Nape anatumia mkorogo?

Hizi zote dalili za ushoga tu. Haiwezekani kwa hali ya kawaida mtoto wa kiume upake calorite, uvae cheni na kikuku, nape unatuaibisha mtu mzima, sio kihivyo banaa! Noma hiyo.

umeongea mambo ya maana lakini hapo kwenye red nahisi ushamba ndo unakusumbua, hii ni tamaduni yakimagharibi ambako ni swager za magangsters so no research no right to speak. kwa hiyo na mzee BMW ni shoga? wa wapi wewe?
 
Inategemea anaejadiliwa ni nani, na ana nafasi gani kwenye jamii.
Unataka kusema padre akivaa sketi asijadiliwe kwa kuwa ni personal attack? Vaa wewe chupi ya dadako, then tembea mtaani kama utaona thread yako hapa jf!

hahahahaha.....mbavu zangu mama weeeeh...
 
Back
Top Bottom