Kijana wa marehemu Brigedia Moses Nnauye ni mchemkaji tu!
Hasa kama unataka kutetea CCM.Kwenye siasa huhutaji data, ropokaropoka tu siku ziende!! Hesabu ni tatizo la kitaifa, na hakubeba calculator.
huyu jamaa ni mropokaji.
CCM inawanachama milioni 5 hivi.. Tanzania ina karibu watu milioni 45... asilimia 80 ya milioni 45 ni milioni 5! well according to Nape.
Wednesday, 04 May 2011 08:36
Rachel Balama na Rose Itono, Jijini
"Kuna watu wanafikiri kuwa kujivua gamba ni kwa ajili ya watu wawili au watatu. La hasha! Hiyo ni kwa ajili ya wanachama wote," amesema Nnauye.
Angalia hapo kwenye red, nafikiri hata China hawajafika hapoKwa kweli "gamba" ni baya sana na inachukua muda kulivua!
45,000,000 mil x 80% = 5,000,000mil !
I hope Katibu Itikadi anahitaji kurudi Darasani kusoma Hesabu badala ya kukaa na kuropoka! Shame on you Nape!
Kijana wa marehemu Brigedia Moses Nnauye ni mchemkaji tu!
Unabuni sio?CCM inawanachama milioni 5 hivi.. Tanzania ina karibu watu milioni 45... asilimia 80 ya milioni 45 ni milioni 5! well according to Nape.
Kijana wa marehemu Brigedia Moses Nnauye!