Nape kutangaza kugombea urais 2015

Oh kwahiyo atazunguka hadi KILIMANJARO ? watu wanamsubiri na huo Mdomo wake Mchafu nani atamlinda ??

CCM wanaufanya URAIS kama vile kwenda kumaliza Darasa la Saba

Atadhubutu hayo anayazungumzia Lumumba akitoka hapo anaenda mtwara na lindi.
 
Naona kumekucha baba na Mwana,
Jana baba ake Prof Mwandosya karopoka sasa ni zama ya Mwana.

Haya kila rakheri, nadhani badae anafuatia Makonda, kabla ya Sitta kutangaza December

mtoto wa mbio za kishetani za mwenge, enzi za kabla ya UKIMWI!
 
Back
Top Bottom