Napata wapi Viti vya Plastiki jijini Dar?

Matukutuku

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
269
126
Wadau kwema humu?

Naomba kujua sehem wanakouza hivi viti vya Plastiki kwa jumla kwa Dar es Salaam apa.

Pia nilisikia kwamba SIDO nako wanatengeneza ila sina uhakika naomba pia kujulishwa kwa hilo.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom