Nape, huna njia yako ya kisiasa mpaka uwaige CHADEMA?

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
sasa nimekubali kuwa chadema kinawafundisha kazi ccmkila kukicha ccm wanaiga mbinu za chadema hili la sumbawanga ni mfano mwingine,m4c walianzia jangwani ccm ikafuata sasa operesheni hakuna kulala imewapeleka ccm sumbawanga lakini bahati mbaya ccm hampendeki tena nape jaribu tu lakini chadema inazidi kupaa hata mkizunguka na kikwete,pinda mkuu wa majeshi hamna mvuto tena zile siku 90 za mafisadi bado zitawatesa mpaka 2015 vinginevyo kalaga bao tu pole nape:israel:
 
​sasa nape umefilisika kisiasa unaanza kumtumi william malecela akuokoe kwenye chama kwa nini usimwajiri akawa katibu wako mnatia aibu kwa uroho wa madarka na jamii kweli haitaki ccm kwani ni chama cha mafisadi ngazi zote kuanzia mwenyekiti wenu na famila yake na nyote watumishi wa ccm ni majizi
 
sasa nimekubali kuwa chadema kinawafundisha kazi ccmkila kukicha ccm wanaiga mbinu za chadema hili la sumbawanga ni mfano mwingine,m4c walianzia jangwani ccm ikafuata sasa operesheni hakuna kulala imewapeleka ccm sumbawanga lakini bahati mbaya ccm hampendeki tena nape jaribu tu lakini chadema inazidi kupaa hata mkizunguka na kikwete,pinda mkuu wa majeshi hamna mvuto tena zile siku 90 za mafisadi bado zitawatesa mpaka 2015 vinginevyo kalaga bao tu pole nape:israel:
 
africa2.jpg
 
Hofu ni kuwa Nape atazoea kula matembele baada ya 2015 kufika? Maana ule mwonekano ni wa posho za ccm, zikikoma je? Lowassa anamchungulia kwa mbali, shauli yake.
 
sasa mnaona ccm nyinyi hampendi mabadiliko matukana mnaua mnapiga mapanga sasa siasa hamziwezi uchaguzi bado sasa ikifika 2014 kwa uchaguzi wa udiwani si mtauwa wapinzani wote kazi mnayo hatuwaachii ha mtaa mmoja 2015
 
ukiangalia safu ya chadema wako wachache lakini ni cream,ccm wengi lakini ni ujazo wa pumba=kilo ya sukari ni chadema wakati tani ya makapi ya miwa ni ccm hamna mvuto tena lazima muhonge walevi wavuruge mikutano ya chadema,maana hata polisi wamewachoka ccm kwishney
 
​nape nguvu ya ccm tutaamini pale mkiweza kukomboa arusha na moshi na mwanza kwishey
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom