Nape Kapotelea Wapi?

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,369
33,015
Tangu ile halmashauri ya CCM ikae Dodoma mwaka jana sijamsikia tena huyu msemaji wa chama tawala? Je wamemziba mdomo asiseme chochote au keshawekwa kwenye payroll ya Lowasa?

Matukio mengi ya kisiasa yanatokea nchini sijamsikia nape akitoa maoni yake kama ilivyo desturi yake!

Nape uko wapi?????????
 
Sio lazima uanzishe thread, wewe ni mtu mzima jifunze kuwa na busara, kama huna topic ya maana ni bora usome na kuchangia za wenzako.
 
mbona wang'aka mkuu au wewe ni msemaji mkuu wa nape nin?? Hapa jamvin jibu swali basi la mleta nyuzi ili nape asiendelee kuchokolewa.

Mumewe nin??
 
Lowasa alishazima mbwembwe za nape baada ya kuieleza nec kuwa lowasa alitaka kuvunja mkataba wa tata wa richmond akazuiwa na mzee wa kaya. Sasa unategemea nape ataegemea wapi hapo! Na el alishaomba muoongozo wa namna ya kuwashughulikia kina nape na wenzake waliotumia raslimalli na pesa za chama kuwachafua wenzao. Ki ukweli nape hana agenda tena!
 
Sio lazima uanzishe thread, wewe ni mtu mzima jifunze kuwa na busara, kama huna topic ya maana ni bora usome na kuchangia za wenzako.

wewe 'gamba' kwani hii thread ina tatizo gani? Acha kukurupuka. By the way inawezekana ukawa PS wa nepi, bt take care isijekua anaku... Ndo mana unakua na uchungu akitajwa!
 
Dogo alikulupuka, lkn humu JF walimuonya, bt akaendelea na uvuvuzela wake. Leo kiko wapi? Mwisho wa siku kule Dom akaambiwa amuombe msamaha mamvi! Lkn namuona siku hizi ameamia kwenye taarabu, section ya kupiga gitaa!
 
Haya unayoyasema unahakika nayo? Au ndo wale waliosema Sumaye kamshambulia Nape na kupinga kujivua gamba kwa faida ya kuwatetea mabwana zao na sasa juzi baada ya Sumaye kuongea positive juu ya kujivua gamba ITV dk45 wanaona haya kusema yale maneno wLiyatoa wapi waliyomlisha Sumaye???? Ona aibu kutunga uongo
 
Mkuu naona siku hizi upo kimya sana hatujasikia maoni yako juu ya siasa zetu za kufukuzana
 
nape,hebu taja makosa yooooote ulio ikosea Tanzania mpaka wananchi wakajua kwa mwaka 2011...
 
Tangu ile halmashauri ya CCM ikae Dodoma mwaka jana sijamsikia tena huyu msemaji wa chama tawala? Je wamemziba mdomo asiseme chochote au keshawekwa kwenye payroll ya Lowasa?

Matukio mengi ya kisiasa yanatokea nchini sijamsikia nape akitoa maoni yake kama ilivyo desturi yake!

Nape uko wapi?????????

Subiri uone majibu.....kuna watu watakwambia kaonekana kwa mtogole anachoma chapati.....hahaha hahaha!
 
tukio gani la kisiasa kubwa kama unavyosema ambalo sijatoa maoni/ ushauri/ msimamo wa Chama? Kwa uchache nikukumbushe tu, LILITOKA SWALA LA POSHO NIKATOA MSIMAMO WA CHAMA, SWALA LA KUFUKUZWA KAFULILA, MAFURIKO DAR NA MIKOANI, MAFUTA NK... Au mpaka nije kutoa hapa Jf? Na leo nimetoa juu ya Hamadi na kumpongeza John Mnyika kwa uteuzi wake kuwa Katibu Mwenezi wa Chadema..

Back
Top Bottom