Angemalizia tu na ccm ina wenyewe na wenyewe ni mafisadi papa.
Unafikiri wao hawajijui kama ni mafisadi, wanajijua, sema watu wakisema, wanakuwa wakali, kwa mfano unafikiri mwizi hajijui kama yeye ni mwizi, anajijua, ila mtu mwingine akisema, akimsema kuwa yeye ni mwizi, anakuwa mkali, hata kahaba pia.
Kauli hii ingawa imetoka kwa mwehu lakini inauma.
Akasisitiza wao wapo tayari kusema tuandamane hadi ikulu kuindoa serikali na hawaoni aibu amani endapo itapotea!
Akasema serikali haiwezi kulikubali hilo, naye Nchemba akasema walimu wanaposimamia uchaguzi wakumbuke kuwa wao ni watumishi wa serikali na endapo CDM isingesaidiwa na walimu basi CDM ingepata kura 1000!
Mkuu ushaenda kusoma hiki kitabu? Ni vitu vya kawaida kwa vyama vinavyoongoza kwa muda mrefu kusema hivyo. Until you prove them otherwise!
Naomba usinipe BAN, and this is not thinking outside of the box, this shows that THERE'S NO BOX!!
!
Chegg does not guarantee CDs, access codes, or lab manuals with this book.
ISBN: 0253285917
ISBN-13: 9780253285911
PUBLISHER: Indiana University Press
AUTHORS: Francis Meli
South Africa Belongs to Us: "... Meli combines the insights of an insider with sound scholarship." -- Patrick O'Meara"Meli's book is a welcome addition to the literature on South Africa." -- L. E. Meyer, Choice"... the book is written in a sober, matter-of-fact style with a minimum of invective and rhetoric. Packed with quotations and thoroughly annotated, it appeals to reason more than the emotions and deserves to be taken seriously as history rather than dismissed as propaganda or myth making." -- The New York Review of Books"This book is clearly the most important one written on South Africa during the last decade." -- Nature, Society, and Thought"... made the case for the ANC's central role as South Africa's historic movement for economic justice as well as racial and political democracy." -- Journal of African HistoryIn this history of the African National Congress, Francis Meli demonstrates that the party is central to the future of South Africa. British, American, and other Western governments have finally recognized that no South African settlement is possible without dealing with the ANC. «Show less
South Africa Belongs to Us: "... Meli combines the insights of an insider with sound scholarship." -- Patrick O'Meara"Meli's book is a welcome addition to the literature on South Africa." -- L. E. Meyer, Choice"... the book is written in a sober, matter-of-fact... Show more»
Rent South Africa Belongs to Us today, or search our site for other Meli africa textbooks. Every textbook comes with a 21 day "Any Reason" guarantee.
Taarifa ITV muda huu namwona Nape anadai nchi hii ina wenyewe na wenyewe ni chama cha mapinduzi!
Hivi huyu mtu ana akili kweli? Ina maana wote wasio katika CCM hawana haki na hii nchi?
Taarifa ITV muda huu namwona Nape anadai nchi hii ina wenyewe na wenyewe ni chama cha mapinduzi!
Hivi huyu mtu ana akili kweli? Ina maana wote wasio katika CCM hawana haki na hii nchi?
Regia,
Think outside the box.
Kumbuka, JK alishatwambia kuwa "Anachoongea Nape ndio msimamo wa chama" na hivyo napenda kujiaminisha kuwa NDIVYO alivyotumwa na chama na kupewa baraka na mwenyekiti wa chama aongee kwa watanzania kwa ujumla wao.
SASA, watanzania tutaendelea kudharauliwa kiasi hiki mpaka lini? Hivi kweli sisi tusio na vyama hatuna chetu Tanzania hii? Na CHADEMA mkija kuingia madarakani (endapo itatokea) mtatufanyia dharau za namna hii?
Hivi wanasiasa mnajua tumewavumilia sana? Mnajua mnaanza kututia vidole machoni sasa?
Nape, tutake radhi watanzania. Waweza kudai hukumaanisha inavyoonekana au ilivyoelezwa na watu lakini nikiri kuwa kauli hii INAKERA hasa kwa sisi tusio na vyama vya siasa; wachilia mbali wapinzani wenu kisiasa. Labda kama umeongopewa si wewe uliyeongea haya.