middo lulyheart
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 260
- 98
Wana JF,
Kutokana na hiki kinachoendelezwa na wanaojiita UKAWA, sidhani kama kuna mwananchi anayeweza kumtuma kiongozi wake sehemu yeyote ile kwenda kufanya vurugu au tofauti na suala la maendeleo,
Kwa hili la wana ukawa wakubali au wakatae ni kwamba WAMEKOSEA TO THE MAXIMUM.
Uzalendo uko wapi unapofikia kuwakejeli waasisi wa nchi yako?, ni wazi kwamba hakuna staha katika kufikiria mambo ya kuweka katika public. Nyerere na waasisi wengine ni kama mama wa taifa hili,
JE?,
MAMA NA BABA YAKO WANAPOKOSEA UNAWEZA KUWEKA KATIKA MABARAZA YA MITAA ILI KILA MTU AJUE MABAYA YAO?
Japo WAO sio Miungu, malaika wala watakatifu!
Kuna namna ya kuongea nao au vipi jamani!