Nape ni ndumilakuwili

rimbocho

Member
Jan 11, 2010
73
3
Nape kama ninavyokumbuka aliwahi kusema chanzo cha cc magamba kukosa ushindi wa kishindo mwaka jana ni pamoja na kuwa na wanachama wasiowakweli, na ili kukomesha hali hii alisema kuanzia sasa (wakati ule) wanachama wanaotaka kuingia katika gamba lazima wawapeleke darasani ili wafundishwe kabla ya kupewa kadi. sasa hawa anao wapa kadi anapozunguka mikoani anawapeleka shule saa ngapi? Pia niwaulizeni wenzangu huyu bwana anafanya kazi za kuwaletea maendeleo watu wa wilaya aliyopewa kusimamia saa ngapi?
 
kwanza hakuna mkuu 3a wilaya anayeleta maendeleo.hawa ni vikwazo vya maendeleo vilivyowekwa makusudi.
wana ccm wanapewa elimu kupitia mpango maalum uliokuwa unaratibiwa na sheikh yahaya kwa njia ambazo watu kama sisi hatuwezi kuona kwa macho.
ndo maana ccm wote akili zinafanana.mf ni wabunge wa ccm.
kusinzia wako sawa.
kuropoka sawa.
kuunga mkono bajeti kwa asilimia mia baadae wanapinga baadhi ya vipengele kama sio yote wako sawa.
kuiba mali za uma wako sawa.
u.........ka wawapo dodoma sawa.
sijui baada ya kifo cha sheikh ni nani yupo chini ya kitengo labda nape atuambie.
 
Rombocho, kumtaja MTU sana NI kumuogopa, Dogo Udc alishaacha SIKU nyingi, Leo jk yuko Msasi angalia Dc WA Masasi nani?

Nilifuatilia KADI MPYA kugawiwa Kama njungu HUKU wakitangaza kutotoa KADI PAPO kwa PAPO, Nikacheck MBEYA na Moshi, wamekaa class kuvishwa Magamba
 
Back
Top Bottom