Nape Nnauye nae kaibukia kanisa la ufufuo na uzima......

...Ametoa neno kwenye kanisa la ufufuo na uzima leo kuhusu rushwa na kusema kuwa viongozi wamekosa huruma kwa wananchi na wamekosa Mungu ndani yao.Amedai yeye sio mgeni kwenye kanisa hili la Gwajima na ameonyeshwa kukerwa na rushwa.

...Naona siasa na kanisa zinaendelea kupamba moto,ungemuona Nape ungesema kuwa ameanza kuwa mchungaji,alikuwa anaongea mpaka povu linamtoka mdomoni.

Source : TBC 1

Mbona thread hii ni ya kijinga? Nape ni Mkristo, mlitaka aende msikiti gani au aende jamatini? Hivi tumefikia mahali ambapo viongozi hawatakiwi kwenda kusali? Kila kanisa linajisikia fahari kiongozi akiwepo na mara zote hutoa nafasi kwa viongozi ya kusalimia. Mnataka viongozi wakatae kuongea ili waonekane viongozi wazuri?
Tunachokipinga ni huu utaratibu wa Edward Lowassa kutembeza ufalme makanisani wa kumwaga fedha alizotuibia alipokuwa Waziri na baadaye Waziri Mkuu. Lengo lake kuu ni kujisafisha aonekane mtu safi wakati ni mwizi, tena mwizi mkubwa.
 
Mbona hawaendi makanisa kama st joseph,st peter, ama st alabani
 
HATA nape mnafiki tu!. Kanisani hakuenda kusali bali kuisafisha CCM!.

Mbona thread hii ni ya kijinga? Nape ni Mkristo, mlitaka aende msikiti gani au aende jamatini? Hivi tumefikia mahali ambapo viongozi hawatakiwi kwenda kusali? Kila kanisa linajisikia fahari kiongozi akiwepo na mara zote hutoa nafasi kwa viongozi ya kusalimia. Mnataka viongozi wakatae kuongea ili waonekane viongozi wazuri?
Tunachokipinga ni huu utaratibu wa Edward Lowassa kutembeza ufalme makanisani wa kumwaga fedha alizotuibia alipokuwa Waziri na baadaye Waziri Mkuu. Lengo lake kuu ni kujisafisha aonekane mtu safi wakati ni mwizi, tena mwizi mkubwa.
 
Makanisa uliyoyataja wanasiasa wanaweza kupate nafasi kwenye harambee si ibadani kama ya kipentekoste. Na manabii wengi waliosema Baba Mwanaasha ni Chaguo la MUNGU ni wa mkondo huu (Ukimwacha pembeni nabii Kilaini).

Mbona hawaendi makanisa kama st joseph,st peter, ama st alabani
 
thread ya ukweli kabisa anajidai kwenda kanisani na yeye bi fisadi na mchawi mkubwa nape atawadanganya wasiomjua, ataishia huko huko kwenye makanisa uchwara aje romani aone sera ni ukweli mtupu hakuna unafiki huku.
 
mkiona hivi mjue maji ya shingo yamewafika wanahaha kutafuta faraja.
 
Nepi naye aache unafiki, rushwa ipi ina mkera? Hao mabosi wake ndo wala rushwa wakubwa kama inamkera basi asingekua chini yao

kama kweli anaichukia Rushwa inayotetewa na Serikali ya CCM, kwa nini naye asifanye uamuzi mgumu kama aliofanya MPENDAZOE.

WANATAFUTA UMAARUFU TU WAKICHAGULIWA ....... WALEWALE............

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
unajua sasa hivi, makanisani panadhalilishwa. Hivi na hawa viongozi wa makanisa kwa nini wanavipendelea vitu vya namna hii??? Ni njaa zao au!! lakini sio njaa kwa sababu wanakula sana mafungu ya kumi.
 
Mbona thread hii ni ya kijinga? Nape ni Mkristo, mlitaka aende msikiti gani au aende jamatini? Hivi tumefikia mahali ambapo viongozi hawatakiwi kwenda kusali? Kila kanisa linajisikia fahari kiongozi akiwepo na mara zote hutoa nafasi kwa viongozi ya kusalimia. Mnataka viongozi wakatae kuongea ili waonekane viongozi wazuri?
Tunachokipinga ni huu utaratibu wa Edward Lowassa kutembeza ufalme makanisani wa kumwaga fedha alizotuibia alipokuwa Waziri na baadaye Waziri Mkuu. Lengo lake kuu ni kujisafisha aonekane mtu safi wakati ni mwizi, tena mwizi mkubwa.

Sisi hatulalamiki mtu kuabudu Dini yake / Imani yake. lakini tatizo lipo katika kutumia dini kama sehemu ya kujisafisha na kutafuta umaarufu wa kisiasa. Yaani nyumba za Ibada wanataka kuziteka ili ziwe mali yao kama walivyoiteka serikali na Vyombo vya dola.

Lowasa au Nape kwenda Kanisani si tatizo, hofu ni pale wanapojigeuza kwua wao ni Wachungaji au mapadre kutoa mahubiri madhabahuni wakati ikiwa hawastahili kusimama mbele ya altare.

Kwanza wote inawabidi wakaungame makosa yao waliyolitendea Taifa hili kisha ndipo waingie kanisani. WOTE NI WAKOSEFU PAMOJA NA SERIKALI YAO MBELE YA WATANZANIA.

Nape anataka tumuone kuwa yeye ni msafi anapinga Ufisadi, Ikiwa CCm chama chake ndicho kinachotetea na kukumbatia mafisadi, ndani ya chama hasemi kitu akitoka huku nje anaropoka ovyo.

Lowasa ni FISADI mkubwa, leo anajipendekeza kwa kutoa misaada makansani ili tumuone wa maana achaguliwe 2015. kama pesa unazo kwa nini usiwasaidie wahitaji??? (Watoto yatima, wazee, walemavu) au tukuone wa maana toa msaada kwa matrekta peleka vijijini ili kuboresha kilimo, Toa huduma za jamii mfano maji, ukarabati wa Barabara. Toa mikopo isiyo na masharti kwa Vijana ili wajiajili.

Ni watoto wangapi wanashindwa kuendelea na masomo kwa kukosa ADA, kwa nini usiwalipie, Hospitali zetu za Serikali kuna Wagonjwa wengi wanashindwa kupata huduma nzuri kwa kukosa pesa ya kugharamia matibabu. Kama kweli una roho nzuri mcha Mungu kwa nini usiwalipe ili watibiwe, na watakuombea kwa Mungu yote unayotaka utafanikiwa.

Lakini mnapokwenda kujipendekeza kwa Waumini makanisani kwa kuchangisha Harambee, hapa ACHENI NISEME, HATA MKINI...... KAMA MWAKYEMBE ACHENI NISEME, HATA MKINIKATA KICHWA ... ACHENI NISEME.

"LOWASA NI FISADI NAMBA MOJA, ANATAKA ASHIKE UONGOZI ILI AENDELEZE UTAWALA MBOVU WA RAISI KIKWETE" WATANZANIA TUSIDANGANYIKE NA MISAADA YAKE INA MAJUTO MBELE...

Mkuu umeonega kwa uchungu na jazba ila kwenye post yako hakuna food of thoughts! ni hasira tu

1. kwanza anzisha kanisa lake ili uwapige marufuku hao watu, MAKANISA YA KWAO, WAUMINI WA KWAO, MIALIKO WANAIFANYA WAO, wewe kulialia hapa hakusaidiichochote kile sawa?

2. Mialiko hii wanaifanya hawa maaskofu na wachungaji, hawajakualika wewe wamewaalika lowassa na nape fo God sake! wenye matatizo hapa ni akina nape au hao wanaowaalika? be real....fikiria bila hasira hapa

watanzania tumesahau kuwa mnaowachukia nyie wanapendwa na wengine, GWAJIMA NI CCM DAMU, na aligombea ubunge kupitia CCM( kura za maoni), Lwakatare CCM , damu, EAGT ccm damu, lutheran under huyu askofu mkuu wa sasa ni ccm damu!, Gamanywa ni CCM damu! mwingira naye yumo, sijasema kuhusu lusekelo.........wenzako wamejizatiti na swala la kutubu na kanisa hapa halipo, they are living like that period!

watanzania wengi ni wanafiki sana ukiwemo wewe, sasa content zako badala ya kuwakaripia hata maaskofu unaona maaskofu ni kama vile watoto wa miaka 14 wanaotongozwa na kukubali kirahisi halafu wananajisika! which is not true!

kama hauwajui watanzania, basi povu lako na hasira zako zinahitimisha magonjwa ya moyo! watanzania kuanzia wanaccm, wanachadema, tlp cuf..misikitini ,makanisani wengi ni wanafiki hawana kanuni za maisha na hawana wanachokiamini...wewe mmoja wapo!
 
ACHENI NIONGEE KWA HASIRA... HATA MKINI...... ACHENI NIONGEE KWANI SIONI MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA ALIYOTUAHIDI KIKWETE WAKATI WA KAMPENI ACHENI NISEME......"

Mimi ni Muumini wa Kanisa Katoliki kwa taarifa yako, na siwezi kuanzisha Kanisa Katoliki lingine kwani RC haianzishwi na mtu mmoja. KAMA ULIKUWA HUJUI HILO BASI KWA TAARIFA YAKO

Najua na hata hao Mafisadi wakiingia Ikulu hawana tofauti na Kikwete. na mii siwezi kuongea kwa utaratibu au kinyonge ikiwa nina maumivu moyoni. leo kwa kutumia vibaraka wa makanisa uliyoyataja wanaingia kanisani na kuhubiri au kufanya Harambee ili tuwachague 2015. Waelewe kuwa katika nyumba za Ibada siyo waumini wote ni wa Chama / Itikadi yako. Pale kuna mchanganyiko wa kiitikadi.

Pili ieleweke wazi kuwa mimi INANIUMA SANA na siwezi kuwa mnafiki hata siku moja, nawachukia sana watu wenye ubinafsi.

Tatu elewa kuwa wewe unaona kuwa NO FOOD OF THOUGHTS Lakini mimi nimetoa mawazo yangu na pia elewa sijakulazimisha kusoma mchango wangu. kwa wewe GAMBA uliyekunywa maji ya Bendera chafu lazima useme hivyo kwa kuwa "HUJUI USEMALO"

"NAKUOMBA NENDA KAJIPANGE TENA NA HAO MAFISADI WAKO UNAOWATETEA KWANI NAKUJUA WEWE ULIKUNYWA JUG ZIMA LA MAJI YA BENDERA KISHA UJE UPINGE HOJA ZANGU" Kwani hadi hapo upo POINTLESS!!!!!

ACHENI NISEME HAMUWEZI KUNIZIBA MDOMO, ACHENI NISEME HATA MKINI............. ACHENI NISEME!!!!!! KUWA MAGAMBA MMESHINDWA KUYAVUA SASA MNAINGIA MAKANISANI KUJITAKASA KILA MMOJA NJIA YAKE

Hasira zinazuia kufikiri mkuu!

lengo langu ni kutaka kukufikirisha ufikirie outside the box, you can not blame lowassa or nape without blaming those priests,bishops etc who offers an invitation to them!!

Naona pamoja na kutaka uwaze hivyo hujafikia kiwango cha kuwaza hivyo

Name calling is okay kwako, kwangu mm ni mtu ambaye uwezo wa kufikiri umefika mwisho!! kama umeweza kusema mimi nashirikiana na mafisadi, ulikuwa wapi kusema kuwa maaskofu ndio mafisadi wa kwanza basi!

kuna watu mnajisahau sana, hiki siyo kijiwe it is a home of GT, home of GT for God sake, post zenu hazina akili...mnalaumu tu kama vitoto vidogo elezeni ukweli, misikitini, makanisa, vyuo vimeoza elezeni ukweli huu ndipo ukombozi utapatikana!

wao wanaalikwa, mualikwa fisadi ila anayealika msafi...kama kuwaza huku si matope ni nini! Just think ngau kwa dakika tu! then tuma post zenu hizi
 
Ukweli sometimes mchungu kama kupiga kwenzi ncha ya msumari!! Huu ndio ukweli sisi(nikiwemo mimi) tuwanafiki sana! Mfano kuna justification yoyote ya kumtumia EL kwenye harambee za kanisa katoliki(mimi ni muumini)? Kisa kwakuwa hajapelekwa mahakamani! Kwahiyo hata Kanisa sasa linategemea maamuzi ya mahakama kujua yupi safi na nani si safi? Si kanisa hili hili liliku wa linatufundisha kiongozi bora ni yupi na tumchague mwenye sifa gani(ambazo EL hana!).mimi sipendi unafiki hata kanisa langu Katoliki linatumika kisiasa sasa! Kanisa limekosa mbinu za kukusanya mapato bila watu wenye kashfa kibao zisizo na majibu? Nitamwandikia Pengo barua rasmi ya malalamiko maana hata Yesu alisema nyinyi ni chumvi ya ulimwengu,chumvi ikiishiwa utamu itakolezwa na nini?
 
Mkuu umeonega kwa uchungu na jazba ila kwenye post yako hakuna food of thoughts! ni hasira tu

watanzania tumesahau kuwa mnaowachukia nyie wanapendwa na wengine, GWAJIMA NI CCM DAMU, na aligombea ubunge kupitia CCM( kura za maoni), Lwakatare CCM , damu, EAGT ccm damu, lutheran under huyu askofu mkuu wa sasa ni ccm damu!, Gamanywa ni CCM damu! mwingira naye yumo, sijasema kuhusu lusekelo.........wenzako wamejizatiti na swala la kutubu na kanisa hapa halipo, they are living like that period!

watanzania wengi ni wanafiki sana ukiwemo wewe, sasa content zako badala ya kuwakaripia hata maaskofu unaona maaskofu ni kama vile watoto wa miaka 14 wanaotongozwa na kukubali kirahisi halafu wananajisika! which is not true! wewe mmoja wapo!

Hasira zinazuia kufikiri mkuu! lengo langu ni kutaka kukufikirisha ufikirie outside the box, you can not blame lowassa or nape without blaming those priests,bishops etc who offers an invitation to them!!
kuna watu mnajisahau sana, hiki siyo kijiwe it is a home of GT, home of GT for God sake, post zenu hazina akili...mnalaumu tu kama vitoto vidogo elezeni ukweli, misikitini, makanisa, vyuo vimeoza elezeni ukweli huu ndipo ukombozi utapatikana!

wao wanaalikwa, mualikwa fisadi ila anayealika msafi...kama kuwaza huku si matope ni nini! Just think ngau kwa dakika tu! then tuma post zenu hizi

Mkuu, Ni vizuri umewataja hao Wachungaji na pia umesema kuwa either ni Viongozi au waligombea nafasi za Uongozi kwa CCM. Hivyo hao ni CCM damu waliokunywa maji ya Bendera, na wanatafuta kuwarubuni na Waumini nao wajiunge na CCM. Kwa kitendo cha kuwaalika Kanisani hapo ni kuligeuza Kanisa kuwa uwanja wa Siasa. Kama nilivyosema kuwa Waumii wapo wa itikadi tofauti katika nyumba za ibada. Kumbe majibu ulishayatoa hapo juu. SAFI SANAAAAAAAAAAAA

KUMAANISHA KUWA WOTE HAO NI MAFISADI NDIO MAGAMBA YENYEWE.

Kwani katika magamba huwezi kumtoa G. Lwakatare; na kuna kitu wanachokitetea kwa maslahi binafsi wanajua kuwa kiongozi fulani akishinda basi yeye atakuwa na kinga ya kifisadi.

ASANTE SANA KWA KUJIBU.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ukweli sometimes mchungu kama kupiga kwenzi ncha ya msumari!! Huu ndio ukweli sisi(nikiwemo mimi) tuwanafiki sana! Mfano kuna justification yoyote ya kumtumia EL kwenye harambee za kanisa katoliki(mimi ni muumini)? Kisa kwakuwa hajapelekwa mahakamani! Kwahiyo hata Kanisa sasa linategemea maamuzi ya mahakama kujua yupi safi na nani si safi? Si kanisa hili hili liliku wa linatufundisha kiongozi bora ni yupi na tumchague mwenye sifa gani(ambazo EL hana!).mimi sipendi unafiki hata kanisa langu Katoliki linatumika kisiasa sasa! Kanisa limekosa mbinu za kukusanya mapato bila watu wenye kashfa kibao zisizo na majibu? Nitamwandikia Pengo barua rasmi ya malalamiko maana hata Yesu alisema nyinyi ni chumvi ya ulimwengu,chumvi ikiishiwa utamu itakolezwa na nini?

Catholic are far better, some protestants and pentecostal churches are big problems.....

mwisho tukubali tu kuwa mafisadi wote sehemu yao ni jela, kinyume na hapo ni uncilised kusema huyu mwizi maana kuna wezi tusiowajua
 
, na wanatafuta kuwarubuni na Waumini nao wajiunge na CCM. QUOTE]

Wrong! waumaini wanarubuniwa wenyewe! hakuna mtoto, hiyo conclusion yako ya kuwa wanataka wajinue ccm umewaza au umeifanyia utafiti??
 
Back
Top Bottom