Nape unahangaika bure CCM ni sikio la kufa

Wakati mwingine inanipa shida kuamini mtu anaetetea uhalali wa CCM kama ana akili timamu. Nadhani wenye akili timamu walioko CCM wanakaa kimya tu. Hawa wanokuja hapa kuipa credit CCM, aidha wanakuja hapa wakitokea kwenye chibuku au kwenye bangi au kubwia unga, kiasi kwamba kwa ulevi walionao vichwani wanajiona wako Ulaya vile.

Umenigusa sana. Mungu akubariki sana.
 
Kama una wabunge 259 lakini 257 wamalala ni bora uwe na wabunge 48 active vile vile mbunge mmoja wa hicho Chama ulichosema ni sawa na 50 wa magamba 48x50=2400 ili mlingane na CDM lazima muwe na wabunge 2400 kwi! Kwi! Kwi!!!!!!! Kwi

Simple arithmetic lakini yenye maana kubwa. That means Mhe. Mnyika wa Ubungo ni sawa na akina Wassira 50 wa Bunda! Tehe tehe teheeee, kwi kwi kwikiiii!!
 
kiukweli hii inaboa sana..kuwahonga vijana na kuwapandikiza fikra chakavu za CCM ni balaa kwa taifa. Si kweli hata kidogo kwamba wasomi wa vyuo vikuu wanaweza kuunga mkono suala kama hilo. Ni nani asiyejua kuwa hayo yalikua maamuzi kutoka bungeni? kwa nini afijanye eti kamati kuu ya CCM ndio iliyoamua?

Mbaya zaidi yeye na mwenzie Bernad Membe, waziri wa mambo ya nje wamejipanga kuanzisha makongamano makubwa katika vyuo vikuu ili kuwaharibu na kurubuni vijana wasio jua ukweli kuhusu hii nchi na hatima yao, ila kwa sababu ya njja kali lazima wakubali tu. Membe amejipanga vikali sana kufanya kongamano kubwa kwa kukutanisha vyuo vikuu vya Morogoro. Tayari rushwa imekwishatembea kwa viongozi wa serikali za wanafunzi (marais) wakishirikiana na viongozi wa UVCCM.Hii ni hatari, hatari kabisa kwa taifa
 
Juzi nimemwona Nape kwenye luninga akiwa na vijana wanaoitwa wa chuo eti wakiandamana kuunga mkono maamuzi ya kamati kuu ya ccm kuhusu mwenyekiti wao kuwatosa baadhi ya mawaziri walioguswa na CAG na kuunda timu mpya. Nataka nimwambie Nape kwamba hiyo mbinu ya 'kuokota vijana wasio na kazi na kuwalipa posho ili waandamane na kuunga mkono maamuzi' ni ya kijinga na imepitwa na wakati. Watanzania wa leo siyo wa jana. HIVI NI MTANZANIA GANI ASIYEJUA KWAMBA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CCM YAMETOKANA NA SHINIKIZO LA BUNGE AMBALO NALO LINASUKUMWA KWA NGUVU YA CHADEMA. Nape mdogo wangu, nchi hii imebadilika. Enzi za ccm ndiyo zinayoyoma. ccm Ni sawa na sikio la kufa. Hence, usipoteze muda wako bire kuwahadaa tena wananchi.

Kuna Tetesi kuwa wale ni Mamluki wale ambao huwa hawagraduate, wanahama chuo kimoja baada ya Kingine mimi nawafahamu kama watano hivi wako vyuo tangu 2004 hadi leo... Halafu wanajiita vijana wa Elimu ya juu.. Hujaona wengine wana upara kabisa..

Hivi tujiulize kama kweli hawa jamaa wafeli na kurudia Chuo hizo pesa wanatoa wapi?, Bodi ya mikopo? .... Wakati wengine hata boom tu la semester hawapati na wao wanajivinjari na Pesa zetu kwa ajili ya CCM na Maslahi yake..

Swali langu kwa Nape ni kwamba wataacha lini kuwapotosha waTanzania? maana watu wameshachoka wanataka ukweli na si ujanja ujanja tu..

Walio na nia ya kweli kwa watanzania ni Filiku Njobe, Ester Bulaya, na wale wengine waliosign kung'olewa Waziri mkuu na si wengine...

Hakuna cha CC wala Mzee wa Huu ni Upepo utapita, Hapo ndipo utakapojua uli ni mchezzowa JK
 
Umejibu vizuri sana hilo swala bwana Nape, na ninakupongeza kwa dhati kabisa. Watu kusifia hoja fulani si dhambi kwani ni mnyukano tu wa fikra na kweza kujenga hoja nzuri zaidi itakayokubaliwa na pande zote mbili. Hivyo vijana wa chuo kuyakubali maamuzi fulani si vibaya.

LAKINI ...hivi ni kweli haya huwa ni mawazo ya wanavyuo ama mbinu na mchezo mchafu tu wa kuwarubuni? Je, na hii SKENDO NZITO ya bwana Bernad Membe kuja na makongamano makubwa ya kuwaunganisha wanavyuo ili kueneza propaganda za CCM utasemaje?...kwa nini kutoa rushwa kwa viongozi wa serikali za wanafunzi ili waandae hayo makongamano? je, agenda yenu kama wanaCCM au ni mbinu zake za fujo kuivaa magogoni 2015 kilazima? kwa nin asingizie wafanyabiashara wakubwa ndiyo wanaodhamini wakati yeye ndiye anajua wapi mnakozichota pesa kama CCM?

Hivi karibuni mmejipanga (CCM) kufanya kongamano kubwa kuwaunganisha wanavyuo wa Morogoro ili kujifanya mnazungumzia matatizo ya ajira huku yeye Membe akiwa ndiyo msemaji mkuu. kwa nini kuingiza siasa vyuo vikuu??? kiukweli kama mmeshakiharibu UDOM yatosha, acheni Mzumbe, SUA na vinginevyo vituzalishie wataalamu badala ya wanasiasa. Naamini umenieelewa. Ciaooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!1
 
ndashene mbandu
kwanza nakushukuru sana kwa mawazo yako ambayo nayaheshimu sana! Lakini naomba nikuhakikishie kuwa kuitetea ccm haijawa tatizo wala kero kwangu...kwa kifupi sana na enjoy sana kutetea jambo ninaloliamini........mkapa aliwahi kusema mwanasiasa mzuri ni yule mwenye uwezo wa kujenga na kubomoa hoja....

Si vibaya wala dhambi we kuamini kuwa ccm kwasasa hafai na mimi kuamini kuwa hakuna kama ccm.....najua wapo watakao kereka kuwa nape tuna mvunja moyo kila siku lakini bado anaendelea hakati tamaa ndio kwanza anachanja mbuga kusema tusichokipenda kusikia...

hata waeneza dini mtume na yesu haikuwa rahsis kwao kueneza na kusambaza dini... Lakini leo dini zao zimesimama na kusambaa dunia nzima...

hapo kwenye red apo, we nape hacha kufananisha chama cha ccm cha majambazi pia mafisadi na hao waungwana walokuja kueneza dini, hujui chama chako kimejaa uovu
kama haitoshi ccm haijienezi kwa sasa, nafasi iyo haipo zaidi naona iki chama kinadepreciate kwa kukimbiwa na wafuasi wake kila kukicha, huo mtaji mnaojidai nao natmai kwa sasa mko mil2.5 ivi, utakapokuja kutambua mtajikuta ccm umebaki wewe na baba riz1, karaghabao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom