Nape: Nchi hii ina wenyewe na wenyewe ni CCM!

anagangia njaa huyo mwacheni!!ndiyo maana hata makinda aliwatukana wana kariakoo akasahau kuwa uhuru feki enzi zile uliletwa na wana kariakoo
 
We the people living at the very fringe of the society hizi ndizo ishara tosha, the very sign of times, soon we shall be firmly on the driving seat. The revolution would not be Televisied. Sign of victory.
 
kauli hii tu ingetosha vijana waliokuwepo hapo maeneo ya karibu kucharuka, kama hakuna hata mmoja aliyeshikwa na mshtuko na kufanya lolote mda huo basi ujue safari bado ni ndefu.
 
Hawa watakuwa wamefilisika kifikra haiwezekani kutoa analysis ya kujichonganisha na wasimamizi wa vituo vya kupigia kura wa wakati wote! wakikasirika na uchaguzi ukifika itabidi waoneshe hasira zao si kwisha kazi!? Nashauri secretariet ya chama cha mabunduki ibadilishwe inaua badala ya kuhuisha.
 
Nape badilika or else utakuja juta,wa-Tanzania si wajinga kama unavyodhani.Hivi unawezaje kufurahia hiyo fedha yenu ya kifisadi juu ya malalamiko yote haya juu yako?
 
Hayo ni matatizo ya siasa za kurithishana kutoka kwa wazazi.... ni aibu kwa kijana kama nape kuwa na fikra duni kiasi hicho uzeeni lazima awe mchawi huyo.
 
Uuuwi, astakaflah! Wallah! Jamani ID yangu naionea huruma hapa nilipo nina bann 2 za ID zangu sasa huyu nape nimfanyeje jamani?
Nawaomba walimu wote waliosimamia uchaguzi igunga waandamani kwa hii kashfa kwamba waliipa kura za bure cdm vinginevyo huyu mpumbavu njemba afute kauli yake.
 
Nape ni kilaza wa kutupwa na sishangai kwa matamko yake anayoyatoa ila atuambie kama hii nchi ni ya CCM sisi ambao sio wana CCM na wala sio wakereketwa wa chama hiki cha jembe na nyundo ni wakimbizi?kama sisi siyo waTZ ANATAKA TWENDE WAP?AU TUMFUATE BABA YAKE ALIPO? Unajidanganya NAPE na ipo siku UTAJUTA KWA HILI NA WALA SIWEZI KUKUSAMEHE.
 
Sina uhakika kama kuna mwandishi au mtunza kumbukumbu yeyote nchi hii anatunza kumbukumbu za maneno ya nape...
 
Akasisitiza wao wapo tayari kusema tuandamane hadi ikulu kuindoa serikali na hawaoni aibu amani endapo itapotea! Akasema serikali haiwezi kulikubali hilo, naye Nchemba akasema walimu wanaposimamia uchaguzi wakumbuke kuwa wao ni watumishi wa serikali na endapo CDM isingesaidiwa na walimu basi CDM ingepata kura 1000!

Nachelea kusema halmashauri kuu ya magamba si weledi, nchemba hana akili kama amatoka milembe na mnape ndo chizi kabisa.Mnape kavunja katiba kubagua watanzania wasio wana ccm kuwa si kuwa si nchi yao.Pia nchemba kama alikuwa na ushahidi mbona hakuutoa kwa msimimizi wa uchaguzi ili hatua zichukuliwe?na je takukuru haikuwepo atoe taarifa hizo.jamaa huyo hamna nazonani aliwachagua walopoke mbele ya watanzania?
 
Nape alikuwa wapi wakati wa kampeni, leo anabweka kamaa mbwa aliyekoswakoswa na fisi.

Ajiandae kwa mapinduzi makubwa Tanzania.
 
Uuuwi, astakaflah! Wallah! Jamani ID yangu naionea huruma hapa nilipo nina bann 2 za ID zangu sasa huyu nape nimfanyeje jamani?
Nawaomba walimu wote waliosimamia uchaguzi igunga waandamani kwa hii kashfa kwamba waliipa kura za bure cdm vinginevyo huyu mpumbavu njemba afute kauli yake.
 
Naona spidi ya huyu dogo kutoa kauli tata zenye athari kwa historia yake na chama chake ni kubwa. Naomba wana MMU tutumia hii thread kukumbushana, na kuweka kumbukumbu vizuri, kwa matumizi ya sasa na ya baadae..

  1. Aliwahi kusema ..."mimi sio mchaga ndio nijiunge Chadema"...
  2. Aliwahi kusema ..."hatuwezi kuukataa ukweli kuwa sehemu ya matatizo ya CCM yanachangiwa na mwenyekiti wa taifa"...
  3. Aliwahi kusema ..."CCM tutawatumia vijana wetu kuwalinda viongozi wa serikali"...
  4. Aliwahi kusema ..."hii nchi ina wenyewe, na wenyewe ni CCM"...

Naomba tuendeleze list kwa wanaokumbuka...
 
Hallo wana JF!!!

Kumekuwa na thread na post nyingi zikiletwa hapa JF kumuhusu huyu katibu mwenezi wa CCM ndugu Nape Moses Nnauye...Na hii imetokana na kauli zake tata,wakti mwingine zisizo na tija kwa taifa wala kwa chama chake...Sasa ungepata nafasi ya kumshauri huyu kijana mwenzetu kuhusu maisha yake kwa ujumla,Chama chake na Tanzania kwa ujumla,Je,ungemwambia nini?
 
Whats the issue na such a statement from a CCM Party, Publicity and Propaganda Secretary, given at a Political rally?... Mnampandisha chati wenyewe kwa kila siku kumdiscuss hata kwa non issues kama hizi... Angekuwa mtendaji au na wadhifa serikalini ningeona where the issue is...Geeeez!!!

Dont make yourselves sound as sore losers!
 
Akasisitiza wao wapo tayari kusema tuandamane hadi ikulu kuindoa serikali na hawaoni aibu amani endapo itapotea! Akasema serikali haiwezi kulikubali hilo, naye Nchemba akasema walimu wanaposimamia uchaguzi wakumbuke kuwa wao ni watumishi wa serikali na endapo CDM isingesaidiwa na walimu basi CDM ingepata kura 1000!

Interesting! Waalimu waliisaidiaje CDM? kwakukataa kuchakachua ama kwa kuipigia kura? CCM ikumbuke taasisi ya muhimu na yenye mtandao mkubwa nchini na wanao form more than 50% ya civil servant ni waalimu (primary aschool); hao ndiyo hasa wanaweza wakaifikisha elimu ya uraia kote nchini....CDM please capitalize on this statement muone jinsi mtakavyopata breakthrough huko vijijini. Hakuna taasisi yeyote inayoaminiwa na watu vijijini kama waalimu na shule. Nimetembea vijiji vingi Tanzania kufanya tafiti mbalimbali na mara zote ushirikiano na waalimu ndiyo ulionisaidia maana wanajua each and every thing katika vijiji waliomo; viongozi wanaowajibika na wababaishaji; resources za kijiji; households zilizo active na innovative etc.
 
Kiongozi i do agree with you for 100%. Na kwa kweli if this is true (personally sijaona hiyo taarifa) though i can believe it coz i know the guy alivyo low. CDM should capitalize on this statements na ni insult kwa hawa watumishi waaminifu kwa serikali yao na jamii wa ujumla. So viongozi wa CDM mliomo JF, kina John Heche, Dr. Mkumbo, Dr. Slaa na wengine woote ni muhimu sana kutumia hizi propaganda zao na ujinga wao ku raise awareness kwa wananchi particulary huko vijijini ambako kwa kweli ndiko waliko wapiga kura wenu wapo. Think about it, think Tank.
 
Si bure lazima Nape atakuwa na problem,uwezo wake wa kufikiri unapungua Siku hadi Siku..Tumuombee jamani arudi kwenye Hali yake ya zamani..
dada..! hii ni nje ya sred...! Hivi Halima Mdee hana account hapa JF ? Sisi wapiga kura wake wa Jimbo la Kawe tungependa naye awe engaged kwenye mijadala humu ndani kama wewe na Zitto! pongezi zenu!
 
Back
Top Bottom