Hii sasa ndiyo haswaa operation VUA GAMBA kwa Magamba yaliyopo CCM.

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
Nape nnaye na comrade Kinana walianzisha operation vua gamba kwa viongozi mizigo wote waliopo CCM. Wakawatangazia wajivue MAGAMBA wenyewe kabla ya kuvuliwa, wakagoma. CHADEMA wakarukia na slogan ya VUA GAMBA vaa GWANDA...watu tukacheka sana...jamaa pia wa CCM wakagoma kujivua Magamba na kuvaa Magwanda.

Baada ya CCM kuja na style ya "AMEKATWA" naona magamba yameanza kuvuliwa na kuvaliwa magwanda.

GAMBA kuu ENL baada ya kukatwa kule Dodoma yeye mwenyewe kaamua Kuvua GAMBA na kuvaa GWANDA, pia magamba mengine mengi yanazidi kuvuliwa.

NAPE & KINANA ile operation yenu naona imefanikiwa sana, kateni magamba yote yakimbie CCM yaende kujivua magamba na kujiunga yanakohisi kunafaa. Mwisho wa siku CCM itakuwa safi kama ile ya tarehe 5/2/ 1977.

VUAGAMBA.jpg








1.jpg
 
haaaaa!!!!! haaaaaaa!!!!! hiiii miezi hadi October tutaona mengi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom