito.
Tukatoka tukaenda kula kiti moto, huko nyagi na amarula ndio zilizotawala.
Ikafika saa tano, muda wa baa kufungwa nikamuomba nimrudishe kwake, akasema, hapana, najisikia mpweke, tafuta sehemu tupumzike.
Nikamsokomeza mshobobo usiku kucha, sasa kila siku ananisumbua kuwa anataka tena, kibaya zaidi hamtaki tena jamaa yangu.
Jamani, kuwepo na mipaka wa utani, utani wako na washikaji usimfikishie demu wako, wala utani wako na demu wako washikaji wasiujue
 
Nime quote kuna mtu kanitumia msg huoni kwenye heading ya thread nimeweka ""? Nimecheka sana eti sifanani na swaga hizi haya me yangu macho. nimerudi salama namshukuru mungu. Usijali tutatoka tu.

Nimependa hayo maneno yamenikumbusha mbali sana na mie nimeshawahi kuambiwa lol

km c wewe bas vyema
we haupo kwenye kund la waandika u.t.u.m.b.o...unaheshimiika michango yako mizur siku zote.
poa bas km vp :car:
 
Mshikaji wangu alikuwa nanitania kwa kuniita punda. Demu wake pia nae akawa akiita punda. Siku moja jamaa yangu akamweleza demu wake kuwa wananiita punda kwa sababu nina mshobobo kama wa punda.
Tangu siku hiyo, demu wake alikuwa haishi kuniomba out, mi nkawa nachomoa kwa vigezo mbalimbali, siku moja nikaamua kuitikia wito.
Tukatoka tukaenda kula kiti moto, huko nyagi na amarula ndio zilizotawala.
Ikafika saa tano, muda wa baa kufungwa nikamuomba nimrudishe kwake, akasema, hapana, najisikia mpweke, tafuta sehemu tupumzike.
Nikamsokomeza mshobobo usiku kucha, sasa kila siku ananisumbua kuwa anataka tena, kibaya zaidi hamtaki tena jamaa yangu

Usiseme mkuu yameshanikuta mie ila sio kwa kula kiti moto na nyagi hahahahaha.............
 
Back
Top Bottom