NAPE: Watu wameshindwa kujitokeza kupiga kura wakiohofia kumwagiwa Tindikali

Katibu wa Itikatdi na Uenezi wa CCM.
Nape, kaongea kwenye taarifa ya habari TBC1, anasema sababu iliofanya watu wachache kujitokeza kupiga kura kwenye jimbo la Igunga, watu walihofiwa kumwagiwa Tindikali.

SOURCE: TBC1 HABARI

Naye pia aliogopa??
 
Dada naomba unipe mfano wa hiyo hotuba na ilitolewa lini na wapi. Ni vyema zaidi ukawa na clip yake.
Ulinipa Kazi ya kurekodi?ungeniambia mapema wakati ule wa Kampeni ningekurekodia lakini kwa sasa sina rekodi ila ninachoweza kukusaidia nenda Igunga kawaulize Wananchi waliohudhuria Mikutano ya hadhara kuwa CHADEMA walizungumza nini kuhusu Rostam!au katafute kwa wengine waliorekodi,usipende kutafuniwa!Research for information wewe mwenyewe,jitume Mkuu...
 
Go back to our major concern...Ishu ni kwanini watu hawakujitokeza kwa wingi kwenye kupiga kura? Na ndivyo thread inavyotaka. Naona mnashikilia kitu ambacho sidhani kama kina tija kwa taifa hili...ukipata hiyo hotuba itakusaidia nini? Ningedhani kuwa umuulizie CHADEMA wanajipanga vp kupeleka elimu ya uraia hasa kwenye eneo la upigaji kura...
 
Ulinipa Kazi ya kurekodi?ungeniambia mapema wakati ule wa Kampeni ningekurekodia lakini kwa sasa sina rekodi ila ninachoweza kukusaidia nenda Igunga kawaulize Wananchi waliohudhuria Mikutano ya hadhara kuwa CHADEMA walizungumza nini kuhusu Rostam!au katafute kwa wengine waliorekodi,usipende kutafuniwa!Research for information wewe mwenyewe,jitume Mkuu...

Ni moja ya matatizo makubwa sana ya wanachama,wapenzi,washabiki na mbaya zaidi viongozi wa CCM ni wavivu sna kusoma,kutafakari,kuchambua mambo nk na ndio maana si ajabu kumsikia mbunge wa CCM akitumia dk 15 anazopewa kuchangia hoja bungeni kuiponda CHADEMA na mwisho anaunga mkono hoja tena kwa 100%...Nadhani kwa jibu hilo dada Regia umemsaidia si huyu tu,ila wanachama wengi wa CCM walio na akili timamu.....
 
Japo binafsi katika kufuatilia kampeni ya Igunga sikusikia sana hili la ufisadi - aidha kwa sababu halikuripotiwa au kupewa prominence katika coverage - nikiri kwamba kama yalisemwa inavyodaiwa kuwa yalisemwa sana au RA alichanwa sana na kuwa kama ilikuwa ni sehemu ya kampeni ni wazi kuwa CDM hawakuwa na kura zaidi turufu ya kuwashawishi watu. Labda hapa bado tatizo la upatikanaji habari na uenezaji habari - propaganda - bado inahitaji uboreshaji wa hali ya juu.

Japo ya kwamba naambiwa nikubali prima facie kuwa hoja ya ufisadi ilisemwa sana, ni wazi kwamba yumkini ilisemwa sana kichini chini au katika level ya one to one au kwenye makundi madogo madogo kwa sababu naamini kabisa kama ingekuwa na prominence inayostahili kama vile kumpiga mtu upper cuts CCM wangelazimika kutetea rekodi yao, kumtetea RA au hata kujaribu kudeflect accusations. Hivyo, naweza kuamini kuwa chochote kilichosemwa hakikuwa of such a nature to cause CCM to go on the defensive.

Swali la kwanini ufisadi haukuzungumzwa sana siyo la kwangu ni la Nape; na mimi nimeingilia kutaka kujua jibu. Lakini jibu ni kejeli, dharau, na ad hominem za kawaida. Badala ya kuja juu hoja ijengwe kuwa "si kweli ufisadi ulizungumzwa na kuhusishwa na RA na CCM, kiongozi x alisimama na kusema y and z; kiongozi mwingine akiwa x alisema juu ya RA kuwa ni b, c na d" n.k Lakini tunatakiwa tukubali kuwa ilikuwa hivyo wakati kwa sababu aidha hatukuona, hatukuwepo au haikuripotiwa.
 
Umeeleweka Mkuu.Pole!

UOTE=Mzee Mwanakijiji;2599588]Japo binafsi katika kufuatilia kampeni ya Igunga sikusikia sana hili la ufisadi - aidha kwa sababu halikuripotiwa au kupewa prominence katika coverage - nikiri kwamba kama yalisemwa inavyodaiwa kuwa yalisemwa sana au RA alichanwa sana na kuwa kama ilikuwa ni sehemu ya kampeni ni wazi kuwa CDM hawakuwa na kura zaidi turufu ya kuwashawishi watu. Labda hapa bado tatizo la upatikanaji habari na uenezaji habari - propaganda - bado inahitaji uboreshaji wa hali ya juu.

Japo ya kwamba naambiwa nikubali prima facie kuwa hoja ya ufisadi ilisemwa sana, ni wazi kwamba yumkini ilisemwa sana kichini chini au katika level ya one to one au kwenye makundi madogo madogo kwa sababu naamini kabisa kama ingekuwa na prominence inayostahili kama vile kumpiga mtu upper cuts CCM wangelazimika kutetea rekodi yao, kumtetea RA au hata kujaribu kudeflect accusations. Hivyo, naweza kuamini kuwa chochote kilichosemwa hakikuwa of such a nature to cause CCM to go on the defensive.

Swali la kwanini ufisadi haukuzungumzwa sana siyo la kwangu ni la Nape; na mimi nimeingilia kutaka kujua jibu. Lakini jibu ni kejeli, dharau, na ad hominem za kawaida. Badala ya kuja juu hoja ijengwe kuwa "si kweli ufisadi ulizungumzwa na kuhusishwa na RA na CCM, kiongozi x alisimama na kusema y and z; kiongozi mwingine akiwa x alisema juu ya RA kuwa ni b, c na d" n.k Lakini tunatakiwa tukubali kuwa ilikuwa hivyo wakati kwa sababu aidha hatukuona, hatukuwepo au haikuripotiwa.[/QUOTE]
 
Katibu wa Itikatdi na Uenezi wa CCM.
Nape, kaongea kwenye taarifa ya habari TBC1, anasema sababu iliofanya watu wachache kujitokeza kupiga kura kwenye jimbo la Igunga, watu walihofiwa kumwagiwa Tindikali.

SOURCE: TBC1 HABARI

Dah! Nape anaonyesha ni mtupu sanaa hadi noma.Kumbe Hizza Tambwe anaafadhali. Hivi ni kweli hajui kwamba trend ya wapiga kura imeanza kupungua tangu uchaguzi wa October 2005, na uchaguzi wa 2010 ndio kasi ya kupungua wapiga kura imezidi,kiasi kwamba imewashtua hata idara ya political science UDSMA na sasa kuna study wanaifanya. Au chaguzi za nyuma nazo watu walikua wanaogopa kumwagiwa tindikali? Ikiacho iyo reports za election observers-local and international kuanzia 2005 na mpaka uchaguzi wa 2010 wameandika sana iyo issue. Kwa kukusaidia nenda TEMCO (UDSM) omba TEMCO election observer report ya 2010 for local or for international observer report nenda European Union house nao watakupatia ya kwao. Kama kuna watu walikudanganya kuongea upuuzi uo ni part ya propaganda, ujue wanakuangamiza...matokeo yake ndio haya unaonekana "kubwa jinga"
 
Nape ukweli haujui waliomwaga Tindikali ni CCM na kilichosababisha ni fedha zao wenyewe, kwa sababu hakuwepo Igunga alipigwa marufuku na chama chake ndiyo maana hajui ukweli.
 
Ukweli upo kwa namna fulani, kwani tafrani zinazofanywa na vyama vyetu kwa upande mmoja haviwapelekei watu kwenda kupiga kura, zaidi ya kuwaogopesha, ingawa tatizo ni zaidi ya hapo, mfano watu kuona hakuna tofauti ya wagombea kwa vyama vyote. lakini pia wapo wanodai kuwa elimu ya kutosha kwa wapiga kura kuchukua jukumu la kupiga kura kwa kuzingatia nafasi ya mpiga kura ktk kupata kiongozi
 
Vipi mmeenda kulala? subirini kesho naanzisha thread dhidi ya Nape na Vijana wake! Naindaa kichwani hapa!
 
Japo binafsi katika kufuatilia kampeni ya Igunga sikusikia sana hili la ufisadi - aidha kwa sababu halikuripotiwa au kupewa prominence katika coverage - nikiri kwamba kama yalisemwa inavyodaiwa kuwa yalisemwa sana au RA alichanwa sana na kuwa kama ilikuwa ni sehemu ya kampeni ni wazi kuwa CDM hawakuwa na kura zaidi turufu ya kuwashawishi watu. Labda hapa bado tatizo la upatikanaji habari na uenezaji habari - propaganda - bado inahitaji uboreshaji wa hali ya juu.

Japo ya kwamba naambiwa nikubali prima facie kuwa hoja ya ufisadi ilisemwa sana, ni wazi kwamba yumkini ilisemwa sana kichini chini au katika level ya one to one au kwenye makundi madogo madogo kwa sababu naamini kabisa kama ingekuwa na prominence inayostahili kama vile kumpiga mtu upper cuts CCM wangelazimika kutetea rekodi yao, kumtetea RA au hata kujaribu kudeflect accusations. Hivyo, naweza kuamini kuwa chochote kilichosemwa hakikuwa of such a nature to cause CCM to go on the defensive.

Swali la kwanini ufisadi haukuzungumzwa sana siyo la kwangu ni la Nape; na mimi nimeingilia kutaka kujua jibu. Lakini jibu ni kejeli, dharau, na ad hominem za kawaida. Badala ya kuja juu hoja ijengwe kuwa "si kweli ufisadi ulizungumzwa na kuhusishwa na RA na CCM, kiongozi x alisimama na kusema y and z; kiongozi mwingine akiwa x alisema juu ya RA kuwa ni b, c na d" n.k Lakini tunatakiwa tukubali kuwa ilikuwa hivyo wakati kwa sababu aidha hatukuona, hatukuwepo au haikuripotiwa.

Mkuu MM umeniangusha sana this time,imani yangu kwako imeshuka kwa asilimia 20 nadhani kuna tatizo la msingi limekupata,kuna ishu moja nimeipata hapa JF kwenye thread moja ambayo inakuhusu au ndio tatizo hilo?
 
Ulinipa Kazi ya kurekodi?ungeniambia mapema wakati ule wa Kampeni ningekurekodia lakini kwa sasa sina rekodi ila ninachoweza kukusaidia nenda Igunga kawaulize Wananchi waliohudhuria Mikutano ya hadhara kuwa CHADEMA walizungumza nini kuhusu Rostam!au katafute kwa wengine waliorekodi,usipende kutafuniwa!Research for information wewe mwenyewe,jitume Mkuu...
Im well informed and I don't really need you to do anything for me, just wanted you o back up your claims which you didn't. Case closed.
 
Mwanakijiji, labda tukubaliane kitu kimoja, baada ya Rostam kujiuzulu hawezi kuwa target no. 1 tena ktk kampeni za Igunga vinginevyo ingekuwa kumpa support Nape katika vita yao ya ndani ya CCM. Regia kesha tue leza katika thread nyingine alivyoshuhudia watu wengi wa Igunga wanavyokabiliwa na kukosa uwezo wa kusoma na kuandika na sehemu nyingine hata hizo shule za kata wanazisikia tuu. Hebu tujiulize mtu asiye jua kusoma aliyetengenezwa na CCM awe hivyo unakuja na story za EPA au Deep Green si ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa ukitegemea ata nengua? Kama nilivyosema mwanzo, kampeni fupi kama hizi lazima utumie muda vizuri na kuachana na mambo ambayo hayataeleweka kwa kundi husika. Yaliyosemwa na CDM ndiyo yameleta kura 23000 from nothing, CUF wakazungumzia yasiyoeleweka wakapata kura 2000 from 11000 na CCM wakadhani udini na bastola kiunoni na mawaziri kuweka ahadi za kiserekali ni tisha ya kutosha wakaambulia 26000 (kama ni kweli) from 35000. Kweli tunapaswa kutambua kazi gani imefanyika huko kama hatua moja kwa ukombozi. Mengine tuyadharau, Nape ndiyo aina bora ya viongozi wanaoonekana kuwa ndio bora ndani ya CCM kwa sasa, Watanzania makini wategemee nini hapo?
 
Unasema tu au una matokeo ya utafiti?
Tanzania inaongoza kwa nchi za SADC kwenye elimu ya msingi,hasa kusoma na hesabu.Nchi inayoipita Tanzania ni Seychelles tu.
Source-SACMEQ
http://www.sacmeq.org/indicators.htm#tan
 
Back
Top Bottom