Nape Nnauye anaumwa? CCM inapukutika nchi nzima

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Nape katibu mwenezi jamani mbona kimya? je unaumwa huwezi kuongea?

Leo nimeona ITV watu wanarudisha kadi za ccm na Tshirt na vitenge imenisikitisha sana
Tumebaki vijana wachache ambao tunatetea chama chetu ukimya wako unasababisha
vijana wengi kukata tamaa:doh:

Mytake
1. Nape omba Ruhusa na wewe uanza kampeni nchi nzima
2. Naomba uendelee kutoa tamko juu ya mambo yanayoendelea

Caution:

Chama chetu kikiendelea hivi na sisi tutaama muda si mrefu
:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Agenda ya Nape kuzunguka nchi nzima itakuwa nini? Hawana Jipya wanajikangaa kwa mafuta ya wenyewe!
 
Wewe utakuwa gamba, nakushauri usipoteze mda amia cuf ( ccm b) maana uonyeshi kuwa serious pia dhati katika m4c pia mapambano dhidi ya uchafu unaofanywa na ccm the magambaz
 
Nape katibu mwenezi jamani mbona kimya? je unaumwa huwezi kuongea?

Leo nimeona ITV watu wanarudisha kadi za ccm na Tshirt na vitenge imenisikitisha sana
Tumebaki vijana wachache ambao tunatetea chama chetu ukimya wako unasababisha
vijana wengi kukata tamaa
:doh:
CCM ni kansa ya maendeleo.., na wale wote wanaosupport hii cancer ni kama virus wa nchi yetu,
 
Nape katibu mwenezi jamani mbona kimya? je unaumwa huwezi kuongea?

Leo nimeona ITV watu wanarudisha kadi za ccm na Tshirt na vitenge imenisikitisha sana
Tumebaki vijana wachache ambao tunatetea chama chetu ukimya wako unasababisha
vijana wengi kukata tamaa:doh:

Mytake
1. Nape omba Ruhusa na wewe uanza kampeni nchi nzima
2. Naomba uendelee kutoa tamko juu ya mambo yanayoendelea

Caution:

Chama chetu kikiendelea hivi na sisi tutaama muda si mrefu
:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Wajanja tuko Airtel wewe unangoja nini.
 
Akihutubia Dr. Slaa na kuwashangaa wabunge wa CCM kwa unafiki wao hasa wanapopiga kelele lakini amesema waliotia saini kwa ZITTO ni 7 tu.
watu wamejiunga Chadema na kutupa kofia na nguo za CCM.

Kiukweli CCM hawana chao tena hapa nchini kuanzia 2015 kwa aliyeona ile habari awe shahidi mwema.

SOURCE: ITV HABARI USIKU HUU
 
Yupo ziarani nje ya nchi

.
Na waziri mtuhumiwa mkulo yupo nje ya nchi. Rais wake nae kapitia nchini kutokea Brazili na sasa yupo Malawi.
Hii ni staili ya serikali ya chama cha magamba kuukimbia upepo wa kisiasa nchini kwao kwa imani kwamba utajipitia wenyewe bila kuwagharimu gharama za kuukinga ama kuutafutia ufumbuzi.
.
 
Nape:

Hao walikuwa wamepewa wiki moja tu ya kulipa madeni yao au kufukuzwa ndani ya chama kwa7bu ya kutolipia kadi za uwanachama kwa miaka 6 kwa hivyo wametupunguzia wadaiwa sugu ndani ya chama chetu.

source: Nape, Dodoma.
 
Nape katibu mwenezi jamani mbona kimya? je unaumwa huwezi kuongea?

Leo nimeona ITV watu wanarudisha kadi za ccm na Tshirt na vitenge imenisikitisha sana
Tumebaki vijana wachache ambao tunatetea chama chetu ukimya wako unasababisha
vijana wengi kukata tamaa:doh:

Mytake
1. Nape omba Ruhusa na wewe uanza kampeni nchi nzima
2. Naomba uendelee kutoa tamko juu ya mambo yanayoendelea

Caution:

Chama chetu kikiendelea hivi na sisi tutaama muda si mrefu

Nape who?.................hana mshiko kwa siasa ya nchi hii
 
Hivi kijana gani ambaye baba au mama yake hakuwahi kuwa mwanasiasa (TANU na CCM) maarufu bado anakitaka hiki chama!Ushahidi unaonyesha cheo cha juu ambacho angalau unaweza kugombea bila sifa hiyo hapo juu ni Udiwani!Utaleta vipi fikra mpya kwa kuwa diwani pekee ndani ya msitu wa magamba (watu wasiotaka mabadiliko mema mazuri ,mapya)
 
photo+(27).JPG

Nape hana muda na yanayojilia kwa Chama chake kusambaratika, kwani amepata nafasi ya kula kuku kwa mrija huko Denmark kwenye mkutano wa vyama vya siasa, yanayoendelea hapa kwake hayana uzito stahiki.
 
Nape kwakuwa ana damu ya mageuzi na anasaidia kuiua ccm amesema Chama ndiyo inazidi kuimarika zaidi kuliko wakati mwingine wowote.
 
Nape:

Hao walikuwa wamepewa wiki moja tu ya kulipa madeni yao au kufukuzwa ndani ya chama kwa7bu ya kutolipia kadi za uwanachama kwa miaka 6 kwa hivyo wametupunguzia wadaiwa sugu ndani ya chama chetu.

source: Nape, Dodoma.
Kwa vile yupo Dodoma wamuwahishe Milembe kucheki kama upstairs bado hapajapata brain concussion!!! Wadaiwa sugu wakati kabla ya uchaguzi Makamba Senior aliamuru wanaoomba kadi wapewe ili wawachakachulie vitambulisho vya wapiga kura!!! Hakuna wadaiwa sugu ila wamechoka na kuchoka lazima watoke wakibaki watashindwa kupumua kwa nini kukaa katika nyumba isiyo na hewa wakati nyingine zenye hewa safi kama CDM zipo?
 
Nape kwakuwa ana damu ya mageuzi na anasaidia kuiua ccm amesema Chama ndiyo inazidi kuimarika zaidi kuliko wakati mwingine wowote.

na amedai mwezi uliopita wamesambaza kadi milioni 1 na wamepoke wanachama 400 wa cdm levolosi arusha
 
NAKUONEA HURUMA Dr. KUPENG'E HIVI KIJANA MZIMA HUONI HATA AIBU KUWA CCM. MI NADHANI UNA MASLAHI YAKO BINAFSI, ACHA HICHO CHAMA KIFE. VIJANA WOTE WAJANJA WAPO CDM SO NAKUKARIBISHA NAWE MLANGO UPO WAZI HUJACHELEWA.

Back
Top Bottom