Nape si mwanachama wa CCM

Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......

lete vithibitisho haraka Nape maana inasemekana una kadi ya CCJ Afu ya Magamba hauna! Ni kweli hilo bwana Gamba?
 
Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......

he!.....ivi we bwana mdogo huwa unavuta bangi?inakuaje hoja nzito wewe uje unatueleza habari za kicheko chako tena kinachotoka kwenye domo linalonuka
 
Basi kama umeshindwa kuthibitisha, anza kutafuta kadi, kama kawa uchakachuaji unaruhusiwa njoo nayo ya mwaka 2001 tawi la chuo kikuu. najaribu kukusaidia
 
Basi kama umeshindwa kuthibitisha, anza kutafuta kadi, kama kawa uchakachuaji unaruhusiwa njoo nayo ya mwaka 2001 tawi la chuo kikuu. najaribu kukusaidia

kwani vijana wake anaowalipa posho humu jamvini akina ritz,Ribosome,Tume ya katiba, na wengine weng wako wapi mbona siwaoni wakimsaidia hata ku-upload card ya kuchakachua
 
Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......

mpaka hapo kumbuka hujajibu hoja,na wewe ni mwenezi wa magamba sasa sijui tukueleweje au umekichoka cheoooooo,jibu hoja
 
mkuu Nnauye Jr
tabia za kiongozi mkubwa wa chama kama wewe kuchekacheka kwenye swala lisilochekesha haipendezi kwakweli
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......

usifanye mchezo nape, jibu hoja moja baada ya nyingine.

Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......

..
Kha!! Weye kaka unajua kushika papaya manake nini, wewe unajua pabaya mzonviye, weye Na mipasho, mipasho Na wewe.. Ukipewa pabaya utapashika weye?

Shetwani akikemewa huchekacheka si kicheko hasa Bali maumivu..
Unaruhusiwa hata kufoji document .. Dar ni Ndogo sana kuliko hata kiberiti, hakuna pasipofikika...
Embu tengenezatengeneza vi-document vyako .. Chakachua uwezavyo .. Salma2015 ni mzito sana kiasi , sidhani kama akikudondokea kitabakia kitu..

Mwambie Chongolo achongechonge vya kuchonga.. Sidhani Kama atapona Mtu mwaka huu
 
Teh teh teh! Mtoto wa gamba n gamba2, hasa jaman kweli nape kulikon huna kad mpaka leo alafu wewe ndo unajifanya mwenyej na kubatiza wafuas wapya? Na sio nape 2, wako na wenzake wengi hawana kad ya chama, na utendaj wao wa kaz ktk maendeleo ya taifa n .-ve,

anazidiwa na Mbatia na Shibuda wanazo kadi za CCM
 
Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......

hahahahahahahahahaaaa.....!!!!kudadadadadadadadeki. haya ndo majibu ya kiongozi wa ccm kwa maswali ya msingi.
hivi nape unajua hii skendo inaweza kukupeleka pabaya?
Hivi unafikiri nani umemshika pabaya ka sio wewe uliye shikwa pabaya?. kudadadadadadekiii.
 
Labda akifika nyumbani, Changanyikeni atachapa moja hapa. Kaza moyo Nape, ikifa nenda chama chako.
 
Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......
mkuu wa chichiem jibu hoja haraka bhana,sie chandimu twataka kujua acha kukimbia kivuli chako
 
Dunia inaisha kama ndivyo hivyo.

Assume umekua mfuasi mzuri wa dini ya Islam, na unafuata karibia matendo na suna karibia zote za Mtume Mohammad (S. A. W),
Eti uje uambiwe HAKUA MUISLAM.

Ukisikia Ukichaa na Umbumbumbu wa Akili ndio huo ila sishangai kwan malengo binasfi kwanza.Udini na Ubaguzi vinakufaidisha nini huyo aliyekutuna atafaidika nini katika hili nadhan jukwaa hili linaanza kupoteza mwelekeo.iNFO ya Nape Uuislam vinahusiano wapi na wapi ila tambua kuwa Mwenyezi Mungu huwa hawafichi wanafiki
 
naomba kuuliza kwa mwanachama wa CUF, NCCR Manunuzi na CCJ siyo matawi ya CCM kama ndiyo kuna ubaya gani kumiliki kadi ya chama moja wapo kati ya hizo.. wote tuna jua mbatia ni NCCR manunuzi je anakadi ya CCM au ya NCCR Manunuzi...hahahahahah

Na wamemlipa fadhila bwana Mbatia.
 
hafai huyo jamaa hana kadi ya CCM ni mtu wa kudandia MWANA CCM MWEZAKE MKINGA nafikili wote mnamfahamu alishasema kuwa nape ni mtu wa kudandia hata marehem ...... si baba yake
 
Ila Muhammad hakuwa Muumini wa Dini alikuwa mpiganaji tu
Dunia inaisha kama ndivyo hivyo.

Assume umekua mfuasi mzuri wa dini ya Islam, na unafuata karibia matendo na suna karibia zote za Mtume Mohammad (S. A. W),
Eti uje uambiwe HAKUA MUISLAM.

Anyway,
Wacha aje mwenyewe atuambie
 
NAPE; UKWELI NIMEDHIHIRISHA UWEZO WAKO WA KUJENGA HOJA NI MDOGO SANA. LEO NIMESOMA MAANDIKO YAKO MAWILI (TENA YOTE YA UTETEZI) KUHUSU USHIRIKI WAKO KATIKA MSIBA WA MWASISI WA TAA NA HIYO YA KUTOKUWA NA SIFA ZA UANACHAMA WA CCM. Maelezo yako yote hayana mashiko ya yenye mawanda ya UJENZI WA HOJA, UONGOZI, USOMI WALA UELEWA WA MAMBO! Inabidi ujitathmini sana juu ya nafasi hiyo kubwa ukiyopewa na chama chako na ikibidi jizuie kutoa maelezo wala matamko. kwa sababu unawadhalilisha viongozi na wanachama wako. Kunradhi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom