Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

joka la mdimu

Membe na Nape sasa ni mamba na nyama, ni urafiki wa pesa kwa Ajili ya fitna juu ya Lowasa, lakini nape ni Kigeugeu siku pesa za Gadafi zikimalizika atamgeuka siku Hiyo hiyo.
 
Si kweli CCM ina wagombea wengi wazuri kuliko Lowassa ambaye ni aina ya kiongozi anayependa kutumia ukwasi wake kujinufaisha kisiasa wakati hana uwezo wa kuongoza.
 
Hvi kile kifo cha balozi wa libya kilitokana na nini

Kilitokana na Membe ili afiche Ushahidi juu ya mapesa ya marehemu Gadafi ambayo walikuwa wamepora pamoja na Balozi kwa nia ya kugawana baadae, lakini Membe akaingia Tamaa akaamua kumteketeza kininja kisha wakazuga kuwa kajiua Mwenyewe, Laana hiyo Ndiyo imepelekea hata JK na familia yake kumtosa na kuhamia kwa Pinda au Kinana na ikishindikana watakaa kwa Lowasa tu hakuna jinsi.
 
Si kweli CCM ina wagombea wengi wazuri kuliko Lowassa ambaye ni aina ya kiongozi anayependa kutumia ukwasi wake kujinufaisha kisiasa wakati hana uwezo wa kuongoza.

Hayo ni mawazo yako ambayo hayaakisi ukweli wewe zaidi ya kuwa porojo za mitaani.
 
Naianza siku hii kuwaamsha walio usingizini, wale ambao wanaamini siasa zao za kuelekea Ikulu ni Kukata jina la Lowassa.
Kwangu binafsi sikuwahi kuhofu hata siku moja Lowassa atakuwa mgombea wa chama kipi, Watanzania wa sasa hawawazi Rais, Mbunge au Diwani ni wa chama kipi , Watanzania wanawaza na kuyafuata aliyonena Mwalimu Nyerere kuwa Wakati wa mabadiliko ukifika watu wata yadai ndani ya CCM na wakiyakosa watayatafuta nje ya CCM.

Nasikitika unavyo tumika kuropoka Ndugu Nape Nauye, Pamoja na kukaa kote katika siasa unashindwa kuzijua nyakati za siasa tulizo nazo ndani ya nchi. Naomba nikufunze jambo wewe na bosi wako Bernard Membe na Wengine kama Mwandosya , Watanzania anzia hapo katika parking ya Vituo vya Tax fika hadi Mnazi mmoja ulizia Rais wanaemtaka ni yupi, Majibu yatakuwa haya "Tunataka Rais atakae Tuvusha hapa tulipo, Rais atakae tuletea Unafuu wa Maisha, Rais atakae radisha Matumaini na Bila Shaka atakae Tuvusha hapa ni Edward Lowassa" .

Nape CCM haina uwezo wa kumkata jina Lowassa , haiwezi na hiki hakiwezekani, acha kuitafuta umaaarufu kupita jina la Lowassa . ushahidi wa mambo unaonyesha zaidi ya asilimia 79% ya wajumbe wa nec ambao wanatakiwa kayakubali majina 5 kutoka CC na kupitisha matatu ni Wafuasi waaminifu wa Lowassa hicho ni kitanzi ambacho CCM Kamwe hakitovuka kama tuu CC ambayo iko vipande vipande kwani kila mmoja anataka kugombea. Sitaki tufikie kwa wajumbe wa mkutano Mkuu.

Lowassa ameibeba Roho ya chama cha Mapinduzi na wapinzani wanajua, Membe katika Group Lako la whatsapp la Friend of Membe ulimkaribisha mgeni tarehe (22 /03/2015) Mh. David kafulila aliwaambia wanacho subiri UKAWA kuchukua Dola ni CCM Kukata jina la lowassa. CCM Ina watu makini ambao si kila mnalotaka kulazimisha watakubali. Mzee Mkapa alisha waambia " tuhuma za kipuuzi zisitukoseshee Mgombea.

Anguko la CCM Kama KANU Kenya lilitokana na mahafidhina kama nyinyi kutaka kuupindisha ukweli, KANU haitorudi Kamwe katika Ramani ya siasa kwa kuwa haya yote waliyafanya Kama wewe Nape na washirika wako wakiwa membe. Matokeo ya serikali za Mitaa kwa kulinganisha Jimbo la Monduli na Majimbo ya wagombea Wengine ni Dhahiri pumzi pekee ya chama cha Mapinduzi ni Edward Lowassa . CCM ilipo fikia ni kuamua mawili, kuendelea kushika Dola kupitia Lowassa au kuwa wapinzani kwa maisha yote yalio bakia.

Nape ufike wakati tuambie wewe, Mgombea wako ni Nani , na je hasa unachotaka kwa Lowassa ni nini, sababu CCM nzima imesimama na Lowassa ila wewe na wenzako wanao kutumia mnawababaisha Watanzania. Tuelezeni Watanzania kuwa mmeazimia kui au CCM, muwe wawazi kwani hatutaki unafki.

Kwa Taarifa yenu ishara ya mabadiliko inabebwa na vijana wa 4u movement ambayo kwa Mara ya kwanza Tanzania vijana kutoka vyama tofauti na walio na vyama wameanza Safari ya matumaini ya kuidai Tanzania Yao , wapo zaidi ya million Moja na sana kuwa kwa kasi wapo kila kata, hii ni ishara ya Anguko kwa CCM kama tu itafuta Maneno ya kina Nape na wenzake.

Na John Okello.

Japo sina hakika kama Ni kweli kwamba Ed Lowassa ndiye jawabu halisi la matumaini ya watanzania kutokana na track record yake katika utumishi wa umma! Lakini nakubaliana na wewe kiasi Fulani kwamba mkakati wa Nape na genge lake dhidi ya EL sio sahihi pia na utabuma na CCM inaweza kupasuka kwa ndani ndani; (Implosion)!!
 
Kwa jinsi nijuavyo nape anatangatanga ameshajua hatma yake ndani ya chama kwa.kipindi kifupi kijacho ni mbya ivyo anaongea ongea tu na hataamin macho yake kwa kitakacho tokeaaa baada ya mwamvi kushika.dolaa wapimzano naoo wanamuogopa wanajua mwamvi ni mto wa.kuotea mbali
 
Ha ha ha ha ha unaweza kuta ulikuwepo katika lile kundi la masheikh waliokwenda kulamba viatu vya Lowassa.

Wewe huna hoja mpya

Ukweli ni kwamba Lowassa hana sifa,kipaji,weledi na ubunifu wa kutuongoza waTanzania.Andelee kuchunga mbuzi wake Monduli.Hivi mvua za kutengeneza zimeishia wapi.

Hayo ni mawazo yako ambayo hayaakisi ukweli wewe zaidi ya kuwa porojo za mitaani.
 
Na ni Nape huyo huyo 2005 alijiapiza Kikwete akiwa Rais atahama Nchi,leo hii hadi kafutuka tumbo akiimba Nyimbo za kumtukuza Kikwete,kijana ana njaa balaa,anaweza fanya lolote ili mradi mkono uende kinywani

Membe kamkamata kisawa sawa sasa, lakini nape ni kigeu geu yupo after money, leo yupo kwa Membe lakini kesho mtashangaa atakuja kuwa kwa Lowasa kampeni zikianza.
 
Lowassa anafanya kuwatisha CCM juu ya uamuzi wao wa kumuengua... ambao uko wazi. So kuwaleta hao watu Dom ni kama kuwaambia CCM mkiendelea na uamuzi wa kutonipitisha ni kuwa mnapoteza uungwaji mkono wa makundi yote haya yanayokuja kwangu...
 
Back
Top Bottom