Nape JF sio sawa na Facebook

atufuate tutamshauri kuhusu information technology, usage and privacy - unapoandika kitu kwenye mtandao basi ujue mtu yoyote duniani anaweza ku-access so long ana internet.

hata mimi nilishangaa wakati jamaa anapost kwenye facebook - duh hata viongozi wenzake wa CCM wakiona hizo post watajisikiaje?

aige mifano ya vijana wenzake kama akina Zitto, Mnyika aone njisi wanavyotumia mtandao.

Kwa mfano wengi tuliokuwa hatukujui kwa ukaribu tulifikiri kijana ni jembe lakini duh......

yaani ni aibu tupu kwenye wall post ya Nape teh teh teh hata mdogo wangu aliye darasa na nne facebook wall yake ameilinda haiezi kufanana na ya Nape
 
Hivi kwanini Makamba alipewa Ukatibu mkuu CCM?
Hivi kwanini Sitta Alinyimwa nafasi ya UspikaThis Time round?
Hivi kwanini Nape Kabadilika sana?

Kama ukijibu haya maswali Kiufasaha, Nitakwambia ni kwanini hata Akitokea Mtu aliyefanana Kitabia na Obama Au Koffi annan, Akipewa madaraka CCM atabadilika kama Alivyofanya Nape.

Wakitoka madarakani CCM vigogo wengi watateseka sana!
 
Nape chukua points hizi kama dira na mwongozo ktk shughuli zako za kisiasa. Kamwe usimchukulie mwandishi wa kama adui yako. Huyu ndiye rafiki wa kweli. Ameweza fanya tathmin kama mwanajamii akagundua baadhi ya madhaifu yako na kuyatolea ushauri. Ingawa ktk ushauri wapo ambao wameusawazisha zaid wote wakiwa na lengo la wewe kunyookewa na mambo yako..naamini miongon mwayo yamesababishwa na jamii yako ya karibu uliyokuwa nayo kabla...muungwana na mzalendo wa kweli ni yule anayezibeba challenge zinazomface ili ziwe chachu ya kumuonyesha njia kule anakoelekea.. Remember, to run away frm the problem z not a proper way of solving them, sit down an make a deeply THINK!! BIG UP Producer na wale mlochangia hili.

Kama hana communication skills ataziona ni takataka tu
 
Salam mheshimiwa!

Mimi Radio Producer napenda kukuandikia barua hii kwa hisia zangu ili kutoa mchango wangu kwako katika siasa ya sasa ambayo hata watoto wameielewa! Kwanza mimi sijui kabisaaa mambo ya undani kuhusu siasa ila napenda nikuelezea mtizamo wangu kwenye technologia ya mawasiliano!

Radio Producer.

Huo ndio uwezo halisi wa nape kwa nini unamfundisha? waTZ tunatakiwa tuwafahamu hawa watu ili kuwatosa wanapokuja kuomba kura kama tulivyofanya wana Ubungo.

Nasema si kosa lake ni uwezo wake umeishia hapo.
 
TUMSHUKURU MUNGU KWA HAWA VIONGOZI MAVUVUZELA KAMA NAPE.
Wadau
Kutoa shukrani kwa Mungu ni jambo la busara sana, hasa kwa wanoamini kuwa kuna Mungu.
Watanzania sasa inatakiwa tushukuru Mungu kwa hii chemchem ya mabadariko. Siku ipo karibu sana kuiona Tz mpya.
Katika mabadiriko haya wapo wanaotumia akili zao zote,nguvu zao zote na uwezo wao wote kufanikisha (Mungu awabariki sana watu hawa, awaongezee hekima,busara na nguvu zaidi). Pia wapo ambao wamekubwa tu na upepo wa mabadiriko bila ridhaa yao, hawa wanajaribu kuzuia mabadiriko kwa kupindisha ukweli, kueneza propaganda za chuki (ndio maana wana kitengo cha propaganda na uenezi) ili kuwagawa waTz kidini,kikabila nk ili wasiungane,ili wao na familia zao waendelee kuwapumbaza, kuwatawala na kuwanyonya milele na milele. Lkn Mungu ni wa ajabu sana,huwezi kushindan na nguvu za Mungu au sauti ya Mungu (wengine huuita sauti ya Umma)..upepo huu ni mkali sana, unawapeleka puta puta na kujikuta wana sukuma mbele guludumu la mabaidiriko bila ridhaa yao/bila wao kujua.
Mfano mzuri wa watu hawa ni Vuvuzela Nape,
1. Maskini na Nape kwa kutokujua au kwa uwezo finyu alipanda majukwaania akitamba na siku 90 za mapacha watatu, akitegemea wenzake watamsupport. kumbe hamna cha sikiu90, wenzake wamemkana wazi wazi akajikuta yupo peke yake anangaa ngaa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango. Kwa uvuvuzela wake bila kujua amejikuta ndio anawzidhia wanachini kuona WAZI WAZI chama chake kinavyokumbatia mafisadi, wananchi wanazidi kudai mabadiriko kwa uwezo wao wote.

2. Nape kwa uvuvuzela huo huo wa kushindwa kushirikisha kauili zake na akilia zake (maana angeshilikisha angekumbuka ishu ya CCJ) amejikuta anakulupukia mshahara wa Dr. Slaa (ingawa hili lilisha wekwa wazi zamaini). Matoke yake, Wanachi wamekuja kujua …ahaa kumbe Mukama analipwa 11M du! Tena wakujua kumbe waanzilishi wa CCJ ni Sita, Mwakwembe,Nape n.k..looo!
Lahulaaaa!!! Uvuvuzela wa Nape umesababisha wazee wazima kuvuliwa nguo hadhalani..kweupee!! loo!! Loo!!! wazee wamembuka!! Sasa wanamuona dogo kimeoo.
Hii imezidi kuwafumbua macho, alaha ..kumbe hawa wazee ni wasaliti, hwaamini tena na hawafai kupewa dhamana ktk nchi. Kasi ya Wananchi kuzid kupambana kwa haki zao, mabadirko na demokrasia ya kweli inazidi kuongezeka.


Uvuvuzela ni TALANTA, Nape tunaomba uzidi kuitunza talanta yako vizuriii sanaaa, ili tuzidi kupata mengine ambayo tusingeyapata au tungechelewa luyapata.
 
Producer mbuzi, ushauri kaa nao mwenyewe, we sema upewa ulfu ngapi na rostam uje ulete upuuzi wako hapa

CCM haijakusaidia hata kujua kusoma na kuandika tuu. lakini unajifanya mfia chama.
 
NAPE, every one knows that "NO any one who is perfect for every thing in the world, but also, DO any thing you can do socially in the world u will never ever fullfill every one's demand to the maxmum. But try as best as you can achieve to meet the target.
 
mimi binafsi kwa kutumia akaunti yake ya facebook huyu bwana nape nimeweza kufanikiwa kujua hata maishayake ya ndani ya familia yake......nimejua ni jinsi gani ana ugomvi na mke wake na anavyo mnyanyasa lakini pia kujua mambo mengi yanayohusu ccm maana nimeweza kuingia hata kwenye mail zake zote anazotumia .........

na kwa kuwa hajui mambo ya technolojia huyu jamaa yaani hajui kitu.........kuna siku ntamlipua sana hadi atashangaa........maambo mengi yako kwenye mail zake na zote ......sasa hivi natafuta namba yake ya simu kama kuna mtu anayo anipm.....

Mkuu umenena! sasa hivi mkewe kamkimbia kwa ufuska wake! anahangaika na lile jimama jamvi la wageni mhe. M..... (name withheld) mbunge wa Viti maalum Singida. Namba ya Nape ni 0715 131977
 
Mkuu umenena! sasa hivi mkewe kamkimbia kwa ufuska wake! anahangaika na lile jimama jamvi la wageni mhe. M..... (name withheld) mbunge wa Viti maalum Singida. Namba ya Nape ni 0715 131977


asipobadilika ataumia sana huyu kijana
 
Huo ndio uwezo halisi wa nape kwa nini unamfundisha? waTZ tunatakiwa tuwafahamu hawa watu ili kuwatosa wanapokuja kuomba kura kama tulivyofanya wana Ubungo.

Nasema si kosa lake ni uwezo wake umeishia hapo.

Duh kama ndo uqezo wake huyu bwana basi kazi kwelikweli!
 
Mkuu umenena! sasa hivi mkewe kamkimbia kwa ufuska wake! anahangaika na lile jimama jamvi la wageni mhe. M..... (name withheld) mbunge wa Viti maalum Singida. Namba ya Nape ni 0715 131977

duh! kumbe makubwa kiasi hiki! Watu wanafikri kufanikiwa ni kuwa na pesa au kuwa maarufu sana! hawajui kuwa kama ndoa inakudunda hujawa na mafanikio?
 
NAPE, every one knows that "NO any one who is perfect for every thing in the world, but also, DO any thing you can do socially in the world u will never ever fullfill every one's demand to the maxmum. But try as best as you can achieve to meet the target.

Hapa mengi hayahitajiki cha msingi ni kwenda na matakwa ya jamii!
 
baadhi ya majibu ya Nape ni

<LI class="uiUfiComment comment_3173334 ufiItem ufiItem"> Joseph Pongu hasan sipendi kuanzisha mjadala na ww kwa sbbu uwezo wako wa kuffikiri si sawa na wakwangu,haiitajiki literature kuvijua hv,but upo hapa sio kusema ukweli bali kusifu kila kitu,kcare boy 4 hours ago via Facebook Mobile · LikeUnlike · 1 personLoading...


<LI class="uiUfiComment comment_3173373 ufiItem ufiItem"> Edess Kansapa Hawa jamaa ni kama Mahndra kwan hawana hoja za maana kujenga nch kaz kucf na hate ubongo wa namna hii na kudhihrisha udhaifu anafkr anakisaidia chama kumbe matope la zaid hawa ndo wanaichafua ccm ya mwl Nyerere sema hoja utuconvince hlf cjaiona umuhmu wa kujadliana ubora wa vyuo kama tumedhamilia kuibadl ccm tutoe hoja co kama kna hassan & mohamed wamefliska sera hapa hatuko gengen 4 hours ago via Facebook Mobile · LikeUnlike · 2 peopleLoading...


<LI class="uiUfiComment comment_3173375 ufiItem ufiItem"> Asha Rajabu mimi nasema kwamba udom is a public university in its external view kule ndani usiseme......km si follower wa CCM lazma udisco na pili kwa staffs km si follower wa CCM LAZMA PAELEWEKE HUKO NDANI NA HASA PALE UNAPOKUWA HATA KADI HUNA... 4 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...


<LI class="uiUfiComment comment_3173383 ufiItem ufiItem"> Slobodan Milossevich Jr. Hivi wewe Nape umeandika ili iweje? Nini maelngo yako hapa?.Siku zimebaki 34 kufikia 90 we piga domo tu kama makamba! 4 hours ago via Facebook Mobile · LikeUnlike · 1 personLoading...


<LI class="uiUfiComment comment_3173408 ufiItem ufiItem"> Asha Rajabu km anataka awe succesful ajtatd asiew km makamba ila akipandwa mzimu wa makamba kwisha habari yako...orgise ideas kaka before you articulate words 4 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...


<LI class="uiUfiComment comment_3173414 ufiItem ufiItem"> Hemed Suya Mi ningewaona ccm wanaume pamoja na wewe nape ningekuona mwanaume kama harakati hizi ungekuwa unazifanyia hapa udsm sehemu ambayo hata mwenyekiti wako anapaogopa tangu awe raisi hajawahi kuja na kamwe hatakaa aje mpaka amalize uongozi wake,... na hii inasababishwa na woga wa kujibu hoja nzito zenye changamoto nyingi za udsm!KIMBILIENI HUKO HUKO UDOM NA WAO WAKO MBIONI KUAMKA NA MUDA SI MREFU WATAKUPIGENI MAWE WAWAFUKUZE.See More
4 hours ago · LikeUnlike


<LI class="uiUfiComment comment_3173417 ufiItem ufiItem"> Slobodan Milossevich Jr. Hv jamani huyu jamaa anaendelea na masomo huko Mwanza au anasubiria siku ya siku isomeke tu kuwa kavalishwa Joho na wenzake wanaopambana kila siku na Research? 4 hours ago via Facebook Mobile · LikeUnlike


<LI class="uiUfiComment comment_3173447 ufiItem ufiItem"> Bernard Kazimoto Dickson Hawa wanaoongelea siku 90 kila siku walitaka Nape asifanye kazi zingine zaidi ya siku 90? kwanini wasisubiri? Tujadili mambo yanayohusu taifa 4 hours ago via Facebook Mobile · LikeUnlike
 
wengine walimjibu hivi

6:39pm · LikeUnlike
<LI class="uiUfiComment comment_3162693 ufiItem ufiItem"> Mkwawa Dawara WAKATI UKIFIKA UTAJUTIA KAULI YAKO,NI VIGUMU KUIFUTA KAULI ILIYO MAWAZONI MWA WATU....MAREKANI ALIPOSHAMBULIWA NA MAGAIDI BUSH ALISEMA "NI VITA YA MSALABA",MPAKA ANAONDOKA MADARAKANI AMESHINDWA KUIFUTA KAULI YAKE MAWAZONI MWA WATU..TAZAMA K...AULI ZAKO...BINAFSI SIAMIN MTU MZIMA MWENYE AKILI TIMAMU MFANO WAKO ANAWEZA KUWEKA MANENO YA NAMNA HIYO....USITUDHIHIRISHIE KUA WEWE NDO WALE WALE..UNARITHI MIKOBA YA WALIOKUTANGULIA?See More
Monday at 6:41pm · UnlikeLike · 2 peopleLoading...


<LI class="uiUfiComment comment_3162702 ufiItem ufiItem"> Suleiman DAniel Mathias Hivi jamani nikumbusheni siku TISINI (90) au miezi mitatu bado haijaisha tumsikie msanii anakuja na ngonjera gani?maana hawa watu hawana huruma na maisha ya wataznania,kapewa cheo hana muda tena kupigania taifa kabadilika,sijui hajifunzi kwa kijana mwenzie January? Monday at 6:42pm · UnlikeLike · 1 personLoading...


<LI class="uiUfiComment comment_3162720 ufiItem ufiItem"> Patrick Katefu brother sasa unakoeleke,ni kubaya,nakushauri ukae kimya.dalili zinaonyesha umeanza kufilisika Monday at 6:45pm · UnlikeLike · 1 personLoading...


<LI class="uiUfiComment comment_3162743 ufiItem ufiItem"> Adelly Ngaya Jamani mambo ya kifo sio ya kudhiaki huyo anajilaani mwenyewe Monday at 6:50pm · LikeUnlike


<LI class="uiUfiComment comment_3162781 ufiItem ufiItem"> Jamaly Ally Hussein &#8206;" Nakuelewa nape" but naogopa naona saa zingine you go personal! Siungi mkono watu kukaa bila kuzikwa but uhai ni zawadi ya mungu kama polisi watoa uhai wa watu kwa maelezo rahisi tu kama " tulikuwa tunajilinda"! Watu wamepigwa risasi migongoni! Namchukia mtu yoyote anayetoa uhai wa mtu! Iwe ni kwa sababu yoyote but uhai ulindwe! Monday at 6:58pm · LikeUnlike · 1 personLoading...


<LI class="uiUfiComment comment_3162804 ufiItem ufiItem"> Edward Mollel Acheni atape tape ni stress tu za alama za nyakati hajaskia wakulima wa miwa wa mtibwa wamegoma kuuza miwa yao kwa kunyonywa bora waiteketeze afu eti wawekazi hao wanyonyaji wanaitwa watz...CHADEMA tumaini jipya ndo wivu unapowakera kwamba cdm inathaminiwa na wananchi zaidi ya serikali iliyopo madarakani...!! Monday at 7:01pm · UnlikeLike · 2 peopleLoading...


<LI class="uiUfiComment comment_3162813 ufiItem ufiItem"> Japhari Shabani Kabla ya kutoa tafsiri ya kikikatuni hicho,ukiwa kama mmoja wa viongozi wa chama tawala ungelijiuliza maswali yafuatayo.Nini kimetokea hadi kufikia vurugu na mauaji hayo?Mauaji hayo na mengine yanayofanywa na vyombo vya usalaama yataendelea... hadi lini?Ni hatua gani zinachukuliwa na vyombo vya usalama vilivyoko chini ya chama tawala?Nani chanzo cha matatizo hayo?Walalahoi au chama tawala kutokana na utawala mbaya na ufisadi?Serikali imeanza lini mpango wa kuwapiga risasi wanaowaitwa majambazi na baadae kutoa msaada wa pesa za mazishi yake????????Ukipata majibu ya maswali hayo utaielewa katuni hiyo.Kama huielewi katuni hiyo NAMASHAKA NA UWEZO WAKO WA KUA KIONGOZI.See More
Monday at 7:03pm · UnlikeLike · 4 peopleLoading...


<LI class="uiUfiComment comment_3162836 ufiItem ufiItem"> Ronalld Ngalai Haki kuipata ni ghali. Lazima haki ichukue mkondo wake. Si kazi ya police kuzika, na pia waziri Kagasheki alishanend wale watu 1200 ni majambazi, iweje police waseme si majambazi? Na kwanini risasi za visogoni? Unajua Nape unazidi kutokomea gizani. Monday at 7:09pm · LikeUnlike


<LI class="uiUfiComment comment_3162845 ufiItem ufiItem"> Mwasakafyuka Samson Nape nakusihi tena ! Unacho cha kupoteza ktk umri wako , kua mwangalifu . Unazeeka kabla ya wakati . Pse kuwa na govener. . . . ! Monday at 7:09pm · LikeUnlike


<LI class="uiUfiComment comment_3162860 ufiItem ufiItem"> Davie de Mwaky Mwanzoni nilikuwa nadhani kuwa matatizo ya viongozi Tanzania(hasa CCM) yanatokana na umri wao kuwa mkubwa huku waking'ang'ania madaraka.But now,Nape is proving me wrong.Dayuuum!
Monday at 7:12pm · UnlikeLike · 2 peopleLoading...


<LI class="uiUfiComment comment_3162875 ufiItem ufiItem"> Steven E Shija Mhe hayo maneno uliyoyasema ni ya kweli au mzaa maana kwa anayefahamu uthamani wa binadamu tena akiwa mauti kwa kitendo cha kusimamisha maiti ati maandamano yapite,kaka naomba uichunguze maana linatia hasira sana kama inafikia watu wanathamini maandamano kuliko utu tunaelekea kubaya,hiyo siyo siasa safi tunayoitaka Watanzania.
 
Back
Top Bottom