Nape ajibu makombora ya Marando

Nape sasa unajidhalilisha hivi kati ya CCM na CHADEMA ni nani alisaini mikataba ya Richmond, makampuni ya madini, TRL, IPTL,aliyeiba pesa za EPA, usisahau kashfa ya viwanda vya samaki mwanza na kashfa nyingine nyingi tu. Sijui ni mwananchi gani ambaye unaweza kumwambia CHADEMA ni mafisadi kuliko CCM akakuelewa. Naomba ujibu na hiyo ya kuchangia madawati zaidi ya miaka kumi kwa kila mwanafunzi. Acha ujinga leo utakula wewe kesho wanao wataombamba kwa sababu baba yao alikuwa kilaza hakujua ufisadi wa CCM ndio unaangamiza maisha ya watu.
 
Niko page one tu naona watu walivopaniki.wakimsihi anyamaze.dah,yaonekana anawapa headache watu humu,sababu kama anajiharibia yanini kumsihi anyamaze ama wanaCDM Mmepata huruma tena kama mlivobadilika na kuanza kuwahurumia wale mapacha?
Ukweli huyu NAPE anahit target..mh,goja niende page 2
 
nape ni mpambanaji haswa, cdm mlizoea kumnyanyasa wagosi wa kaya "makamba na tambwe hiza" hizi ni zama za kujibu mapigo.

Mapigo ya nape ni makali kiasi ambacho cdm wameona majibu kutoa slaa na mbowe hayatoshi hivyo komu, marandu na safari nao wakaingia uwanjani kumjibu nape. Ccm tupo mkao wa kula, upele umepata mkunaji, dawa ya makombora ya cdm imepatikana!!

Mkuu pole sana ukabila hauna maana kwa wananchi kama ufisadi wenu CCM, mimi binafsi si mchagga lakini kama wachagga wamefumbuka macho na ukweli ukaonekana sioni tabu kujiunga nao hata kwenye biblia huwa wanazungumziwa wayahudi peke yao lakini hata sisi waafrika, watu wa mataifa yote tunafuata hiyo biblia bila kuhoji kwa nini wanazungumziwa wayahudi pekee. Sababu wenyewe ndio waliofunguka wa kwanza nasi tumewafuata. Kila njia huwa na kiongozi awe mchagga, mhaya, msukuma yote sawa cha muhimu ni kujua njia nzuri ya kufuata
 
Nakupongeza sana Nape nnauye! Umeweza kuwachokonoa chadema panapotakiwa ukilinganisha umri wako na unaowanyima usingizi,MABABU!!!umeweza kufanya kazi waliyoishindwa makamba na chiligati! Singo ya chadema sasa imebadilika,wamehama kwenye singo ya UFISADI!UFISADI!! hadi singo mpya ya NAPE!NAPE!NAPE!! Nape umekuwa ni mzimu unaowazingira wanachadema tz nzima! Kweli chadema ni chama kichanga kisiasa, yaani huyu bwana mdogo tu single-handedly anawachachafya namna hiii!!!! Cdm kwishney, subirini kupunguziwa ruzuku 2015,sijui padiri muasi mtamlipa nini!!!
 
CDM wamekamatwa kisiwani, hawana pa kutokea!! Bravo Nape
 
Mzee nadhani hujanielewa, nilikuwa namjibu MAFILILI aliyedai twende kuchunguza makao makuu ya chadema kuwa wamejaa wachaga, mimi sikubaliani nae, read my comment well utagundua nilimlenga nani, but nilikosea kumjibu Sikonge na nimemwomba radhi

Nimekusoma mkuu. Mafilili nafikiri ni mmoja ya wana CCM waliopata kanafasi baada ya kikao cha nyoka cha kujivua Gamba, maana moja ya masharti au malengo baaada ya semina elekezi ile ya kujivua gamaba lilikuwa ni kujiunga kwa ID tofauti tofauti katika social network zinazoongea ukweli kuhusu hali ya kisiasa, uchumi na kijamii katika Tanzania.
 
Nakupongeza sana Nape nnauye! Umeweza kuwachokonoa chadema panapotakiwa ukilinganisha umri wako na unaowanyima usingizi,MABABU!!!umeweza kufanya kazi waliyoishindwa makamba na chiligati! Singo ya chadema sasa imebadilika,wamehama kwenye singo ya UFISADI!UFISADI!! hadi singo mpya ya NAPE!NAPE!NAPE!! Nape umekuwa ni mzimu unaowazingira wanachadema tz nzima! Kweli chadema ni chama kichanga kisiasa, yaani huyu bwana mdogo tu single-handedly anawachachafya namna hiii!!!! Cdm kwishney, subirini kupunguziwa ruzuku 2015,sijui padiri muasi mtamlipa nini!!!

Umejiunga April baada ya tamko la kujivua magamba feki ili upotoshe umma? Au umekuja kuongeza idadi ya watetea mafisadi? Nape anaweza kutueleza wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri, makatibu wakuu, nk ambao hawana hadhi ya DR. SLAA, walipwaje? Wanafanya kazi gani? acheni upuuzi bwana. Nchi hii ni mali yetu. Dr. Slaa ni chaguo la waTZ wengi kama si wote.
 
Ni chaguo la wapuuzi wanaoamini 1+1=0! Wapenz weng wa chadema ni wahuni huni flan!
Umejiunga April baada ya tamko la kujivua magamba feki ili upotoshe umma? Au umekuja kuongeza idadi ya watetea mafisadi? Nape anaweza kutueleza wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri, makatibu wakuu, nk ambao hawana hadhi ya DR. SLAA, walipwaje? Wanafanya kazi gani? acheni upuuzi bwana. Nchi hii ni mali yetu. Dr. Slaa ni chaguo la waTZ wengi kama si wote.
 
Huyu Tambwe 2.0 (Nape) haoni kama hayo ni matusi kwa wana CCM wenzake kudai hakukuwa na watu makini wa kujibu hoja za CHADEMA!! Kwa hiyo hata huyo Boss wake (Chiligati) ambaye alikuwa kwenye cheo alichonacho sasa Nape naye hakuwa makini? Sasa iweje Mwenyekiti wa CCM (T) Mh. Rais JK ampe Chiligati promotion kuwa Naibu Katibu Mkuu wakati akijua kuwa si makini. Hii inamaanisha hata JK si mtu makini (kwa mujibu wa Nape) kwa kumpandisha cheo mtu hasiye makini.

Hata hivyo Public ilishajua kuwa JK si makini ila hapa naona kama Nape anajaribu kuthibitisha kupitia dirishani. Tambwe 2.0 kweli ana kazi, Kwa upande mwingine naye amegeuka kuwa kama Ridhwani. CHADEMA wamekutuhumu kuwa ulifaidika na fedha za EPA kupitia kwa Jeetul Patel. Yeye naye anakuja na santuri ya kudai waweke ushahidi kwenye public domain. Kwa nini anaogopa kwenda mahakamani? Nenda mahakamani kisha ushahidi utatolewa huko. Tambwe 2.0 hasipokwenda mahakamani kwa kuchafuliwa jina, basi atakuwa anathibitisha kuwa walichosema CHADEMA ni ukweli i.e Nape naye ni GAMBA.

Nape alikuwa CCM kwanini hakujibu hizo hoja akawa kimya akamwachia Tambwe kubwabwaja
 
Nape hajui political market, hajasoma, inaonekana elimu hana, vithibitisho walivyotoa CDM juu ya ufisadi wa CCM vilidhihirka mpaka na wao kujivua magamba, sasa anawaambia nini watu ambao tunaakili timamu? Badala ya kujenga hoja kuelezea CCM inatoka wapi inakwenda wapi, imefanya nini, na watu wategemee nini, na ni nini msimamo wa CCM juu ya shutuma, na wamejipangaje? yote hayo ndiyo ujengaji wa chama, na siyo eti unarusha makombora, hayo hayana mashiko kwetu wapiga kura.
 
Jaman kwan nape kafanya nini kipya?aliyoyongea si kayakopi kwenye gazet la mwananch afu anajiita kafichua ufisad chadema..teh teh teh
 
Nakupongeza sana Nape nnauye! Umeweza kuwachokonoa chadema panapotakiwa ukilinganisha umri wako na unaowanyima usingizi,MABABU!!!umeweza kufanya kazi waliyoishindwa makamba na chiligati! Singo ya chadema sasa imebadilika,wamehama kwenye singo ya UFISADI!UFISADI!! hadi singo mpya ya NAPE!NAPE!NAPE!! Nape umekuwa ni mzimu unaowazingira wanachadema tz nzima! Kweli chadema ni chama kichanga kisiasa, yaani huyu bwana mdogo tu single-handedly anawachachafya namna hiii!!!! Cdm kwishney, subirini kupunguziwa ruzuku 2015,sijui padiri muasi mtamlipa nini!!!

E bwana ni kweli huyu Fisadi ni kiboko lakini tunajua wazi kaandaliwa toka wakati ule anajifanya kupambana na Lowasa. Alikuwa anatengenezewa jina kwa sababu hafahamiki kuwa ni FISADI.
 
Nape ana kipaji lakini CCM wameshindwa kukitumia kipaji chake.
N Sidhani kama ana kipaji anaropoka sana usisahau kwamba baadhi ya matamshi yake hata bosi wake amesema si msimamo wa chama na tunategemea na hii sumu aliyomwaga jana CCM kama chama makini wa disown haya matamshi hatari kabisa
 
CDM wamekamatwa kisiwani, hawana pa kutokea!! Bravo Nape

Kisiwani kuna watu wangapi? Jumlisha Arusha, Mbeya na Kilimanjaro kwanza halafu utajua kama kweli hawana pa kutokea, halafu muungano wenyewe umebaki kwa viongozi wa CCM na kina nani sijui lakini katika mioyo ya wananchi haupo. Nimejaribu kuishi kwa wema na wazanzibar lakini nimeshindwa. Huku bara tunawaheshimu na kuwachukulia kama wenzetu lakini kule kwao ni wanyanyasaji balaa. Mimi ni muislamu mwenzao lakini....... Sio wastaarabu.
 
Umeingia bonge la chaka,hujaelewa mada hata kidogo mzee! Au nawe ni mropokaji kama padiri! Ok kisiwani jamaa hakumaanisha zanzibar, alimaanisha nape kawazingira pande zote kama maji

Tolowsk Kama ni tumbo la kuhara hilo lako ni kiboko sijui walikulisha nini!!,inasikitisha pia kuona mtu kama wewe unaandika utumbo humu JF kweli kazi ipo kuwaelimisha watu Kama hawa

We acha kabisa, ni bora kumuelimisha kuliko kumshambulia si kila mtu anajua kama ujuavyo kuna watu wanaamini nyerere yuko hai mpaka leo si wa kuchekwa hawa kwanza muulize umri wake kisha mfundishe. TUWAHURUMIE WATANZANIA WENZETU WASIOJUA MADHARA YA CCM.
 
Umeingia bonge la chaka,hujaelewa mada hata kidogo mzee! Au nawe ni mropokaji kama padiri! Ok kisiwani jamaa hakumaanisha zanzibar, alimaanisha nape kawazingira pande zote kama maji

GOOD TEACHER, Nimekubali mkuu hapo nimeelewa.
 
Back
Top Bottom