Naombeni ushauri

lovelove

Member
Aug 22, 2011
21
3
nina mtoto mmoja, baba'ke naishi nae bt we are not married. Tatizo ana tabia ya uongo sana yaan ameni cheat mara kibao
hadi nimepoteza uaminifu kwake. my ex boyfriend anataka tufunge ndoa and i stiil love him coz tuliachana kwa kupotezana katika
kutafuta maisha. so wana jf nibaki na yupi kati yao?
 
Hivi mtu si mwaminifu kwako then unaendelea kuishi nae,ukipata magonjwa ndio utajua hukustahili kuishi nae ,mwanamke disappear from that man
 
Anakudanganya kuhusu nini hasa? kama ni masuala ya ndoa ni vyema utafute aliye wakwako maana inaonyesha huyo ana wakwake siunajua kila mtu ana ubavu wake alopewa na Mungu chunguza zaidi iliupate wakwako. Poleeehe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom