Naongea naye nini?

Kaunga, Relax....

Acha nature nayo ichukue mkondo wake. Mfano; siku mwanao alipoanza tambaa.... Si ulimuogopea anapokwenda atajiumiza? ...lakini yeye mwenyewe hakuacha jaribu kusimama mpaka akajifunza na kutembea.

Assure him you are and will always be there for him...He will be Ok.
 
I am taking a deep breath......nmmmhhh

Thanks Mbu, he will be fine!

Ubarikiwe!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Wakati mwingine unatamani uwe mlinzi wa yule umpendae hata mahali ambapo NGUVU KUU inahusika na usimamizi huo,usijani sweetie,he'll be fine as long as Jesus is there for him . . . . !!
 
oooh jamani
soo sad
sijui kama mtoto wangu nitaweza kumpeleka boarding aisee
hapa tu sijamzaa nammiss vibaya mno
 
My son anaenda kuanza form one, (preform one next month) boarding school he is going to be 12 next year.

As a mother namuambia nini? Nafeel kuna kitu napaswa kumwambia sijui nimwambie nini na jinsi gani.

Sijasoma boarding school O'level so sijui kunakuweje, nasikia ushoga unaanziaga huko. Bullying inanitia wasiwasi ukizingatia umri wake ni relatively Mdogo.

Nisaidieni nini cha kuongea naye.
N.B Namlea mwenyewe as a single mom.

Mwambia akinyanyaswa aende kwa mwalimu yeyote ili asaidiwe,
Muahidi kila akifanya vizuri utampa zawadi, we si unajua anapenda nini,
Msihi kufanya Maombi na kuepuka kuchezacheza asome na ajitahidi kutokufanya makosa ili asipate adhabu.
 
Ila wifi unajua bado natafakari hili toka jana. Ina maana huyu mwenetu anamiliki simu tayari? Why? Manake ba unoko wangu ningemuwekea ttcl kabisa ili nimpigie mwenyewe. Kids dont need simu jamani.

Hata mimi la simu nimejifikiria nikasema labda mimi ni wa zamani...

Maana kuna mambo ya kwenda na wakati...wenzake wote wana simu yeye kama hana atajiona mnyonge...

Kwa kweli sijuhi kama shule zote zinaruhusu mtoto kumiliki simu...

na sijuhi umri gani ni proper kwa mtoto kuwa na simu...

Unajua akishakuwa na simu maana yake ana access na internet...hapo ndio balaa linapoanza.

Hata mimi sikubaliani na mambo ya simu kwa watoto wadogo. Hata Tv huwa wanaangalia kwa ratiba maalumu. Hivi vitu. ni vizuri ila pia madhara yake ni makubwa!
ha haaaa, kumbe wazee tupo wengi? lol!
mimi nilijiuliza na kujijibu mwenyewe. mnajua jibu langu? nikajiambia kuwa inawezekana wanaishi wawili tu, hakuna dada wa kazi, kwa hiyo inatakiwa kuwa na mawasiliano kati yao. mimi pale nyumbani kuna simu ya nyumbani, haina mtu, ni ya wote, kwa hiyo hata wanangu wanaweza kuitumia hiyo, siyo kutembea nayo, kuitumia na kuiacha.
 
Pray na Mungu atakusaidia Kaunga....

Na uwache tabia ya kutukana mamba ungali bado hujavuka mto!!
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine unatamani uwe mlinzi wa yule umpendae hata mahali ambapo NGUVU KUU inahusika na usimamizi huo,usijani sweetie,he'll be fine as long as Jesus is there for him . . . . !!

Asante sweetie, ulikuwa wapi muda wote huu?
He will be fine indeed. Sintaacha kusugua magoti kwa kusali.
 
Pray na Mungu atakusaidia Kaunga....

Na uwache tabia ya kutukana mamba ungali bado hujavuka mto!!

Jamani sikumbuki kutukana Boflo, ila kama nimeshawahi; nisamehewe.
 
Last edited by a moderator:
FP sijajibiwa bado, madhara ya simple simu kwa 11yrs boy ni yepi?

Sababu ya kumpa ni kuwa naye mbali, mimi niko kwenye one end of the country naye yuko kwenye another.

Anaitumia weekend tu, tena ni zile weekend ambazo anakuwa amechukuliwa na uncle zake (shule hairuhusiwi)

Tunaongea 2 times a day, the rest tunabofyana tu kwa SMS.

Sioni tatizo, na hakuna tatizo lililotokea so far.
 
Last edited by a moderator:
Kumbuka this kid goes to Feza, may be you huifaham ipo vipi? Chakula ni kizuri sana but canteen napo kuna various options as most of kids wanakuja na pocket money nzuri.. So atleast mtoto asijisikie vibaya wenzake wakinywa soda etc awe na pocket money nzuri.... I remember those days watoto wa kiarabu wanawekewa mpaka bills na mama zao wachukue wanachotaka anytime at schools na bado hao watoto wanakimbiza darasan na wengi wao wanaongoza family business baada ya varsity.... Kumpa mtoto wa sekondari pocketmoney nzuri sio kumuharib but unaaanza kumfundisha financial management mapema as wengi tulikuwa tunaseve hela tukirudi likizo tununue sneakers etc
sijasema kumpa mtoto hela nyingi maana yake hatakuwa mzuri darasani.
na najua wewe si mzazi, believe me, watoto huwa ni waelewa sana, ukimpa good reason kwa nini humpi hela nyingi ya kula biskuti kila anapotaka atakuelewa, na hatajisikia vibaya. unataka kuniambia kila mtoto anayesoma Feza anapewa pocket money nono? unataka kumshindanisha mtoto wa Kaunga na watoto wa waarabu? Kaunga anasema anafanya kazi kwa bidii ili kumwandalia mwanae future nzuri, hao waarabu ndo tunapigiziana nao makelele kuwa wao ndo wameshika uchumi wa nchi yetu, hawa watu tunaweza kuwaweka pamoja?
mimi sifanyi vitu fulani kwa watoto wangu siyo sababu sina hela za kuwafanyia hayo, ila sioni sababu ya kufanya hayo. Itakuwa vizuri sana badala ya kumjazia pocket money ambayo huna uhakika kama ata-save au la, ni bora kumwongezea kiasi anachomwekea kwenye account yake, hizo una uhakika atazikuta baadae na zitakuwa msaada kwao wote wawili.
 
FP sijajibiwa bado, madhara ya simple simu kwa 11yrs boy ni yepi?

Sababu ya kumpa ni kuwa naye mbali, mimi niko kwenye one end of the country naye yuko kwenye another.

Anaitumia weekend tu, tena ni zile weekend ambazo anakuwa amechukuliwa na uncle zake (shule hairuhusiwi)

Tunaongea 2 times a day, the rest tunabofyana tu kwa SMS.

Sioni tatizo, na hakuna tatizo lililotokea so far.
(i) simu umempa saa hizi wakati anaenda shule au alikuwa nayo tangu zamani?
(ii) kwa nini usitumie simu za hao ma-uncle kuwasiliana naye?
kama ndo kwanza umempa simu hutaweza kuona madhara kwa haraka hivyo. ila kadiri network itakavyoongezeka ndo utaona madhara. Mtoto ambaye anatumia simu ya mzazi, ni ngumu sana kuwasiliana kwa uhuru na watu ambao si muhimu sana kwake, ila aliyekuwa na simu yake anaweza akafanya lolote. Juzi kuna mtu alileta mada hapa anashangaa binti wa kama miaka 13 kamuomba namba ya simu na kampigia kumwambia anampenda. nina uhakika huyo mtoto asingekuwa na private simu asingefanya hivyo.
Tukubali/ tukatae, kuna hali ambayo watoto wetu wanapitia wanapokua, wote tulipita huko, na tunajua nini yanatutokea. Mungu ni mwema anaweza kusaidia mtoto wako asiathirike sana na ile negative side ya ukuwaji, ila pia ni jukumu lako mzazi kumpunguzia mwanao kila kitu ambacho unadhani kinaweza kuwa kichocheo cha hayo mambo.
Mimi mara nyingi huwa napokea sms za binti, lakini kwa vile wanaomtumia wanajua namba ni ya mama basi zinakuwa za adabu. kama huko shule hawaruhusu simu, mimi nadhani unaweza wasiliana na mwanao nyumbani kupitia simu za uncle zake.
 
Nakuelewa FP,
Kukujibu swali lako la kwanza, simu alikuwa nayo kabla ya likizo na ni kwaajili ya mawasiliano nami na ndugu zake wengine.

Angekuwa binti ningekuwa na reservation hasa akifikia hiyo age ya miaka 13 na kuendelea lakini kwa maisha ya sasa huwezi zuia kikubwa mambo ya utandawazi; cha msingi mtoto anatakiwa kujitambua na kufuata values ulizomjengea.

Vijijini watoto wanapata mimba at 15, wanakuwa na simu?

Uncle zake hawako nyumbani muda mwingi, na pia wanakuwa na mambo yao; naweza ongea naye kwa muda mfupi na very general issues, lakini mostly huwa napenda tuongee muda karibia wote ili anipe story za shule na mambo kama hayo (hiyo ndio njia pekee si tu ya kuwa naye karibu lakini pia kujua what he is thinking and doing.

Umesema wewe mwanao yuko day, it is different; nami nisingekuwa na sababu ya kumpa simu kama ningekuwa naye hapa, na ndio maana amesema mwenyewe hana mtu wa kuongea naye for the time being coz rafiki zake wako shule na mimi niko naye hapa nyumbani.

Trust me, l know how to raise my kid in my own way; kilichonitatiza ndicho nilichokileta, na ninashukuru kwa ushauri.
 
Pole Kaunga omba hekima za kuongea na mtoto na mwenyezi mungu atakupa
Mithali 22:6: Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee

Elimu ya kijana haiwezi kupewa kwa wengine kwa mafanikio. Ni wajibu wa wazazi kuwaelimisha na kuwaadibisha watoto wao. Inapotokea kuwa wajibu huu unapoondolewa au kutotiliwa maanani au kudharauliwa, ndipo jamii inapoanza kuwa isiyoaminika naya watenda maovu.

all the best
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom