Nape: Chadema wameingia Mkenge, kauli ya Vua Gamba vaa Gwanda ni ya CCM na CDM wanadanganya umma

Uzuri wa Nape mdomo wake hauna aibu ya kutapika chochote anacho jisikia, na uso wake uko uchi maana hauna haya ya kuzungumza uongo.
Si ndio yeye yeye alisema chadema wanawasaidia kuwavua magamba wanachama wa ccm walio kataa kuyavua?

Na kweli vua gamba vaa gwanda inakomba na kuyavua magamba na kuyavalisha magwanda. Aache kutapa tapa dawa iingie vizuri maana wote walioko ccm ni magamba wakitoka wanavua magamba, wanatawazwa wanavaa magwanda, wanaingia kazini, ukombozi unaendelea.
 
Aka kajamaa utafikiri kasanii ka michezo ya kuigiza jukwaani. Kanaropoka neno lolote ili kuwafurahisha marehemu wa ccm,maana kwa mtu mzima hawezi kuwa ccm. Kwasisi wenye akiri timamu tunamuona nape ana mapepo kwa hiyo sio kosa lake. Mipepo ikitoka atatulia tu.
 
Sijui hicho ni nini lakini kama ndicho mlichonacho, tena timamu! mimi sina cha kupinga, hicho wana CCM hatuna.
 
Back
Top Bottom