Nape atoa neno kwenye Mgomo wa madaktari adai hawana shukrani kwa watanzania

Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.
nenda zakooooooooooo.. Lucnde type ww
 
Huyu alikwishaambiwa kuwa yeye ni Kansa ndani ya ccm! Sasa anajikomba nini huko ccm?
Ajiandae tutamvua gamba hivi karibuni!

08_10_hxqb4f.jpg
 
Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.

kwa hiyo unataka kutuambia haulipwi mshahara?!kwani sisiemu imekua kanisa mpaka ufanye kazi ya bure?
 
​Mbona Dhaifu analipwa kwa kodi zetu lakini hana shukrani na anazidi kutuibia tu? Anaifanyia nini nchi hii zaidi ya kuididimiza?
 
Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.

Matusi, kejeli na migomo itokeayo ni tokana na kushindwa kwa UONGOZI wa CCM, ukijua hilo itakusadia sana.
Hata hivyo mambo yakitulia utakua na muda mzuri wa kupiga propaganda za Madaktari kua na HURUMA lkn kumbuka uwezo wenu wa propaganda ni mdogo sana na nyie CCM ndio wa kwanza kwa kutokua na HURUMA kufuja kodi za TZ.
 
Naendelea kuwashukuru sana sana kwa matusi na kejeli zenu kwangu......be blessed!!!
 
Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.
Tangu lini NAPE ukafanya kazi bila kulipwa? Nakujua sana dogo una ulafi wa hela kinyama ndo maana ukagombana na EL! huna lolote kwani hizo ziara zako mikoani mbona hutuambii unalipwa sh ngapi kwa siku?
 
Naendelea kuwashukuru sana sana kwa matusi na kejeli zenu kwangu......be blessed!!!

Usitoe shukurani tu... Alichoandika huyu muungwan juu ya Uliichoongea ni kweli au si kweli??? Then nini Mtizamo wako kuhusu Mgomo huu wa Madaktari??? Una lolote la kusema kuhusu yaliyomkuta Dr. Ulimboka????
 
Mzee wa kauli Nape, hivi ameishatolea kauli zile Bilion za uswis? Hachana na Drs Nape kwa kutafuta public support kuwa serkakali iko sahihi, Dr wana IQ kubwa sana kuliko wewe mchumia tumbo, so husianzishe malumbano nao.Hizi siyo siasa.siyo kila kitu utolee matamko ata kama hauna point za msingi.
 
Akihojiwa na star tv Nepi kadai wanalipwa kutokana na kodi za watanzania na kutowatibu ni kukosa shukrani ya kodi za watanzania. Amewataka wawatumikie watanzania kama wanavyolipwa mishahara inayotokana na kodi za watanzania hao.

Wazo langu.

Nape analipwa na nani na mshahara wake je unamuhimu kama wa mshahara wa dakatari kitaifa??

Nepi siku zote ni kwa watoto wanaojinyea na kujikojolea. kwa hiyo hatushangai Bwana Nepi anaporopoka na kubwabwaja mikojo na mimavi yake. Ni mtoto huyu na hakui siku zote.

Hivi Wabunge wa CCM pamoja na Nepi mwenyewe wana shukrani gani kwa Watanzania? Mbona wao kila siku wanadai posho kubwa wakiwa Bungeni na vikao vyao vya CCM? Mbunge analipwa 70,000/=kama sitting allowance + 80,000/= kama per diem hivyo kupata jumla ya Tshs.150,000/= kwa siku na bado walitaka sitting Allowance iwe 200,000/=kwa siku!!!

Kama Nepi anadai madaktari hawana shukrani kwa Watz basi awaambie na Wabunge wake wa CCM ambao wameng'ang'ania kuendelea kulipwa posho ya kukaa tu kwa viwango hivyo wakti madaktari wanadai haki zao za msingi na serikali ya Magamba haitaki kusikia wala kuelewa!!
 
Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.

ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa?
 
Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.

Nape kwa maneno uliyoongea hapo juu, kwa mtu asiyekujua na mgeni, anaweza akakuonea huruma hata ukamliza, atakuona ni mtu unayewajali watanzania huku sisi tunaochangia hapa hatuwajali watanzania wenzetu.

Mnafiki mkubwa wewe na chama chako cha ccm ambacho kipo mochwari tunasubiri kukizika 2015. Binafsi sijawahi kukubaliana na what ccm is doing kwa wananchio kwa kutofanya kile kinachotakiwa kufanya, na pia sijawahi kuichukia.

But, kwa kilichotokea jana, Nape I hate CCM na serikali yake, hivi wewe Nape unaona madai ya madaktari kutaka waboreshewe mazingira ya kufanyia kazi sio ya msingi? au unafurahia mnavyoharibu vyeti vya madaktari kwa wagonjwa wengi kuwafia mikononi mwao sio kwa kuwa hawawezi kuwatibu bali hawana vifaa? au unataka madaktari wawe NDIO MZEE kama wewe? waendelee kufanya kazi ktk mazingira yasio na vifaa? akija mgonjwa wa operation wafanyie meno yao operation badala ya mikasi n visu (ambavyo serikali inashindwa ku'supply), wawashone na nyuzi za kufumia vitambaa (kwa kuwa hakuna nyuzi serikali imeshindwa ku'supply), hositali za serikali zimekuwa ni sehemu ya kuulia watu badala ya kutibu.

Naongea kutokana na ukweli nilioupitia ktk hospitali za serikali. 2010 tulivamia na majambazi nyumbani kwetu ambapo ktk kuiba iba vitu walinijeruhi kwa panga kichwani ambapo niolipoteza damu nyingi sana, polisi walipofika walinipeleka ktk hopspitali ya serikali pale mbagala mwisho that time niokikaa huko, believe me, ktk hali niliokuwa nayo sina hela, sina atm kadi imeibiwa, sina ufunguo wa gari ambao majambazi wameupoteza ktk kuvuruga vitu. DAKATI ALINIAMBIA HAWEZI KUNISHONA KWA KUWA HAKUNA NYUZI, HAWEZI KUNISAFISHA KWA KUWA HAKUNA PAMBA, KITU PEKEE MALICHOFANYA NI KUNIANDIKIA DAWA YA PANADO NDIO ILIOKUWEPO,

Hebu niambie NEPI, kama ningekuwa sina insuarance ninayolipiwa na ofisi yangu ya AAR iliyoniwezesha ku'rush AGHAKHAN kutibiwa, Believe me Nepi nisingekuwa hapa naandika haya kwa jinsi nilivyoumizwa, ningelikufa, na ktk mazingira hayo serikali ulikuwa wapi? At lengo la serikali yako ni kupunguza watu kwa kuwaua kupitia hospt zenu?

NAUNGA MKONO MGOMO WA MADAKTARI HADI SERIKALI IBIRESHE MAZINGIRA YA KAZI KTK HOSPITALI BINAFSI NA SIO KUWAUA WANAOONGOZA MGOMO.

NEPI I HATE THIS SERIKALI OF YOURS, NA KWA MLICHOKIFANYA JANA CHA KUTAKA KUMUUA DR. ULIMBOKA, SIJUI NI WATU WANGAPI NITAWATOA CCM KWA HASIRA MLIYOIWEKA NDANI YANGU HADI 2015
 
Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.

Kijana mdogo unashikwa akili na mzee malecela shame on you.......ok emu nikumbushe best angu hivi mama ako alizaa na nani tena NNAUYE au MWANDOSYA?
 
Naendelea kuwashukuru sana sana kwa matusi na kejeli zenu kwangu......be blessed!!!

Nikiona mududu kama hii tanzania nachukia sana ni minyama minyama minyanganyi

Go to Hell lemeshiba tumbo linakejeli watanzania Fu....K to hell X 1000000000000000000000000000000000
 
Nakumbuka bibi alikuwaga anasema hivi mara nyingi watoto wa nje ya ndoa ni wasumbufu sana!!!!
 
Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.

Yawezekana kweli hulipwi mshahara ,lakini unaweza kuwa mmoja wa wamiliki wa dola 300bil,Uswiss.Maana kwako
mafisadi hawana shida japo wanalipwa pia kwa pesa zetu ila wanatuibia pesa zetu na kupeleka nje ya nchi,ila
kwako madaktari ndio pekee wanaolipwa pesa za walipa kodi.Please kaka ebu some times acha unafiki kwenye
mambo yanayogusa hisia za watu.Kwa nini usiishauri serikali yako waache ujinga kama wa kukimbiza mwenge
nchi nzima kwa gharama kubwa ambayo pesa hizo,zinaweza kufanyia mambo ya maana.PLEASE soma alama za
Nyakati!!!!!
 
Akihojiwa na star tv Nepi kadai wanalipwa kutokana na kodi za watanzania na kutowatibu ni kukosa shukrani ya kodi za watanzania. Amewataka wawatumikie watanzania kama wanavyolipwa mishahara inayotokana na kodi za watanzania hao.

Wazo langu.

Nape analipwa na nani na mshahara wake je unamuhimu kama wa mshahara wa dakatari kitaifa??

Tumsamehe bure,ndio uwezo wake wa kufikiri unapo ishia!
Hajui kama madaktari wanagomea mazingira magumu ya kazi ambayo huwaathiri wananchi wote;hivyo mgomo huu ni kwa maslahi ya nchi na wananchi wake.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom