Nape Nnauye: Mama anastahili kuongezewa muda, akimaliza 2025 tumchague tena hadi 2030

Nape Nnauye: Mimi ni katika wale wanaopiga debe wazi kabisa bila aibu, kwamba mama anastahili kuongezewa muda, akimaliza 2025 tumchague tena hadi 2030, tuna hakika akifika huko atakuwa ametufanyia kazi nzuri kwa mujibu wa katiba yetu atakuwa ndio wakati wa kupumzika

Nape Nnauye
Wewe mchurie tu,Mungu hadhihakiwi
 
Nape Nnauye: Mimi ni katika wale wanaopiga debe wazi kabisa bila aibu, kwamba mama anastahili kuongezewa muda, akimaliza 2025 tumchague tena hadi 2030, tuna hakika akifika huko atakuwa ametufanyia kazi nzuri kwa mujibu wa katiba yetu atakuwa ndio wakati wa kupumzika.
Nape Nnauye Utapewa Lini PhD ya heshima na UDOM?
 
Hili la kuongeza muda si ndo Magufuli alipingwa?
Magufuli alipingwa kwa kutaka kuvunja katiba. Kwamba baada ya kumaliza miaka 10 aongeze muda kinyume na katiba.

Lkn kwa huyu mama siyo kwamba anaongezewa muda kinyume na katiba., bali yeye anaongezewa muhula wa pili unaoruhusiwa kikatiba.

Umeiona tofauti ya Magufuli na huyu mama?
 
Nape Nnauye: Mimi ni katika wale wanaopiga debe wazi kabisa bila aibu, kwamba mama anastahili kuongezewa muda, akimaliza 2025 tumchague tena hadi 2030, tuna hakika akifika huko atakuwa ametufanyia kazi nzuri kwa mujibu wa katiba yetu atakuwa ndio wakati wa kupumzika.
Nape bwana nikajua anasema tumuongezee muda baada ya 2030 maana hiyo 2025 Hakuna mgombea tofauti na yeye so automatic atakuwa Rais so long as ni mzima.
 
Nape Nnauye: Mimi ni katika wale wanaopiga debe wazi kabisa bila aibu, kwamba mama anastahili kuongezewa muda, akimaliza 2025 tumchague tena hadi 2030, tuna hakika akifika huko atakuwa ametufanyia kazi nzuri kwa mujibu wa katiba yetu atakuwa ndio wakati wa kupumzika.
Do kuna watu Hawana aibu
 
Ungeongeza kunako majaaliwa ya mwenyezimungu!!

Si vizuri kutokuwa mnyenyekevu mbele zake!

Alikuwepo Sasa hayupo na baadhi mlipanga Hadi Bunge la miaka Saba!
 
Nape Nnauye: Mimi ni katika wale wanaopiga debe wazi kabisa bila aibu, kwamba mama anastahili kuongezewa muda, akimaliza 2025 tumchague tena hadi 2030, tuna hakika akifika huko atakuwa ametufanyia kazi nzuri kwa mujibu wa katiba yetu atakuwa ndio wakati wa kupumzika.
Pumbavu kabisa huyo kifutu
 
sahihi kabisa
 
Mama anastahili kugombea urais akishindanishwa na wana ccm wrngine na Sio kuongezewa muda, akimaliza 2025 ili ccm impate mgombea wa kuliongoza Taifa hadi 2030
 
Nape Nnauye: Mimi ni katika wale wanaopiga debe wazi kabisa bila aibu, kwamba mama anastahili kuongezewa muda, akimaliza 2025 tumchague tena hadi 2030, tuna hakika akifika huko atakuwa ametufanyia kazi nzuri kwa mujibu wa katiba yetu atakuwa ndio wakati wa kupumzika.
machawa ya ccm yakiwa kwenye asali ni mapumbavu sana
 
Nape yupo kwenye mrija unaotiririsha asali!

Hawezi kusema tofauti na hivyo
Kama nyinyi mlivyokuwa kwenye mrija Wa Mwendazeke enzi yenu. Watu walikuwa wanapotezwa lkn bado mkawa mnshangilia. risasi zinapigwa waziwazi huku mkishangilia. Nongwa ya nini leo?
 
Hivi hawakomi na maneno yao haya ya kuwapangia watu maisha na roho zitadunda mpaka 2030?

Waache kujipendekeza kiasi hicho maana Dunia hii huwezi kutabiri maisha na uhai wa mtu
Mwanadam kaumbwa kusahau

Hawa wanajiona kama wako peponi

Ova
 
Wanajua tulivyo mazoba mbumbumbu wajinga hatuwezi kufanya kitu…
Wataendelea mpaka wananchi wajitambue wafanye maamuzi magumu
 
Mama aongezewe muda tafazali .sababu ziko nyingi sana .naziandaa ntaziweka humu. Kikubwa huyu mama anakwenda kufanya mapinduzi makubwa ya kilimo kwa kuruhusu uuzwaji wa mazao ya wakulima nnje bila vikwazo vyovyote .ule uzuiaji wa kuuza mazao nnje ilikua ni ujinga mkubwa sana. Mama aendelee tafazali
 
Mungu alipoumba NJAA,,ametupa mtihani mgumu sana binadamu..

Usipoishinda njaa utadhalilika unajiona
 
Back
Top Bottom