Nape Nnauye anaumwa? CCM inapukutika nchi nzima

Ujue [pia kuwa hata nape aliwahi kuhamia cdm kwa muda akiuwinda ubunge wa ubungo so hata this tym around anaweza akachokmoka kumkimbia simba wa monduli hivyo wewe tangulia atakufuata
 
Nape katibu mwenezi jamani mbona kimya? je unaumwa huwezi kuongea?

Leo nimeona ITV watu wanarudisha kadi za ccm na Tshirt na vitenge imenisikitisha sana
Tumebaki vijana wachache ambao tunatetea chama chetu ukimya wako unasababisha
vijana wengi kukata tamaa:doh:

Mytake
1. Nape omba Ruhusa na wewe uanza kampeni nchi nzima
2. Naomba uendelee kutoa tamko juu ya mambo yanayoendelea

Caution:

Chama chetu kikiendelea hivi na sisi tutaama muda si mrefu
:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Usishangae watu kuhama, ni katika kutekeleza ile ajenda ya kujivua gamba ambapo kila asiye msafi ajitathmini na kuona kama anafaa kuwa mwanaccm. Wengi wa waliohamia CDM wameishapata karipio na wengine wamekula fedha za chama. Ni bora wameondoka wenyewe kabla chama hakijawafukuza.... A.K.A Sizitaki mbichi hizi
 
una maneno wewe! mpaka utamu juu
Nape katibu mwenezi jamani mbona kimya? je unaumwa huwezi kuongea?

Leo nimeona ITV watu wanarudisha kadi za ccm na Tshirt na vitenge imenisikitisha sana
Tumebaki vijana wachache ambao tunatetea chama chetu ukimya wako unasababisha
vijana wengi kukata tamaa:doh:

Mytake
1. Nape omba Ruhusa na wewe uanza kampeni nchi nzima
2. Naomba uendelee kutoa tamko juu ya mambo yanayoendelea

Caution:

Chama chetu kikiendelea hivi na sisi tutaama muda si mrefu
:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
photo+%2827%29.JPG

Nape hana muda na yanayojilia kwa Chama chake kusambaratika, kwani amepata nafasi ya kula kuku kwa mrija huko Denmark kwenye mkutano wa vyama vya siasa, yanayoendelea hapa kwake hayana uzito stahiki.

Rais na mwenyekiti wake wa CCM hana habari na yanayotokea hapa nchini, alikuwa kukagua nyanya Brazil na aliporudi amepitiliza "msibani" Malawi, kwanini yeye Nape ahangaike?
 
NAKUONEA HURUMA Dr. KUPENG'E HIVI KIJANA MZIMA HUONI HATA AIBU KUWA CCM. MI NADHANI UNA MASLAHI YAKO BINAFSI, ACHA HICHO CHAMA KIFE. VIJANA WOTE WAJANJA WAPO CDM SO NAKUKARIBISHA NAWE MLANGO UPO WAZI HUJACHELEWA.

hata mimi napigwa butwaa , unawezaje kuwa mwanaccm ? tena unakuta mtu ni kijana

Ujue [pia kuwa hata nape aliwahi kuhamia cdm kwa muda akiuwinda ubunge wa ubungo so hata this tym around anaweza akachokmoka kumkimbia simba wa monduli hivyo wewe tangulia atakufuata

Nape anatuvunja moyo

Hivi katibu wetu Mkama ana kazi gani?
 
Back
Top Bottom