Napata wasiwasi kuhusu "UZALENDO" wa wana "UKAWA"

middo lulyheart

JF-Expert Member
Mar 18, 2014
260
98
Wana JF,

Kutokana na hiki kinachoendelezwa na wanaojiita UKAWA, sidhani kama kuna mwananchi anayeweza kumtuma kiongozi wake sehemu yeyote ile kwenda kufanya vurugu au tofauti na suala la maendeleo,

Kwa hili la wana ukawa wakubali au wakatae ni kwamba WAMEKOSEA TO THE MAXIMUM.

Uzalendo uko wapi unapofikia kuwakejeli waasisi wa nchi yako?, ni wazi kwamba hakuna staha katika kufikiria mambo ya kuweka katika public. Nyerere na waasisi wengine ni kama mama wa taifa hili,
JE?,
MAMA NA BABA YAKO WANAPOKOSEA UNAWEZA KUWEKA KATIKA MABARAZA YA MITAA ILI KILA MTU AJUE MABAYA YAO?
Japo WAO sio Miungu, malaika wala watakatifu!

Kuna namna ya kuongea nao au vipi jamani!
 
Lazma tutue hili jungu la moto. Kwanini uendelee kuwa mtumwa wa mawazo ya wenzio na hali unajua wamekosea? Ni kheri ya Lisu kazungumza kwa uwazi na hana madhara,unaonaje akina Mkapa na Kikwete wanaomtusi kwe nadharia na Vitendo(Rushwa a.k.a ufisadi n.k). Jaribu kuweka mambo kwa njia ya msawazo.
 
Mkuu ebu jaribu kujenga hoja badala ya kulalama tu! Eleza ni vurugu gani walizofanya hao unaosema wanajiita UKAWA maana yake sio UKAWA bali wanajiita. Uzalendo upi huo unaoutaka wewe..ni ule wa zidumu fikra za. ...Kwa nini suala la Nyerere kukosolewa unalifanya kama ni dhambi isiyosamehewa? Mnahama kabisa kwenye mjadala wa katiba na sasa imebaki Nyerere katukanwa, kadhiakiwa, amekejeliwa...Yeye sio Mungu wala Malaika kama ulivyosema mwenyewe sasa shida iko wapi kukosolewa? Awe amekosolewa sokoni, vichakani, mitaani, Where is a problem?? U guyz why r u trying to make a mountain out of a molehill?!
 
Spinning nurses at work!
 
Lazma tutue hili jungu la moto. Kwanini uendelee kuwa mtumwa wa mawazo ya wenzio na hali unajua wamekosea? Ni kheri ya Lisu kazungumza kwa uwazi na hana madhara,unaonaje akina Mkapa na Kikwete wanaomtusi kwe nadharia na Vitendo(Rushwa a.k.a ufisadi n.k). Jaribu kuweka mambo kwa njia ya msawazo.

Kama wako sahihi mikutano na kukimbia bunge kwanini
 
mkuu ebu jaribu kujenga hoja badala ya kulalama tu! Eleza ni vurugu gani walizofanya hao unaosema wanajiita ukawa maana yake sio ukawa bali wanajiita. Uzalendo upi huo unaoutaka wewe..ni ule wa zidumu fikra za. ...kwa nini suala la nyerere kukosolewa unalifanya kama ni dhambi isiyosamehewa? Mnahama kabisa kwenye mjadala wa katiba na sasa imebaki nyerere katukanwa, kadhiakiwa, amekejeliwa...yeye sio mungu wala malaika kama ulivyosema mwenyewe sasa shida iko wapi kukosolewa? Awe amekosolewa sokoni, vichakani, mitaani, where is a problem?? U guyz why r u trying to make a mountain out of a molehill?!

ushabiki wa mambo ndio utatuponza watanzania,
 
Nionavo mimi UKAWA hawakupaswa kukimbia bunge kwani... Watanzania, tuliwategemea xana. Kweli wametuangusha....
 
Back
Top Bottom