Nape anatumia mkorogo?

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi........No comment!!!
 
​Jamani kwani nani kasema, skin lightening creams (mikorogo) ni kwa wanawake tu?
Hutataki ubaguzi wa kijinsia, kama baba anataka m'ngao basi na yeye ruhusa mgorogo:A S 465:
 
Inategemea anaejadiliwa ni nani, na ana nafasi gani kwenye jamii.
Unataka kusema padre akivaa sketi asijadiliwe kwa kuwa ni personal attack? Vaa wewe chupi ya dadako, then tembea mtaani kama utaona thread yako hapa jf!

Tell him sijui her
 
​Jamani kwani nani kasema, skin lightening creams (mikorogo) ni kwa wanawake tu?
Hutataki ubaguzi wa kijinsia, kama baba anataka m'ngao basi na yeye ruhusa mgorogo:A S 465:

Hebu nieleweshe kidogo, unamaanisha wanawake wameruhusiwa kupaka mokororgo au?
 
Great thinkers discuss issues and not personalities!! Msilitie najisi janvi kama hamuwezi kukunja miguu janvini nendeni mkakalie viti vya mbao!!

jamvi lisiharibiwe watu wenye upeo wanagombana kwa hoja za msingi na sio utu wamtu usiattak personality ya mtu bali hoja.
 
Great thinkers discuss issues and not personalities!! Msilitie najisi janvi kama hamuwezi kukunja miguu janvini nendeni mkakalie viti vya mbao!!

Nimeipenda hii,hizi Thread nyingine kwa kweli zisiruhusiwe.Mi nilidhani ni trick ya heading kumbe sivyo.....aaaaakh!
 
tena haswaaaa, mkuu hapo umelonga, ukisoma uandishi wa habari na utangazaji unaambiwa anything done by public figure its a news, tena ikiwa kitu un'usual kama huyo nape na mikorogo ndo un'usualness yaongezeka, .Hao public figures ndo wanafanya media's n other things spin so mai naona sawa tu kwa yeye kudiscusiwa hata kama amekutwa na .........wangu umeniponzaaaaaaaaaaaaaa.....
 
Yawezekana huyu mwanapropaganda wa magamba anatumia mkorogo kweli kwani kwa ulurupukaji wake angekuwa amekisha jitetea, hii imegonga ikulu ndo maana kimya!
 
Inategemea anaejadiliwa ni nani, na ana nafasi gani kwenye jamii.
Unataka kusema padre akivaa sketi asijadiliwe kwa kuwa ni personal attack? Vaa wewe chupi ya dadako, then tembea mtaani kama utaona thread yako hapa jf!
kaka umemwelimisha vizuri na kuonekana kua yeye ni F**ken great thinker coz hakulijua hilo,inawzekana anafikiri kwa kutumia masaburi.Au na yeye anatumia mambo hayo nini ndo maana anakua mkali?
 
Nami naunga mkono ni kweli huyu bwana mdogo anatumia mkorogo tena anaovadozi kabisa. Sasa nimeamini kinachoimbwa kuhusu WANAUME KAMA MABINTI.
 
Back
Top Bottom