Nape atoa neno kwenye Mgomo wa madaktari adai hawana shukrani kwa watanzania

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Akihojiwa na star tv Nepi kadai wanalipwa kutokana na kodi za watanzania na kutowatibu ni kukosa shukrani ya kodi za watanzania. Amewataka wawatumikie watanzania kama wanavyolipwa mishahara inayotokana na kodi za watanzania hao.

Wazo langu.

Nape analipwa na nani na mshahara wake je unamuhimu kama wa mshahara wa dakatari kitaifa??
 
Ukivimbiwa ni kujamba na kubeua tu!!nape kavimbiwa bhana tusishangae yanayo mtoka mdomoni na....mku............ni..
 
Nape, Nape, Napeeee! Mbona una akili ndogo kama ya shomolo? Wewe unalipwa kwa kodi ya nani? Na una shukurani gani kwa watanzania? Wewe zuzu unajifananisha na madaktari kwa lipi? Acha kutupandisha hasira, tutakutafuna kama mshikaki, na unavyopatikana kirahisi namna hiyo!
 
Akihojiwa na star tv Nepi kadai wanalipwa kutokana na kodi za watanzania na kutowatibu ni kukosa shukrani ya kodi za watanzania. Amewataka wawatumikie watanzania kama wanavyolipwa mishahara inayotokana na kodi za watanzania hao.
??

Watawatumikiaje wakati wako ICU? Dr Ulimboka yuko ICU, Nape anaongea nini?
 
Nape is a YES MAN, kinachomsumbua ni Job Security tu so mpuuzeni huyo jamaa.
Kwa sasa hatuongelei kauli ya Mbwa Nape, tunaongelea kauli ya mfuga Mbwa Pinda kuwa LIWALO NA LIWE. Huyu yes man acha aendelee kutumwatumwa kama mbwa koko
 
Hiyo nepi ni domo kaya, na unavyojua doma kaya alichagui cha kusema, lisameheni hili ni GAMBA
 
Kila mtu analipa kodi hata yeye anakula kodi, ni Hoja Mfu awadanganye wajinga, kila mtu anakula kwa kufanya kazi yeye na chama chake na serikali yake wanakula kodi zetu kwa kufanya UFISADI wezi, na Kutotimiza wajibu, na kupitia ruzuku inayochukua kila mwezi
 
Pitieni paper yake ya masters kama hajadesa, huyu jamaa zero kabisa. Yeye ndo hana shukrani kwani analipwa na fedha la walalahoi halafu hataki kutetea mazingira bora ya walalahoi kutibiwa, dawa, vifaa pamoja na wanaowatibu walalahoi kufanya tiba kwa moyo huku akiachia watu waibe mabilioni na kuhifadhi uswisi na visiwa gani cjui huko na kuviita vijisent kisha haohao kuwapa uenyekiti wa kamati ya bunge ya fedha na uchumi. Hatuoni aibu. Kwanza aseme uvuaji gamba umefikia wapi?
 
Nape anawambia nini? Kalelewa kwa maziwa ya lactogen, vuvuzela yule. BY G. Lema manzense bakhresa wiji jana kwenye M4c
 
Ama kweli tumekwisha mpaka mizoga inatuhubiria? mungu barikai watu wako usituache ee baba maana peke yetu hatuwezi, kama ulivyotubariki Arumeru basi baba komboa nchi yetu na watu wake,
 
Kazi ya kuhudumia wananchi ni ya serikali sio ya madaktari, sasa kila mtu na lwake hakuna kulalama . Leo nimeangalia Television ya ATN yule mtume wao anaombea migomo Tazania ikome kabla ya maombi anasema hivi " haya tupande mbegu ya maombi mwenye shilingi elfu 10, 20 , 30 au tuma kwa m-pesa leta ,leta panda mbegu panda " pesa zikamiminwa sijui kapata maelfu mangapi , sasa unaweza kuona nchi yetu ilipofikishwa kwa kutawaliwa na watu wachache wenye akili finyu soote tumekuwa mazoba , mpaka wajanja wanatumia uzoba wetukutengeneza pesa
 
nape kaa kmya hupaswi kunena lolote, je wew una nin mpaka uongee na kama nan? ccm ndo waliotufikisha hapa
 
Ukimuona Nape utadhani ana akili na hekima hadi afunue mdomo
Huyu dogo asiye na umuhimu wowote kwa Taifa hili anatembelea Shangingi lililonunuliwa kwa ruzuku (kodi yetu)
Hazalishi chochote
Hachangii chochote kwenye uchumi
Anaishi vizuri kwa kuropoka
Acha wataalamu wenye umuhimu kuliko yeye wadai haki zao
 
Kazi ya kuhudumia wananchi ni ya serikali sio ya madaktari, sasa kila mtu na lwake hakuna kulalama . Leo nimeangalia Television ya ATN yule mtume wao anaombea migomo Tazania ikome kabla ya maombi anasema hivi " haya tupande mbegu ya maombi mwenye shilingi elfu 10, 20 , 30 au tuma kwa m-pesa leta ,leta panda mbegu panda " pesa zikamiminwa sijui kapata maelfu mangapi , sasa unaweza kuona nchi yetu ilipofikishwa kwa kutawaliwa na watu wachache wenye akili finyu soote tumekuwa mazoba , mpaka wajanja wanatumia uzoba wetukutengeneza pesa

"church heathen" by Shaggy.
 
Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.
 
Back
Top Bottom