Nape anaweweseka baada kuona EL anarudi kwa kasi,ajipange upya ajue atajishikiza wapi EL akija kuwa mgombea na chama chake!
Tuitishe kura hapa JF kati yangu mimi na wewe ni nani taahira.Nadhani mkuu Matola anajua naongea nini.
Molemo,
Kura utashinda si mataahira kwa mataahira mtapigiana nimesema mpo wengi sana ndani ya JF; bado nakusisitiza tafuta shughuli mjini hapo, au mwambie mama yako Josephine akutafutie kazi ya kueleweka
Chama
Gongo la mboto DSM
Zitto amejitokeza sio kwaajili ya chama bali maneno ya Nape yamemchoma,yeye ndio yuko karibu na wajerumani kwa hiyo kama kuna makubaliano yeyote au mikataba basi yeye ndio muhusika mkuu.
Kuna muungwana aliwahi kuleta thread ndani humu '" Chunga Ccm inapoanza kulia rafu"..! hawajamaa ukweli wameshikwa PABAYA. Na bado bwana nape,utavua hadi nguo ya mwisho muziki ukikolea sawasawa. Go Chadema, go!
Nayeye zitto aliposema BOT imeishiwa ilikua ni kitu gani?wote ni wale wale tu
unamaanaisha zzk kaachia kimba au?
Katibu mwenezi wa nyinyiemu n. Mnauye ameshtushwa na vuguvugu la m4c na kudai kwamba cdm inawahadaa wananchi. Jamani hivi ni kweli? Aidha wakati huo huo amenukuliwa akisema kwamba eti cdm inapokea msaada kutoka nje ya ya nchi kwa kisingizio kwamba ni michango ya wananchi kupitia fundrising? Naomba kuwasilisha ndug. Wadau