Nape si mwanachama wa CCM

Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......

wewe nape tumia akili ya kawaida.... I know common sense is not common to everybody, lakini najua kwa akili yako ya magamba unaweza ukang'amua hilo
 
Kama katiba ya nchi inaruhusu uraia wa kuzaliwa, labda mleta mada umesahau kusoma kipengele fulani cha katiba ya ccm kunachoruhusu uanachama wa kuzaliwa vilevile?! Watu kama kina Willy le-Mutuz, Rizi-uno, Nape, nk, wanaweza kabisa kupata uanachama wa aina hiyo.
 
Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......

Jibu tuhuma hizi ulizobebeshwa, mbona huleti vielelezo tukueleweje? Vinginevyo mleta mada yuko sahihi.
 
Hawezi kujibu kwani huenda akajiumbua vibaya.....Natamani gazeti moja 'chokonozi' liichukue hii liiuze kwa wenyenchi ili alazimishwe kujibu. Masikini Nape....Hata hivyo wenzie watakuwa tayari wamemu-earmark kuwa anauwalakini. Au pengine ndo sababu Makamba akadai jamaa anakifanya chama mali yake?
 
Nape ni Mtu Mwepesiiii mno, Kurumbana nae ni kushusha kiwango.. Ngoja niende zangu ZANZIBAR..
 
Mbona dogo mmoja juzi tu kapewa ukatibu tawi wa Ccm na kaletewa kadi ikionyesha ni mwanachama hai kwa miaka 4? sembuse k/mwenezi? ni ngumu kumkamata, kuchakachua regester mbona ni kitu simple?
 
Nape, naamibi unajua kwamba JF ni chombo kikubwa sana cha habari ambacho mtu anaweza akatoka au akaangamia kutoka alipo ikitegemea na jinsi anavyoichukulia.

Bila kujalisha kama ni kweli hauna kadi au kama unayo, me nadhani hoja iliyoletwa ni rahisi sana na ambayo ina majibu mafupi tu, (1) Ni kweli sina kadi (2) Nina kadi ya ccm namba xxxx tawi la xxx ya mwaka xxx ili watu wanaokuonea wivu Mheshimiwa sana Nepi waone walipokosea.

Lakini kitendo cha wewe kujichekesha katika hoja nzito kama hii ambayo binafsi nimeacha hadi kufanya kazi nikitafuta uthibitisho wake, umenisikitisha sana, sijui kama hii username ni yako au kuna mtu amejibu kwa niaba yako. Sitaki kuamini kama kiongozi mwenye nafasi kubwa ktk chama ya uenezi anaweza akajichekesha katika hoja nzito kama hii, unataka wanachama wako wa ccm waelewaje na wale wa chadema wasemaje?

Watch your words Nepi, usipokaa makini, JF itakutoa ktk nafasi uliyonayo, sipendi tu kuwa mtabiri.
 
Yan kupika vidocument vidogo hivyo ndo inakuchukua siku nzima Nape?!!! You are not serious...
 
Nape,usilete utani kwenye hili na usidhani hili utali-netralize kwa kicheko cha kinafiki,scan kadi yako,eleza uliikata lini,tawi gani na kama ni valid kwa maana ya kuilipia ada ya uanachama,lakini tutajie viongozi wa shina na tawi lako.na ukishai-scann hiyo kadi yako hakikisha number zako zinasomeka.
Kwani ku-verify hili jambo unaogopa nini?wewe ni mawanachama wa nyinyiemu au nyinyijei au a na b ni sawa?please tell us the truth.lete vitu.maana uvuvuzela wako utaenda kuthibitika
 
Mh;haya nayo ni makubwa!!!!
Kila kukicha kinatokea kituko kingine AFRICA,kikubwa kuliko cha jana!!!!!
 
Nape japo natoka kidogo kiukweli nitarudi tena,nataka nijue ukweli wa jambo hili,na kwa taarifa yako uki chakachua tu watu watakuumbua pia maana wameshaseti mitego ya kukamata uchakachuaji wako wote.kama huna tuambie kama uanachama wako ni wa kuzaliwa,poa hilo halina ubishi.
 
Nape nikikumbuka siku ulikuwa kwenye kipindi ch 10 ww na january ulivyokuwa unajibu simu za watazamaji kimasihara na ulivyoanza kujichekesha kama demu kwenye maswali ya msingi kweli imani yangu kwako imezidi kupotea.ccm inavyokufa na ww unakufa kisiasa.
 
Hivi kukamilisha documents zote baada ya hii shutuma mbona ni kazi rahisi tu. Hadi sasa mbado kukamilisha!
Au ku back date ndo inakutatiza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom