Nape ajibu makombora ya Marando

Mshahara wa Mkama hauzidi milioni tatu mbona hataji kiwango? Maneno kwamba ccm kulikuwa hakuna watu makini wa kuijibu cdm ni matusi wa Chiligati, dogo hana adabu
 
Umeingia bonge la chaka,hujaelewa mada hata kidogo mzee! Au nawe ni mropokaji kama padiri! Ok kisiwani jamaa hakumaanisha zanzibar, alimaanisha nape kawazingira pande zote kama maji

Hapa kunaamanishwa CDM wamezungukwa pande zote; sawa na mtu aliyekimbilia kisiwa cha Mafia ukiweka mtegi katika njia zote za kutokea unamshika! Ni sawa na ujio wa Nape ulivyotikisa CDM na hoja yao ya UFISADI. CCM anashambulia NAPE peke yake ikiwaacha makomredi wengine wanapiga jaramba. CDM mchecheto hawana msemaji rasmi na kauli za kujirudia; mara wamtume Komu, Safari, Marando, Dr. Slaa, Mbowe wote ni choka mbaya kwa hoja zenye mshiko
 
Hapa kunaamanishwa CDM wamezungukwa pande zote; sawa na mtu aliyekimbilia kisiwa cha Mafia ukiweka mtegi katika njia zote za kutokea unamshika! Ni sawa na ujio wa Nape ulivyotikisa CDM na hoja yao ya UFISADI. CCM anashambulia NAPE peke yake ikiwaacha makomredi wengine wanapiga jaramba. CDM mchecheto hawana msemaji rasmi na kauli za kujirudia; mara wamtume Komu, Safari, Marando, Dr. Slaa, Mbowe wote ni choka mbaya kwa hoja zenye mshiko

Sawa kabisa na Mitegi yako!
 
Namfahamu vizuri nape Tena sana. Wakati ule anapambana na Lowasa na Makamba nilijaribu kuuliza kwa baadhi ya ndugu zake kwani sikuweza kuonana nae muda huo. Niliwauliza kwa nini haogopi kupambana na watu wazito kama wale, nikaambiwa kuwa aliwajibu ndugu zake kuwa wasiwe na wasiwasi hakuna mzozo pale bali anaandaliwa. Anaandaliwa.
 
Maneno kama "Chadema walizoea kuionea CCM kwa sababu hakukuwa na mtu makini anayejua kujibu hoja" sizani kama yamelenga kubomoa CHADEMA bali kuzidisha uhasama ndani ya CCM.
Nape anataka tujue kwamba kabla yake wengine wote hawakuwa makini akiwemo MWENYEKITI.

Ndo manake!
 
Jamani,
Huyu bwana mdogo naona amekuja na staili inayoweza kumwingiza kwenye kundi moja la wazee wa taarabu tuliowazoea la mzee Yusufu Makamba na Tambwe Hiza. Katika siku za hivi karibuni nimeona kasi ya Nnape ya kuropoka na kubwabwaja kama kasuku imeongezeka kiasi cha kutilia shaka uwezo wake katika kukiletea mabadiliko chama chake kilichompatia dhamana ya uongozi. Sasa ameibuka na kauli yake kwamba Dr. Slaa ni fisadi! Yeye anadhani watanzania ni watoto wanaoweza kudanganywa na kauli nyepesi nyepesi hivyo!!!

Sasa nimeanza kuamini maneno ya watu waliobeza slogan ya kujivua gamba kwamba nyoka akijivua gamba anabaki kuwa nyoka. Na ndivyo ilivyo kwa ccm. Mwanzoni, nilidhani sasa tutaanza kusikia kauli zenye mashiko kutoka kwa huo uongozi mpya wa ccm ulioingia baada ya kile kilichoitwa kujivua gamba. Nilijua nyimbo za taarabu zitakuwa zimeisha. Kumbe wapi, kilichobadilika ni wanamuziki tu. Hivi ni kweli ccm imeishiwa watu wa maana wanaoweza kuongoza chama professionally?
anafuata na kutimiza maelezo ya semina elekezi
 
Mzee Kuna tofauti kubwa kati ya Nape, Tambwe na Makamba. Makamba ni Mzee Tambwe ni Comedy Nape ni mtu aliyezeeka kabla ya muda wake. Umewahi kula embe, nanasi au papai lililoivishwa kabla ya kukomaa?
 
nape ni mpambanaji haswa, cdm mlizoea kumnyanyasa wagosi wa kaya "makamba na tambwe hiza" hizi ni zama za kujibu mapigo.

Mapigo ya nape ni makali kiasi ambacho cdm wameona majibu kutoa slaa na mbowe hayatoshi hivyo komu, marandu na safari nao wakaingia uwanjani kumjibu nape. Ccm tupo mkao wa kula, upele umepata mkunaji, dawa ya makombora ya cdm imepatikana!!
Mapigo ya kugawa wa watanzania kwa misingi ya ukabila ni upuuzi mtupu sitaki kuamini kama Nape anaweza kutumia njia hatari kama hii akemewe kama alivikemewe na uongo waka wa siku tisini
 
Mzee Kuna tofauti kubwa kati ya Nape, Tambwe na Makamba. Makamba ni Mzee Tambwe ni Comedy Nape ni mtu aliyezeeka kabla ya muda wake. Umewahi kula embe, nanasi au papai lililoivishwa kabla ya kukomaa?
+parachichi
 
Hoja ya ukabila ni ujinga hata kwa wana ccm wenye upeo hawawezi kupongeza huu upuuzi
 
Hatuwezi na wala hataweza mpaka afe aulize waliomtangulia
Nape anamaanisha kwamba

1: CCM haikuwa hi kuwa na Mtu Makini Zaidi yake;
2: Wachaga ni Watu hatari sana na ni Lazima Waepukwe kama Ukoma Ndani na Nje ya CCM
3: Yeye anadia Mshahara wa Mukama hauzidi Milioni Tatu wakati Mukama amesema Bado hajui analipwa kiasi gani maana Mshahara bado haujaingia Benki


Wachaga Mlioko CCM, Fikiria Chukua Tahadhari Dogo ametangaza Vita Dhidi ya Wachagga
 
watu wenye mawazo mepesi hujadili watu i;a watu wenye upeo hujadili masuaala mazito kama ufisadi na hatima ya tanzania. pole sana nape! Dr. slaa sio uzani wako. Hapo umeingia choo cha ......!
 
Hana tofauti yoyote na Makamba ila huyu ni kijana na akili yake inaweza kuwa imeibiwa kama babu yake makamba
 
Sasa namaini kabisa ya kuwa elimu ya Nape ni kuunga unga sidhani kama alipomaliza kidato cha sita aliweza kuchaguliwa kujiunga na UDSM EMBU FUATILIENI KWA KARIBU MTUJULISHE
Nape kaamua kuweka silaha ya CCM hadhrani ya ukabila. haya sasa kasema yeye asingeweza kuingia CDM kwa sababu sio mchaga. Je wachaga walioko CCM inakuaje? Nape umeishiwa kiasi hicho.

Ukubwa wa umbo sio akili, chambueni elimu zao, makuzi na tabia zao ili mjue busara zao. kazi ya urithi utaijua kwa kukosa umakini
 
Tolowski na Mafilili,
To me you're identical twins born out of wedlock (bastards); I can't rate your IQ which am sure it rank as low as to zero minus.
I'm sure you'd argue a point that someone who fathered you was a junky and was under junk influence when he f¤>`ck~d your mother to conceive you.
 
Unataka Nape ajibu Makombora ya NANI !!!!!!????? Ameongea nini au alikuwa anapaza SAUTI??? Unaifahamu historia yake huyo Mzee wa MAKOMBORA KWENYE ANGA ZA SIASA???:dance: Kumbuka aliwahi kukwepa viti kwenye kikao cha Chama fulani. Kwenye uwakili nampa Bravo lakini kwenye SIASA mmmmm!!!!!!! anatia shaka yawezekana Nape akamtoa Kapa huyo unaemuona ww Mzee wa Makombora.
 
True,ni mvuta bange kama wewe na wafuasi wa chadema!ila yeye hakuwa mzinifu kama padri flan hv
Tolowski na Mafilili,
To me you're identical twins born out of wedlock (bastards); I can't rate your IQ which am sure it rank as low as to zero minus.
I'm sure you'd argue a point that someone who fathered you was a junky and was under junk influence when he f¤>`ck~d your mother to conceive you.
 
Back
Top Bottom