Nape: Mimi ni member wa Jamii Forums

Atakuwa figganiga huyu maana anapata access ya kinachoendelea Ukraine bila chenga tena Frontline kabisa.

Kibwengo wa kawaida na anayetumia hizi smartphone za laki3,4,5 hawezi kupata access namna ile.

Hata hivyo huyu figganiga ni mtu bad kwa kutuhabarisha kinachoendelea huko Frontline Ukraine

Tupo mubashara utafkiri na sisi wafuatiliaji tupo Ukraine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom